Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Mkuu sina uhakika kama slow anataka ajibiwe ila anatoa hyo asilimia ili watu wajue kuwa kunasehemu mfumo hauko vzr may be tuseme ni kwel AI si kwel... hzo asilimia 5 zinatosha sana... hyo baruti kama ulivyo ieleza hapo☝️☝️ ni kubwa mno.. ukiwa na kiu na njaa kwa pamoja kipi unaanza kukihitaji zaidi?


Nadhan tuendelee kula mtoli nyama tutazikuta chini! Zingatia tu kuwa Bwana
Slow hajaseme ajibiwe ila amesema wapatikane watu manguri wa It ili wakajiridhishe fulstop
 
Muuuza kahawa hapa kijiweni muongeze kikombe kingine huyu kijana aendelee kumwaga STORY ZA VIJIWENI...... enhee kwa hiyo aliwekwa house arrest baada ya hapo..
 

Ndiyo maana mimi nasema hii ni power struggle ya ndani ya CCM zaidi ya Polepole kutaka mageuzi ya kweli ya kuisaidia nchi.

Kwa sababu mtu anayetaka mageuzi ya kweli hatakiwi kukubania mambo akuoe 5% tu wakati anajua 99.99% ya mambo.

Kama anataka mabadiliko kivile na ana nia nzuri kweli, kwa nini anatubania mambo anatoa kidogo tu? Kwa nini hataji mambo mengi sana kwa detail?

Tatizo ni kwamba kuna levels.

Ukiwa unajua yote anayosema Polepole tayari, na unaona contradictions katika hoja za Polepole, utakuwa underwhelmed na kuona Polepole ana overpromise na ku underdeliver. Kwa sababu unategemea zaidi kutoka kwa mtu kama Polepole aliyekuwa na acccess kubwa sana kwenye mifumo.

Ningetegemea atuambie makubwa zaidi kuhusu maovu yaliyofanywa na CCM. Atuoneshe where the bodies are buried so to speak.

Sitegemei arudie mambo yaliyojulikana katika public domain kwamba Rostam ni fisadi.

Ila, kama hujafuatilia mambo haya, na unakuwa impressed na theatrics kuliko substance, of course utaona Polepole analipua mabomu ya maana sana.

Levels.
 
Na kale kakituo kao ka kipumbavu ka akina January Makamba eti tallying center
Unaweza kuona sasa ,upeo wa polepole ccm upo juu sana kuliko hata wabunge ambao wamekua bungeni na ni wanaccm mfano Mpina ,wapo na lack of information nyingi ,kama sivyo uwezo wa kisiasa wa Mpina aliokuwa amefikia hakuhitaji kwenda kugombea kwenye chama kile na kwa nafasi ile, angegombea ubunge jimboni kwake kupitia chama kile.

Polepole kwa umri wake ana information ya mambo mengi sana ndani ya nchi hii , sasa hata wakina mzee Butiku wakipumzika tiyari wametengeneza kijana imara sana , na wenda sio poleple tu
 
Duuh
 
Ndani ya mfungo wa Novena nikiwa pamoja na Rc maana najua niliishia sehemu flani katika madaraja ya kupata upadisho ,ila iyo ni kazi ya Mungu , kwamba nitatumikia pengine ,twende Mungu yupo kazini
 
Mzee Butiku na Warioba sio wa kuchukulia poa
 
Aliratibu kwa maelekezo na kusimamia ila wajenzi walikuwa kandarasi ya wachina na korea kusini inawezekana
 
Umemaliza heri Mimi cijasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…