Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miji gani umeenda ?? NitajieMimi miji yote niliyoenda airport inakuwa mbali na mji na hakuna makazi ya watu karibu na pale.
Ina maana watu wa mipango miji hawajui kwamba mji unakua kwa kasi? Kwa nini hawakubudget for that kwenye mipango yao? The whole point of city planning ni kuweza kuweka mipango ambayo itakuwa relevant hata 100 years from now!!
Weka JNIA aerial view tuone mkuuMiji gani umeenda ?? Nitajie
😀😀😀Very funny. Unafanya reference na kiwanja kilicho jitenga kama kisiwa.! Please try to be smart sometimes🙁🙁😳Incheon International
Voted world's best for sijui how many years in a row
Alienda Mbeya, Songwe Airport ipo mbali na mjini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Miji gani umeenda ?? Nitajie
Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNINGWeka JNIA aerial view tuone mkuu
[emoji23]Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING
Wewe jamaa waajabu sana. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kawambie hao uliokuwa unafanya nao kikao wahame. Sisi hatuamishi kiwanja. Expansion ikihitajika tuna bomoa terminal 2 tunarefusha terminal 3. Kama hutaki kelele za ndege hama jiji nenda Bagamoyo![]()
JKIA
![]()
Vancouver
![]()
Frankfurt
![]()
Bangkok
![]()
Moscow
Ndo muache kujisifia ujinga, unakapaso kelele kibao wakati kuna wenzio wana vx wamekaa kimyaaaaMaisha hayafanani bro.
Kama hutaki aerial view hama jiji ludi kwenu. Umekuja Dar siku moja una jifanya mjanja.Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING
Wazee waduanz tu hawa
Kuna tofauti gani na Airport nyingine nilizo onyesha.?? Hivi unafikili nikazi kama mtu akihamua kutungua ndege?? Tatizo ni garama. Bomu dogo lakutungulia ndege ni $15,000/= nahali huzwi kama unavyo nunua pipi dukani. Ndege iliyo tunguliwa Ukraine kwani ilitunguliwa airport ?? Dont give stupid reasons hapa.Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING
Mtu kukaa kimia ni mahamuzi binafsi. This is Africa thats our nature.Ndo muache kujisifia ujinga, unakapaso kelele kibao wakati kuna wenzio wana vx wamekaa kimyaaaa
I hope you've now seen how painful it is arguing with your dimwit brothers who weren't educated in Kenya like you.mulisaaa sina haja ya kujibizana na wewe endelea kutetea ujinga. If it makes you feel good hurray JNIA is the best airport in the WORLD!! Good design....good location....enough room for expansion!
Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING
Mambo ya kuua na kuficha maskini nani kasema? Mm nlichosema ni wahamishwe wao (with compensation) au airport ingejengwa sehem nyingine.Una matatizo ya kutojali uhalisia wewe ni typical Mwafrika, uko radhi uuue na kuficha masikini wasionekane kwenye picha kumfurahisha Muzungu, Dar masikini hawafichwi kwa sababu na ndiyo uhalisia, ukitaka tufukuze watu wote waende wapi ili picha ionekane vizuri ktk angani?
He is not our brother. He is pretending to be a Tanzanian. Kwa sasa nimejua kuwa anatumia ID fake. I have startea to expose him just like what i did to HamstereI hope you've now seen how painful it is arguing with your dimwit brothers who weren't educated in Kenya like you.