Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

Mimi nikajua watapeliwa wengi wapo mtaa wa FB, kumbe hadi huku ushuani mtaa wa GT, watapeliwa wapo?
 
Ni mwerevu kwelikweli
Mwanzo 3:1

Basi ……… alikuwa mwerevu kuliko …….. wote .. ……akawaambia Ati! Hivi ndivyo ….
 
Hakuna mtu aliyetapeliwa mkuu. Pia mpaka sasa sielewi sababu hasa ya kuzushiwa haya ni ipi! Watu wametapeliwa WhatsApp, hata meseji moja ya ushahidi hakuna? Itapendeza muanzisha mada akichat nami hapa uso kwa uso.
 
Kwa nn umetapeli watu mkuu?
 
Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .

Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.

Kuweni nae makini au apewe life ban
Matapeli wako kila kona aiseeπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Kwa faida ipi? Kama mods wataruhusu mtu kujiandikia uzushi wowote na akaachwa tu, hili jukwaa litapoteza maana yake.
Ngoja nikusaidie .

Wewe najua ni Dalali MTU kati yes

Ila unapoletewa dili litafakari kwanza ukipigiwa simu kuwa uwatafutie walimu n.k

Lazima ufanye hivi

Angalia shule ipoje
Je uhutaji wa Walimu umelenga nini kutoa ajira au kupata cheap labor
Je ikiwa lengo lao ni kupata cheap labor je ni sahihi Mimi kuleta Tanga so na kuwa Dalali..?

Huu mchezo ambao umefanya hapa ni wa kitoto Sana lazima utaonekana tapeli .

Kwakuwa Shule ya Prime ilikuambia utafute vijana wa kujitolea for three month with no any payments Ila wewe ukatangaza ajira right?

Lengo lilikuwa uvute attention ya vijana na wakawatumikie watu ambao sio sahihi .


So kuwa makini sio kila dili likija mezani hata kama ni haramu unakula .
Kwakuwa yule Dada wa prime umemtapeli na umetapeli na vijana jobless acha uhuni Mara moja

Hizo ajira uwe unawapelekea ndugu zako kwanza before haujashare hapa

Kumbuka hii sio Mara ya kwanza unafanya hivi.

Na mbaya zaidi ile Shule ni ya watoto wenye changamoto ya akili .

Ebu fikiria mzazi analipa Ada kubwa ili mwanae apate malezi Ila wewe unacheza na akili za yule Dada kuwa badala ya kuajiri wataalamu tutafute watu wafanye Kazi bure the after three month Shule zitakuwa zimefungwa then tutangaze tena ajira kwa style hiyo hiyo ya mwanzo

Usirudie tena sawa
 
Inaonekana una mengi na pengine umefanya kazi hapo. Sasa tujikite kwa mleta mada, mimi nimetapeli nini? Nimeomba mtu hela? Nimetangaza kazi, kama vigezo hukubaliani navyo si unaacha? Pia mimi siyo dalali, natangaza kazi hapa kwa upendo mkubwa na hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kunipa feedback mbaya, nasikia kutoka kwako.
 
Wewe umemuelewa DR HAYA LAND anachoongea ? Ikiwa umemuelewa omba radhi haraka kabla sijaanza kukutembezea mboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…