Modi kamchana live Puttin uso kwa uso bila kupepesa macho

Na Wachina hawahindwi kitu. Mbona Mmarekani alipoipiga ban Huawei wasitumie mfumo wa Android kama operating system

Huawei wakaja na mfumo wao mpya unaoitwa Harmony OS na simu zinapiga kazi vizuri zaidi

Jamaa hawashindwi kitu.
 
Jamaa wali tumia akili sana kwenye like swala la Pelosi, yule mother Tsai ing wen ata wamaliza ROC maana anaonekana ana maamuzi ya hovyo sana yaliyo hatari kwa Taiwan tofauti na baadhi ya watangulizi wake . Wataiwan zaidi ya 2M wapo mainland wanapiga kazi huyu mother anaweza kuwa haribia hao. Huyu ana damu ya kijapan ni hasara kwa Wachina wa Taiwan.
 
Na Wachina hawahindwi kitu. Mbona Mmarekani alipoipiga ban Huawei wasitumie mfumo wa Android kama operating system

Huawei wakaja na mfumo wao mpya unaoitwa Harmony OS na simu zinapiga kazi vizuri zaidi

Jamaa hawashindwi kitu.
Na Sasa hivi Kuna mzigo mwingine unaitwa Honnor unakuja kwa kasi sana upande wa simu.

Taiwan wanaitegemea Mainland kiuchumi na kibiashara kwa zaidi ya 45%.
 
Na wachambuzi kwenye medani za siasa wameionya ROC kuwa kuwasikiliza Marekani kunaweza kuicost ROC

Yule mama hajaijua Marekani.

Marekani anaangalia interest zake anataka akitumie kile kisiwa kama potential area dhidi ya expansion ya China. Ameona China inazidi kuwa na ushawishi kule Asia na inafanya expansion kila kukicha

Hata Waitaiwan wengi wamekuwa sio wafuasi wa kile Marekani anataka raisi wa Taiwan kufanya dhidi ya PRC
 
Tsai ing wen alichaguliwa katika uchaguzi huru na haki mwaka 2020 kwa 57% ya kura zote walizompigia Wataiwan milioni 8 akimshinda mpinzani wake. Xi Jinping amechaguliwa na nani kuwa Rais wa China? Wachina wangapi walimpigia kura kuwa kiongozi wao??
 
Wachina 1 Bln + kwa asilimia zaidi 95% wana pendezwa na serikali yao ya China chini ya CPC kupitia kiongozi wao Xi Jinping kwa kazi nzuri wanayo fanya kwa China.

Huu sio utafiti wangu bali ni utafiti wa chuo kikuu cha marekani [ Havard ].
 
Wataiwan walio wengi hawataki kuona wanapigana tena na ndugu zao wao wanacho taka ni peacefully Unification kitu ambacho hata katiba ya Taiwan Ina pendekeza lakini sio hiki huyu mama na marekani wanafanya sasa kuvuruga huo mpango.
 
Kama anampinga kwanini hakufanya hivyo kwenye kura ya UN? Au wewe ndiye huelewi lugha?
 
Wachina 1 Bln + kwa asilimia zaidi 95% wana pendezwa na serikali yao ya China chini ya CPC kupitia kiongozi wao Xi Jinping kwa kazi nzuri wanayo fanya kwa China.

Huu sio utafiti wangu bali ni utafiti wa chuo kikuu cha marekani [ Havard ].
Samahani mkuu

Hiki ndicho ulichoulizwa? Jaribu kupitia upya swali.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Samahani mkuu

Hiki ndicho ulichoulizwa? Jaribu kupitia upya swali.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Swali lake nili kwisha mjibu toka muda sana hii ni mara ya pili ana uliza swali lile lile anataka kipi cha tofauti na majibu yangu ya awali . System nzima namna china viongozi wana patikana nili kwisha muelekeza . Hakuna kingine cha tofauti na kile nilicho sema awali .

Kitu nilicho jibu hapo ni kungongelea msumari kwa kitu cha mwanzo tu , natumai majibu ya mwanzo alisoma na alinielewa.
 
Anajivunia mabest walioni na nguvu lkn uwezo mdogo kama mandonga,uyo mmoja kapigwa mkwara juzi na kamama spika akalowa kila mahali mwisho akaishia kujifurahisha na mazoezi ya kupiga bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…