Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kala hela za watu au wametapeliwa kwa namna ipi hasa let us know howAbitaili Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
Mwal Makoba unataka kusema haumjui? Mishe zake za udalali.Kala hela za watu au wametapeliwa kwa namna ipi hasa let us know how
Aisee
Ungeeleza namna anavyotapeli ili tuone kama ni mbinu mpya au ameboresha za zamani.Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
Ahaaa Mh. Sasa tumekuwa marafikiAt least kama huwezi kuwa/ kum saidia mtu/ watu at least usimuumizee/ usiwaumize
Umenifurahisha Jana mmempiga spanq muheshimiwa wazirii mwenye dhamana π
Hakuna member yoyote wa chama Cha ma jobless pro max aliye tapeliwa, hao ni washika dauMtu anatapeli mpaka jobless
πππ hiyo laana itamtafuna yeye, vizazi na vizazi.Mtu anatapeli mpaka jobless