Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Hakuna aliyetapeliwa kaka.😂😂😂 hiyo laana itamtafuna yeye, vizazi na vizazi.
Hakuna aliyetapeliwa kaka.😂😂😂 hiyo laana itamtafuna yeye, vizazi na vizazi.
Sawa mkuu, tusubiri upande wa mlalamikaji tuone ushahidi.Hakuna aliyetapeliwa kaka.
Kweriiiii kitu ambacho wanasiasa wengine hawawezii 😁😁😁Ahaaa Mh. Sasa tumekuwa marafiki
Yule Mh ana EI she can handle the situation doesnt matter is positive or negative
Hakuna mtu aliyetapeliwa mkuu. Pia mpaka sasa sielewi sababu hasa ya kuzushiwa haya ni ipi! Watu wametapeliwa WhatsApp, hata meseji moja ya ushahidi hakuna? Itapendeza muanzisha mada akichat nami hapa uso kwa uso.Mkuu ungeweka ushahidi usio na shaka hapa ili mod's wamchukulie hatua muhusika,
Ila kwa jinsi ulivyowasilisha lalamiko lako,sio rahisi kwa mod's kumchukulia hatua,pia ni lazima nae aje hapa atoe maelezo yake,hukumu hua haitoki kwa kusikiliza upande mmoja tu,
Nakushauri kuweke evidence hapa mkuu.
Hakuna utapeli wowote mkuu. Sijajua kijana anataka nini, pengine labda umaarufu jukwaani.Ungeeleza namna anavyotapeli ili tuone kama ni mbinu mpya au ameboresha za zamani.
Kwa nn umetapeli watu mkuu?Pia, si mara ya kwanza kutangaza ajira hizi. Mwaka jana nilitangaza, wakaja watu ambao walipata kazi na wanafanya mpaka hii leo.
Sina hakika hasa kwa nini wakati huu naandamwa sana, labda pengine kwa sababu nimeweka vigezo vya kuajiri waliohitimu 2024 na 2025 pekee... nimewakera wakongwe! Niwatoe wasiwasi, zamu yenu itafika.
Hakuna aliyetapeliwa ndugu yangu. Eneo langu la kazi linajulikana na wasailiwa wote hufikia hapa. Pia namba yangu inajulikana. Pengine mtu kachemka usaili kakasirika kasema katapeliwa.Kwa nn umetapeli watu mkuu?
Kuna jamaa alisemaga ana ajira watu waombe kumbe alikuwa anavizia mbususu za wadada jf.Mwal Makoba unataka kusema haumjui? Mishe zake za udalali.
Mtaalamu Fid QAt least kama huwezi kuwa/ kum saidia mtu/ watu at least usimuumizee/ usiwaumize
Umenifurahisha Jana mmempiga spanq muheshimiwa wazirii mwenye dhamana 😊
Kwa faida ipi? Kama mods wataruhusu mtu kujiandikia uzushi wowote na akaachwa tu, hili jukwaa litapoteza maana yake.Mbona kapotea au ndo wew mwenyew unajitekenya kama Manfried na kucheka mwenyewe kama @abtail mwerevu
Yaah, mwanamalundiiMtaalamu Fid Q
Mbona niliwaambieni kuwa ni matapeliAbtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
Matapeli wako kila kona aisee🙌🏿🙌🏿🙌🏿Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
Ngoja nikusaidie .Kwa faida ipi? Kama mods wataruhusu mtu kujiandikia uzushi wowote na akaachwa tu, hili jukwaa litapoteza maana yake.
Inaonekana una mengi na pengine umefanya kazi hapo. Sasa tujikite kwa mleta mada, mimi nimetapeli nini? Nimeomba mtu hela? Nimetangaza kazi, kama vigezo hukubaliani navyo si unaacha? Pia mimi siyo dalali, natangaza kazi hapa kwa upendo mkubwa na hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kunipa feedback mbaya, nasikia kutoka kwako.Ngoja nikusaidie .
Wewe najua ni Dalali MTU kati yes
Ila unapoletewa dili litafakari kwanza ukipigiwa simu kuwa uwatafutie walimu n.k
Lazima ufanye hivi
Angalia shule ipoje
Je uhutaji wa Walimu umelenga nini kutoa ajira au kupata cheap labor
Je ikiwa lengo lao ni kupata cheap labor je ni sahihi Mimi kuleta Tanga so na kuwa Dalali..?
Huu mchezo ambao umefanya hapa ni wa kitoto Sana lazima utaonekana tapeli .
Kwakuwa Shule ya Prime ilikuambia utafute vijana wa kujitolea for three month with no any payments Ila wewe ukatangaza ajira right?
Lengo lilikuwa uvute attention ya vijana na wakawatumikie watu ambao sio sahihi .
So kuwa makini sio kila dili likija mezani hata kama ni haramu unakula .
Kwakuwa yule Dada wa prime umemtapeli na umetapeli na vijana jobless acha uhuni Mara moja
Hizo ajira uwe unawapelekea ndugu zako kwanza before haujashare hapa
Kumbuka hii sio Mara ya kwanza unafanya hivi.
Na mbaya zaidi ile Shule ni ya watoto wenye changamoto ya akili .
Ebu fikiria mzazi analipa Ada kubwa ili mwanae apate malezi Ila wewe unacheza na akili za yule Dada kuwa badala ya kuajiri wataalamu tutafute watu wafanye Kazi bure the after three month Shule zitakuwa zimefungwa then tutangaze tena ajira kwa style hiyo hiyo ya mwanzo
Usirudie tena sawa
Wewe umemuelewa DR HAYA LAND anachoongea ? Ikiwa umemuelewa omba radhi haraka kabla sijaanza kukutembezea mbokoInaonekana una mengi na pengine umefanya kazi hapo. Sasa tujikite kwa mleta mada, mimi nimetapeli nini? Nimeomba mtu hela? Nimetangaza kazi, kama vigezo hukubaliani navyo si unaacha? Pia mimi siyo dalali, natangaza kazi hapa kwa upendo mkubwa na hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kunipa feedback mbaya, nasikia kutoka kwako.