MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Mi na Paw jamani wapi na wapi? Mbona unataka kunichonganisha na King'asti? Naomba uweke jina langu karibu na la Alter wangu hapo kwenye clean records tafadhali...
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ahsante kwa taarifa, lol sio mbaya sana, kikubwa kadogoo asikose malezi ya baba, ila Erickb52 asije tu kula kuku, mayai, manyoya, firigisi, bandama, maana wababa wa nje bila roho wa bwana ni bure kabisa!
Dah hata wewe cacico unantosa? mh dunia hajuna mwema
 
Last edited by a moderator:
Young_Master hubby kwani saa ngapi, na tarehe ngapi leo, naomba niulizie kwa babu Asprin!
:A S-coffee:
Bishanga naona unaota sasa,subiri namalizia kumpa Rejao wangu cha ucku km nitakua bado na nguvu ntarudi,otherwise hatujaachana na ban cpati ebo!alafu uache kunibip ctaki vidumu nenda kwa Kongosho lol!
:hatari:
Hahahahahaha!shikamoo babu Asprin lol!
😛oa:eyebrows:
We canta wewe!
😛hoto:
Sema Bishanga,faster basi Rejao yuko juu ujue!
:spy:

Yan huo utetezi wa Asprin ni km petrol coz ananipandishia hasira tu
:smash:
Hakuna haja ya kumsitiri mzee mlaku km huyu ni kujichosha tu... Bishanga ni zigo la misumari halibebeki na Asprin naona yuko kasi sana
:lol:


:focus:
 
Mi na Paw jamani wapi na wapi? Mbona unataka kunichonganisha na King'asti? Naomba uweke jina langu karibu na la Alter wangu hapo kwenye clean records tafadhali...
Nimetuma makachero wangu sobhuza,boflo na figganigga wafuatilie nyendo zako,nikishapata taarifa za kiintelijensia nita edit,laki so far the verdict stands.
 
Last edited by a moderator:
Ole wako Bishanga ungeniweka kwenye list yako unabahati wewe? Ungekula [color=8000800]double life ban![/color] lol

Unatumia mawani saizi gani,mbona nshakutandika ban kwa kutokutoa 'like' za kutosha kwa bishanga?
 
Last edited by a moderator:
:israel::israel:Wasamehe bure, nchi haina chakula cha kuwalisha watakaozaliwa:israel::israel:



Umemhonga Bishanga nini?
Angalia, ndo huwa anaanza hivi hivi hadi anaomba hazina ya taifa
Umeamkaje konnie?
 
Back
Top Bottom