Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Abtali Mwerevu kama kweli umeiba mrudishie chake mtaani hali mbaya sana, halafu unamuibia mtu anaetafuta kazi!!
'Reply' hii imeniumiza kuliko hata ya aliyeleta malalamiko. Hata wewe ndugu yangu? Mtu niliyetamani kufanya naye kazi!Matapeli wako kila kona aisee🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Sijachukua hata mia yake mkuu.Abtali Mwerevu kama kweli umeiba mrudishie chake mtaani hali mbaya sana, halafu unamuibia mtu anaetafuta kazi!!
Usitembeze mboko mkuu. Anayoyasema ukiyachunguza hayaoneshi utapeli wowote ila ni mtu kutokuridhishwa na mazingira ya kazi. Maana yake nini: kaanza kazi lakini hafurahishwi na mienendo ama hapati alichotarajia na hivyo kuamua kuacha kazi. Kwa hivyo napata picha kwamba, hakuna aliyetapeliwa ila mashambulizi haya ni ya vijana walioacha kazi. Kama kuna changamoto, wangenieleza... Hawajawahi kufanya hivyo. Natamani waniambie, kuna changamoto gani... Waseme nami itapendeza.Wewe umemuelewa DR HAYA LAND anachoongea ? Ikiwa umemuelewa omba radhi haraka kabla sijaanza kukutembezea mboko
Yule Dada yupo pia .Inaonekana una mengi na pengine umefanya kazi hapo. Sasa tujikite kwa mleta mada, mimi nimetapeli nini? Nimeomba mtu hela? Nimetangaza kazi, kama vigezo hukubaliani navyo si unaacha? Pia mimi siyo dalali, natangaza kazi hapa kwa upendo mkubwa na hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kunipa feedback mbaya, nasikia kutoka kwako.
Nimejaribu kukupa picha yako halisi kuwa wewe ni muhuni na usiyekuwa na utu .Inaonekana una mengi na pengine umefanya kazi hapo. Sasa tujikite kwa mleta mada, mimi nimetapeli nini? Nimeomba mtu hela? Nimetangaza kazi, kama vigezo hukubaliani navyo si unaacha? Pia mimi siyo dalali, natangaza kazi hapa kwa upendo mkubwa na hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kunipa feedback mbaya, nasikia kutoka kwako.
Mkuu kama ulifanya kazi hapo na ukashindwa kuelewana na mwenye shule, si busara hasira zako kumalizia kwangu na kupotosha watu.Nimejaribu kukupa picha yako halisi kuwa wewe ni muhuni na usiyekuwa na utu .
Shule kama IPO katika hatua za start up unaweza ukaja hapa JF ukatoa taarifa kuwa natafuta vijanwa wa kujitolea with no any payments.
Je hao vijana unaompelekea huyo Dada then after three months mnawafukuza mnahisi mnakuwa nyie sio matapeli .
Na ulivyomjinga ukashawatupa watoto watu kule with no any direction haupokei sm.
Taarifa hizi nimezipata kupitia Uchunguzi wangu wa siri .
We makoba ni tapeli mkubwa. Acha Mara moja
And this is second time. Unarudia mambo yaleyale na wizi uleule.
Kutumia nguvu za MTU bure ni wizi
Kutumia akili ya MTU bure ni wizi
Kutoa taarifa za uongo ni wizi na utapeli
Acha maramoja sawa
Mkuu kama ulifanya kazi hapo na ukashindwa kuelewana na mwenye shule, si busara hasira zako kumalizia kwangu na kupotosha watu.
Kuna watu wanafanya kazi pale tangu mwaka jana na nimewapeleka mimi.
Pia si kweli kwamba sipokei simu, kwa nini nisipokee simu?
Japo haijulikani hasa sababu ni nini, lakini picha inayoonekana hapa ni kwamba, kama siyo wewe uliyefanya kazi pale, basi una ndugu yako ambaye amefanya kazi pale na hajaelewana na mwenye shule.
Kwa hivyo hapa naona hasira tu. Na huenda ndugu yako kakudanganya mengi.
Job lesii wa kijani niwakutapeli kabisa,ili bongo zao zizunduke usingizini.Mtu anatapeli mpaka jobless