Askari wa kutetea uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza......pasipo kuleta maendeleo kwa wananchi wa chini. Elimu duni....afya duni....umeme duni kila kitu duni!Mimi siyo kada wa CCM bali ni Askari wa kujitolea wa Raisi Magufuli!
Wewe acha kujifanya unaijua Tiz hizo propaganda zako mpelekee baba yako Uhuru.Mbona husemi unemployment nchini kwenu Masifa tu unajifanya Unatujua sanaAskari wa kutetea uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza......pasipo kuleta maendeleo kwa wananchi wa chini. Elimu duni....afya duni....umeme duni kila kitu duni!
Wewe mulisaaa wenzako tulishajikomboa na dhana ya utaifa i consider myself an international citizen so kazi yako ya kujaribu kudhalilisha nchi za watu hainiumizi ng'o!
Nakushauri na wewe ufanye hivyo. Sikubaliani na dhana ya mipaka na kuwa na mataifa tofauti especially yaliyoanzishwa na wazungu!
Wewe bado ni mtumwa.
Hizo nifikra zako. Mlipo vunja EA community mlikuwa mkifikili nini ? Kwa sasa tumegutuka. Swala la Africa kuwa moja hakuna tena. TZ itabaki TZ na Kenya ibaki kuwa Kenya.Askari wa kutetea uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza......pasipo kuleta maendeleo kwa wananchi wa chini. Elimu duni....afya duni....umeme duni kila kitu duni!
Wewe mulisaaa wenzako tulishajikomboa na dhana ya utaifa i consider myself an international citizen so kazi yako ya kujaribu kudhalilisha nchi za watu hainiumizi ng'o!
Nakushauri na wewe ufanye hivyo. Sikubaliani na dhana ya mipaka na kuwa na mataifa tofauti especially yaliyoanzishwa na wazungu!
Wewe bado ni mtumwa.
Sasa mbona unapoteza malengo na kuenda kwenye kambi za jeshi?. Kumbuka miji sio static, hasa hii miji ya kiafrika, hatujafikia huko unakosema wewe kuwa nanuwezo wa kupanga miji kama wenzetu, haya mambo ni hatua kwa hatua, usijifanye kama vile wewe sio mwafrika na kujivisha uzungu au akili za dunia ya kwanza.Mambo ya kuua na kuficha maskini nani kasema? Mm nlichosema ni wahamishwe wao (with compensation) au airport ingejengwa sehem nyingine.
Anyways.....tatizo ni hao city planners wa miaka ya nyuma walikuwa wapi? Hawakuona kwamba tatizo kama hili litaibuka? Wameacha watu wamejenga karibu na makambi ya jeshi (kumbuka ile milipuko ya pugu/gomz), ubungo karibu na mitambo ya umeme, jangwani kwenye njia za maji etc
Naskia hizi travelator wanaziweka terminal III lakini ukiangalia logically its a waste of evrythingLakini wakenya mbona mmeshindwa kunionyesha Travelator Ya JKIA ?? ππ Hivi kweli JKIA ishindwe kuwa na Travelator ?? Uhuru wasaidie wakenya humu unipatie Travelator hapo JKIA.
Uhuru: Whats a travelator.? I will ask Ruto.πππView attachment 750903
Waste of everything for what reason ??Naskia hizi travelator wanaziweka terminal III lakini ukiangalia logically its a waste of evrything
peleka ujuaji, Kigilagila na Kipunguni yote watu wamehamishwa audio wanahamishwa! Ikitokea uhitaji terminal nyingine itajengwa! Most of the time terminals have nothing to do with building but facilities the airport offers. Tembea ulaya nzima viwanja viko kawaida tu.Hizo airports ulizoweka hapo yaani ndo zimefika mwisho......there is literally no space for expansion.
Lakini sisi......we have plans to expand further hii JNIA to over 12million passengers per year. Lakini kwa ile space iliyobaki pale.....i am not sure how they will do it.
Kujenga international airport nyingine i think ni inevitable in the future
Unataka kuniambia viwanja vya Ulaya havina noise disturbance ndege zikipita? Acha uchoko!Nimesema hivyo kwa sababu a few weeks ago I was in a meeting pale. Aisee ilikuwa ni kero. Kila ndege ikipita inabidi mzungumzaji akae kimya kwanza.
Either wale watu wahame au wajenge airport nyingine somewhere else. Mbona kuna majiji mengi tu yenye international airport zaidi ya moja? Tuwe na Dar International Airport (DIA) na JNIA. Another solution ni kuwahamisha wale watu wote pale (mostly ni maviwanda na mawarehouse)
Wewe bwege kweli unataka mtu asafiri 100km kufuata airport kisa noise. How inconvinient will that be?mulisaaa sina haja ya kujibizana na wewe endelea kutetea ujinga. If it makes you feel good hurray JNIA is the best airport in the WORLD!! Good design....good location....enough room for expansion!
For what??...We very well know the difference between the travelator and the escalator. Thus why i told you our new airport terminal has: 14 lifts, 9 escalators and 2 travelators. πππ±
Ati waste of everything FYI Terminal II n III will be connected via glass covered Walkway with travelator (go n return) aside all gates for over 11 airbridges will be accessed via travelator then escalators or elevators before airbridges. The airport will be most user friendly for travellers be with heavy luggages or old or disabled. First in East and Central Africa.Naskia hizi travelator wanaziweka terminal III lakini ukiangalia logically its a waste of evrything
Travator iko Southfield mall what's special with thatWe very well know the difference between the travelator and the escalator. Thus why i told you our new airport terminal has: 14 lifts, 9 escalators and 2 travelators. πππ±
for the 6.5 mln PAX the airport will receive. Is that tented JKIA having even an elevator aside escalator?For what??...
Fool evidence? BTW it's travelator n not travator!Travator iko Southfield mall what's special with that
2 million passengers... A travelator cannot increase the number of touristsfor the 6.5 mln PAX the airport will receive. Is that tented JKIA having even an elevator aside escalator?
I meant travelatorFool evidence? BTW it's travelator n not travator!
Sisi tunaongelea Airport Terminal wewe unakuja na Malls. Zero Brain Part 2Travator iko Southfield mall what's special with that
If a mall can afford that what's so specialSisi tunaongelea Airport Terminal wewe unakuja na Malls. Zero Brain Part 2
Mtanzania akiongea ukweli anakuwa mkenya.. ......mulisaa una hisia kama za mwanamke, mara ngapi cicero ameitetea tanzania kutoka kitambo ata kabla ujiunge na jamii forum? watu wote sio watoto kama weww. ..He is not our brother. He is pretending to be a Tanzanian. Kwa sasa nimejua kuwa anatumia ID fake. I have startea to expose him just like what i did to Hamstere
The special thing about it is that it increases the efficiency of the Terminal to handle passengers which is highly put into consideration with airline companies.If a mall can afford that what's so special