MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Asprin nilikuamini sana ila naona umemua kuniingilia kwa kumnyemelea mai waifu...
Kumbe bora poyoyo wangu Bishanga kuliko wewe babu muharibifu....
Kijana wangu Erickb52 usisikilize maneno ya watu tutagombana bure. Isitoshe si heri mie wa damu yako nikuchukulie mkeo kuliko Bishanga ampige katerero asahau kurudi kwako? Think kijana Think..... afu si unajua Bishanga hatumiagi kondom, haya maradhi si atamuambukiza mkeo. Mi ni nduguyo na wahenga walisema kizuri kula na nduguyo.
 
Last edited by a moderator:
lolest Fixed Point u have made my day kabisaaaaaaaaaaa! now i can sleep, kujua mkwe wamepata, tena manati yenyewe nakushauri kachukulie chalinze, manati ya mninga! ushawahi kuona weye?

Weweee mamawatoto cacico, hayo manati ya nini? unataka kuwatoa watoto wangu macho eee???
 
Last edited by a moderator:
Mtu yeyote mwenye hekima na busara zake wa jinsia ya kike, hebu aje kitandani hapa anihadithie hapa mnajadiliana kitu gani hasa?:bange::bange:
Asprin,ukiwa kama ndugu yangu wa karibu, kwa nini unataka kuvunja mbavu mbili za Mwenyekiti, ashindwe kula weekend hadi jumatatu?
 
Last edited by a moderator:
Asprin,ukiwa kama ndugu yangu wa karibu, kwa nini unataka kuvunja mbavu mbili za Mwenyekiti, ashindwe kula weekend hadi jumatatu?
Oh samahani ndugu yangu Kaizer nlijisahau kukaunt dhem deiz..... Three days left.....:welcome:
 
Last edited by a moderator:
Amezoea kusutwa mtu mzima mwenzetu huyu,
keshasahau ya wiki iliyopita sasa kaanza upya.

Ngoja wamshukie atashangaa.
hahahahhaaaa ya wiki iliyopita yepi tena Mam?
 
Hajuagi kufuta mdomo Fixed Point....

haya mambo yana principles zake, ambazo inabidi wote kuzijua sawia.

wengine ndo maana huwa hatupendi kuset high bars manake kanuni za mchezo tunazijua lol
hayo waachie akina Bishanga ambao hawajali kuaibika
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mke wandoa kitu gani?? alipinduliwa princess Diana, monica naye akala na Clinton?? itakuwa huyo mke wa Erickb52??? ye angoje kumwaga machozi ya mvua, maana expiring date ndio hiyooooooooooo imewadia! lol!

katika hili niko upande wa mrs erick.
 
Sasa huko Lupango umenipeleka na mabinti kibao, si watarudi na vimimba vimeshatuna? Think Bishanga Think!

:israel::israel:Wasamehe bure, nchi haina chakula cha kuwalisha watakaozaliwa:israel::israel:

Bishanga
Mkuu mambo vipi.

Umemhonga Bishanga nini?
Angalia, ndo huwa anaanza hivi hivi hadi anaomba hazina ya taifa
 

ama kweli maneno matamu yalimtoa nyoka pangoni.
erick pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…