Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Yeah Mchina sio warmonger kama MarekaniHawa jamaa kwenye ulimwengu wa biashara na uchumi wame teka sehemu mbalimbali za dunia. Ni ngumu kuwa kwepa napenda namna wanavyo tanguliza ushirikiano wa biashara na uchumi mbele kuliko vita. Na uchumi na biashara hawa mabwana wanaweza sana kudos nyingi ziende kwa chama makini CPC wanajua kazi yao kama chama kwa China.
Hawa jamaa kwenye ulimwengu wa sasa wa kibiashara hawakwepeki hata kidogo
Kile chama kina watu makini sana ni wazee fulani hivi wenye busara zao sana ukiwaona kwenye mikutano yao
Wanajua sana kuyalinda na kusubsidy makampuni na taasisi zao ndo maana zinakua kwa kasi na kupenya kila kona duniani