Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Mar 17, 2025 #1 Nilieleza uzi kuhusu: chizcom said: Alafu wana mashine zao zishakata kodi yani sio EFD. Nilishawai kugambana nao kitambaa cheupe niwape TIN yangu kwasababu VAT walikimbia hawa taki kuwa na mashine Click to expand... Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
Nilieleza uzi kuhusu: chizcom said: Alafu wana mashine zao zishakata kodi yani sio EFD. Nilishawai kugambana nao kitambaa cheupe niwape TIN yangu kwasababu VAT walikimbia hawa taki kuwa na mashine Click to expand... Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
tripleec Senior Member Joined Oct 19, 2022 Posts 171 Reaction score 159 Mar 18, 2025 #2 chizcom said: Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA Click to expand... Du kamanda nini kimekukuta mwenzetu naona ? hebu lete tena uzi huo tuine ukweli moderator alichokwepesha
chizcom said: Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA Click to expand... Du kamanda nini kimekukuta mwenzetu naona ? hebu lete tena uzi huo tuine ukweli moderator alichokwepesha