Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Mtanzania akiongea ukweli anakuwa mkenya.. ......mulisaa una hisia kama za mwanamke, mara ngapi cicero ameitetea tanzania kutoka kitambo ata kabla ujiunge na jamii forum? watu wote sio watoto kama weww. ..
Ukweli gani kaongea huyo mkenya ? Name one ! Mimi nimetoa evidence za picha za mataifa mengine. Kuna lipi kafanya tukubali alichosema ??
 
A travelator can never make an airport modern
 
Naskia hizi travelator wanaziweka terminal III lakini ukiangalia logically its a waste of evrything
Sasa wewe watoto wa ccm watakukuja wakumbandike tag ya wewe ni mkenya juu ya kua na hisia tofauti na wao..
 
Ukweli gani kaongea huyo mkenya ? Name one ! Mimi nimetoa evidence za picha za mataifa mengine. Kuna lipi kafanya tukubali alichosema ??
angalia threads zote zake ambazo amechangia anauzalendo kwa nchi yake lakini si wakijinga kama wewe.sio lazima ukubaliane na maoni yake lakini i heshimu na uache kutusi watu because they have different opinion from yours
 
Sasa wewe watoto wa ccm watakukuja wakumbandike tag ya wewe ni mkenya juu ya kua na hisia tofauti na wao..
Muulize kwanza kama anaijua Travelator. Wewe mwenye umeshindwa kunionyesha travelator hapo JKIA hadi leoπŸ˜€πŸ˜€

Kuna Zero Brain mmoja analeta mambo ya MallsπŸ˜€πŸ˜€ Semeni hiyo kitu hakuna JKIA or i will keep demanding for itπŸ˜€πŸ˜€
 
Mall kitu personal ina walkways why is it so special.. Nmeelewa mbona mlicelebrate uzinduzi was lift
 
Ata nashanga iyo staff hu move pole pole afadhali ui avoid.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Travelator hu move polepole ?? Una huwakika ?? You can tune the travelator depending on the speed you want. Same thing for the escalators.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Angalia Travelator ya Toronto Airport
 
JNIA 2.5 MMillion total aircraft movents per year 75, 000.

JKIA 7 Million pax, Aircraft movement 322, 000! You have no chance of catching up!

People travel not because tge airports are nice or 'mordern'. People travel because the main reason is that they have something to do where they are going..
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Travelator hu move polepole ?? Una huwakika ?? You can tune the travelator depending on the speed you want. Same thing for the escalators.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Angalia Travelator ya Toronto Airport
Escalator na walk ways ni same shameful that someone is celebrating such..SHAME!!!!!
 
angalia threads zote zake ambazo amechangia anauzalendo kwa nchi yake lakini si wakijinga kama wewe.sio lazima ukubaliane na maoni yake lakini i heshimu na uache kutusi watu because they have different opinion from yours
Usitu force huyo mkenya we are not fools. Shikilia toilet paper mkononi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…