Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Wewe ni mkenya usijifanye MtanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜± Nimekubamba leo. Mambo yakuja na ID fake humu ndani hatu taki.
 
Huyu jamaa ni Mkenya asikupotezee muda. Anajifanya kutumia avatar ya Tanzania kama Hamstere
 
He is not our brother. He is pretending to be a Tanzanian. Kwa sasa nimejua kuwa anatumia ID fake. I have startea to expose him just like what i did to Hamstere
Acha uzalendo wa kijinga....so lazma mtanzania asifie kila kitu hadi pahali kuna makosa....
Ukweli ni kuwa airport yenu mazingira yake ni mbovu....nyuma ya kzo warehouses ni kubovu zaidi....ZERO PLANNING.
 
Huna mnabehave kama wanawake tu....na wewe kwanza si mtanzania....rudi kwenu Burundi
 
Acha uzalendo wa kijinga....so lazma mtanzania asifie kila kitu hadi pahali kuna makosa....
Ukweli ni kuwa airport yenu mazingira yake ni mbovu....nyuma ya kzo warehouses ni kubovu zaidi....ZERO PLANNING.
Huyo sio mtanzania 100%
 


Wahamishwe ili kukufurahisha wewe ili upige picha na kuona pamendeza bila ya masikini? Zaidi ya nusu zima ya Watanzania ni watu masikini sasa ulitaka tufiche umaskini wetu kwa ajili yako? Na aliyekwambia sisi inatukwaza ni nani uwanja wetu kuzungukwa na masikini, hiyo ndiyo hali halisi ya TZ yetu sasa ulitaka wahame wahamie wapi? Angalau ungekuja na jinsi ya kupunguza umaskini ili hao watu wapate ajira na kuwa na makazi bora lkn unasema wahame ili paonekane kama Frankfurt ili nini na wahamie wapi na hapa ni kwao wamezaliwa hapa?
 
Kumbe unajua chama chenu kilivyoshindwa kuwakwamua watanzania kwenye umaskini [emoji23][emoji23]
 
Kumbe unajua chama chenu kilivyoshindwa kuwakwamua watanzania kwenye umaskini [emoji23][emoji23]
Kama Jubilee ilivyoshindwa kuwa kwamua kwenye wimbi la umasikini AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
My friend jubilee imeanza juzi tu. Kapitie madesa yako vizuri uje tena baadae saiv naona hujajiandaa vyema ntakuaibisha bureee!
Huna lakuniabisha mkenya wewe. Kwanza upo ndani ya thread yangu kuonyesha jinsi i have power of control over you.πŸ˜€Kwa hiyo cha maana walichofanya Jubilee ni hikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜³
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…