Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Incheon International
Voted world's best for sijui how many years in a row
 
Mimi miji yote niliyoenda airport inakuwa mbali na mji na hakuna makazi ya watu karibu na pale.
Ina maana watu wa mipango miji hawajui kwamba mji unakua kwa kasi? Kwa nini hawakubudget for that kwenye mipango yao? The whole point of city planning ni kuweza kuweka mipango ambayo itakuwa relevant hata 100 years from now!!
Miji gani umeenda ?? Nitajie
 
Incheon International
Voted world's best for sijui how many years in a row
😀😀😀Very funny. Unafanya reference na kiwanja kilicho jitenga kama kisiwa.! Please try to be smart sometimes🙁🙁😳
eb49e830fae506603041c2568a508dba.jpg
IMG_2916.jpg
 
mulisaaa sina haja ya kujibizana na wewe endelea kutetea ujinga. If it makes you feel good hurray JNIA is the best airport in the WORLD!! Good design....good location....enough room for expansion!
 
JKIA-mbl.jpg

JKIA

plane-landing-at-yvr.jpg

Vancouver

jkr_4884.jpg

Frankfurt

bkk_06.jpg

Bangkok

1200px-Domodedovo_International_Airport_aerial_view.jpg

Moscow
Wewe jamaa waajabu sana. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kawambie hao uliokuwa unafanya nao kikao wahame. Sisi hatuamishi kiwanja. Expansion ikihitajika tuna bomoa terminal 2 tunarefusha terminal 3. Kama hutaki kelele za ndege hama jiji nenda Bagamoyo
 
Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING
Kama hutaki aerial view hama jiji ludi kwenu. Umekuja Dar siku moja una jifanya mjanja.
Hii ni aerial view ya Jomo Kenyatta International Airport. Majengo mengi yamezunguka Uwanja. For your info Jomo Kenyatta kuna hoteli nyingi karibu na uwanja wa ndege kuliko hapa Dar. You cant fool me
2018-04-22_12.21.14.jpg
 
Wazee waduanz tu hawa
Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING
Kuna tofauti gani na Airport nyingine nilizo onyesha.?? Hivi unafikili nikazi kama mtu akihamua kutungua ndege?? Tatizo ni garama. Bomu dogo lakutungulia ndege ni $15,000/= nahali huzwi kama unavyo nunua pipi dukani. Ndege iliyo tunguliwa Ukraine kwani ilitunguliwa airport ?? Dont give stupid reasons hapa.

Julius Nyerere Terminal 1
equity-post.jpg
Julius Nyerere Terminal 2
0b3c5-daressalaaminternationalterminal.jpg
Julius Nyerere Terminal 3
2018-04-22_12.34.27.jpg
Julius Nyerere aerial view with industrial park. Kwenye hii picha inaonyesha bado tunaeneo kubwa lakupanua terminal muda ukifika
8E3664FF-13BC-4789-8907-32B6A5AC5C74.jpeg
 
Ndo muache kujisifia ujinga, unakapaso kelele kibao wakati kuna wenzio wana vx wamekaa kimyaaaa
Mtu kukaa kimia ni mahamuzi binafsi. This is Africa thats our nature.
 
mulisaaa sina haja ya kujibizana na wewe endelea kutetea ujinga. If it makes you feel good hurray JNIA is the best airport in the WORLD!! Good design....good location....enough room for expansion!
I hope you've now seen how painful it is arguing with your dimwit brothers who weren't educated in Kenya like you.
 
Inatia aibu sana......aerial view mtu hutamani ulie. I took a video nikiipata nitakuwekea humu. POOR POOR POOR CITY PLANNING


Una matatizo ya kutojali uhalisia wewe ni typical Mwafrika, uko radhi uuue na kuficha masikini wasionekane kwenye picha kumfurahisha Muzungu, Dar masikini hawafichwi kwa sababu na ndiyo uhalisia, ulitaka tufukuze watu wote waende wapi ili picha ionekane vizuri ktk angani?
 
Una matatizo ya kutojali uhalisia wewe ni typical Mwafrika, uko radhi uuue na kuficha masikini wasionekane kwenye picha kumfurahisha Muzungu, Dar masikini hawafichwi kwa sababu na ndiyo uhalisia, ukitaka tufukuze watu wote waende wapi ili picha ionekane vizuri ktk angani?
Mambo ya kuua na kuficha maskini nani kasema? Mm nlichosema ni wahamishwe wao (with compensation) au airport ingejengwa sehem nyingine.
Anyways.....tatizo ni hao city planners wa miaka ya nyuma walikuwa wapi? Hawakuona kwamba tatizo kama hili litaibuka? Wameacha watu wamejenga karibu na makambi ya jeshi (kumbuka ile milipuko ya pugu/gomz), ubungo karibu na mitambo ya umeme, jangwani kwenye njia za maji etc
 
I hope you've now seen how painful it is arguing with your dimwit brothers who weren't educated in Kenya like you.
He is not our brother. He is pretending to be a Tanzanian. Kwa sasa nimejua kuwa anatumia ID fake. I have startea to expose him just like what i did to Hamstere
 
Back
Top Bottom