Ushahidi pleaseSecular historians agree that Jesus was crucified but Muslims wanaamini Yesu hakusulubiwa according to their prophet who lived 5 centuries baada ya Yesu kuondoka 😂😂😂
Ushahidi pleaseSecular historians agree that Jesus was crucified but Muslims wanaamini Yesu hakusulubiwa according to their prophet who lived 5 centuries baada ya Yesu kuondoka 😂😂😂
Onyesha kashfa hapo please,Niseme hivi; badala ya kukashifu mafundisho ya Quran au Biblia ULIZA!
Kwa wenye maarifa wanasema hivi; acheni kila mtu abaki na dini yake
Ref Quran Sura #109.
1. Enyi msio amini uislam!
2. Mimi Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Soma historia namaanisha secular history, usisumbue watu kwa uvivu wako wa kusomaUshahidi please
Soma historia namaanisha secular history, usisumbue watu kwa uvivu wako wa kusoma
Kashfa ni kuwapangia Waislamu kitu cha kuamini. Mfano; Waislam hawa amini kuwa;Onyesha kashfa hapo please,
lete ushahidi wa hayo maneno yako huko ulikoyatoa ???Kashfa ni kuwapangia Waislamu kitu cha kuamini
Waislam hawa amini Kuwa; Wanadam walimkosea Yesu, wakampiga hadi AKAFARIKI ili awasameheme makosa waliyo mkosea. Tatizo lipo wapi? waache waamini wanacho kiamini na wewe amini unacho kiamini..
Siku za mwisho tutajua mbivu na mbichi!
Soma historia namaanisha secular history, usisumbue watu kwa uvivu wako wa kusoma
Kashfa ni kuwapangia Waislamu kitu cha kuamini
Waislam hawa amini Kuwa; Wanadam walimkosea Yesu, wakampiga hadi AKAFARIKI ili awasameheme makosa waliyo mkosea. Tatizo lipo wapi? waache waamini wanacho kiamini na wewe amini unacho kiamini..
Siku za mwisho tutajua mbivu na mbichi!
| Idadi ya wanawake kwenye kaburi? | Aya ya Biblia | Kiswahili rahisi |
|---|---|---|
| Wanawake 4 + ? | Luka 24:10 | “Walikuwa Maria Magdalene, Yohana, na Maria mama yake Yakobo, pamoja na wanawake wengine waliokuwa pamoja nao. Hao waliwaambia mitume mambo hayo.” |
| Wanawake 3 ? | Marko 16:1 | “Sabato ilipokwisha, Maria Magdalene, Maria mama yake Yakobo, na Salome walinunua manukato ili waende kumpaka Yesu.” |
| Wanawake 2 ? | Mathayo 28:1 | “Sabato ilipokwisha, kulipokuwa kunapambazuka siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene na Maria mwingine walikwenda kulitazama kaburi.” |
| Mwanamke 1 ? | Yohana 20:1 | “Siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene alikwenda kaburini mapema, wakati bado kulikuwa na giza, akaona jiwe limeondolewa kwenye kaburi.” |
| Hakuna hata mmoja! | 1 Wakorintho 15:4–8 | “Alifufuka siku ya tatu, kama Maandiko yanavyosema. Kisha alimtokea Kefa (Petro), halafu wale kumi na wawili. Baadaye aliwatokea zaidi ya ndugu 500 kwa wakati mmoja; wengi wao walikuwa bado hai wakati huo, ingawa wengine walikuwa wamekufa. Baadaye alimtokea Yakobo, kisha mitume wote. Na mwisho wa wote, alinitokea mimi pia.” |
Nikisema nyerere alipigana vita na idiamini wewe unaelewa nini?...au unaelewa nyerere na idiamini ndiyo walishika bunduki peke yao na kupigana ..utofauti hspo ni kutajwa watu wa msingi ...mwingine ana weza kumtaja mmoja na mwingine kuwataja wawili na mwingine kuwataja watatu ...hivyo aliye mtaja mariamu peke yake yupo sahihi na aliye mtaja mariamu na mwenzake yupo sahihi ...Lwiva, jiwe angavu, ipyax,yoda
USHUHUDA WA KUAMINIKA?
Idadi ya wanawake kwenye kaburi? Aya ya Biblia Kiswahili rahisi Wanawake 4 + ? Luka 24:10 “Walikuwa Maria Magdalene, Yohana, na Maria mama yake Yakobo, pamoja na wanawake wengine waliokuwa pamoja nao. Hao waliwaambia mitume mambo hayo.” Wanawake 3 ? Marko 16:1 “Sabato ilipokwisha, Maria Magdalene, Maria mama yake Yakobo, na Salome walinunua manukato ili waende kumpaka Yesu.” Wanawake 2 ? Mathayo 28:1 “Sabato ilipokwisha, kulipokuwa kunapambazuka siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene na Maria mwingine walikwenda kulitazama kaburi.” Mwanamke 1 ? Yohana 20:1 “Siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene alikwenda kaburini mapema, wakati bado kulikuwa na giza, akaona jiwe limeondolewa kwenye kaburi.” Hakuna hata mmoja! 1 Wakorintho 15:4–8 “Alifufuka siku ya tatu, kama Maandiko yanavyosema. Kisha alimtokea Kefa (Petro), halafu wale kumi na wawili. Baadaye aliwatokea zaidi ya ndugu 500 kwa wakati mmoja; wengi wao walikuwa bado hai wakati huo, ingawa wengine walikuwa wamekufa. Baadaye alimtokea Yakobo, kisha mitume wote. Na mwisho wa wote, alinitokea mimi pia.” Swali
Ni wanawake wangapi walienda kwenye kaburi?
Chart inaonyesha kwamba Injili tofauti zinataja idadi tofauti ya wanawake kwenye kaburi: wanne au zaidi, watatu, wawili, mmoja, na katika 1 Wakorintho 15 hakuna mwanamke anayetajwa.
Lwiva, jiwe angavu, ipyax,yoda

Nikisema nyerere alipigana vita na idiamini wewe unaelewa nini?...au unaelewa nyerere na idiamini ndiyo walishika bunduki peke yao na kupigana ..utofauti hspo ni kutajwa watu wa msingi ...mwingine ana weza kumtaja mmoja na mwingine kuwataja wawili na mwingine kuwataja watatu ...hivyo aliye mtaja mariamu peke yake yupo sahihi na aliye mtaja mariamu na mwenzake yupo sahihi ...
Katika Uandishi.
Sio lazima kumtaja kila mtu aliyekuwepo kwenye tukio husika.
Unaweza kutaja wale specific ambao unaona ni wa muhimu kwenye uandishi wako.
Mfano. Hebu tuangalie huyo aliyemtaja mmoja
Yohana 20:1.
Je ina maan wengine hawakuwepo?.
hebu soma mstar wa pili.
"Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka"
" (Yohana 20:2).
Hapa Neno "hatujui" linathibitisha kuwa hakuwa peke yake.
Mwandishi alikuwa na uhuru wa kutaja majina ya watu ambao ni muhimu zaidi kwa simulizi yake au wale waliokuwa wanafahamika zaidi na wasomaji wake. Mfano hapo kutajwa kwa mwanamke mmoja hakumaanishi wengine hawakuwepo, bali yeye ndiye aliyekuwa kiini cha simulizi hiyo
I hope you got a point mwanetu.
Halafu mstari wa 2 unasema:“Maria Magdalene alikwenda kaburini…”
Neno “hatujui” linaonyesha kwamba Maria hakusema “sijui” tu; anasema “hatujui.” Hilo linaweza kuonyesha kwamba hakuwa akizungumza kwa niaba yake peke yake. Nakubali hilo.“Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka.”
Nikisema nyerere alipigana vita na idiamini wewe unaelewa nini?...au unaelewa nyerere na idiamini ndiyo walishika bunduki peke yao na kupigana ..utofauti hspo ni kutajwa watu wa msingi ...mwingine ana weza kumtaja mmoja na mwingine kuwataja wawili na mwingine kuwataja watatu ...hivyo aliye mtaja mariamu peke yake yupo sahihi na aliye mtaja mariamu na mwenzake yupo sahihi ...
So strange and ridiculous
Lakini pia “kutajwa kwa watu wawili, watatu, au kundi fulani hakuthibitishi kwamba orodha hiyo ni kamili.”
Sasa swali langu ni: Je, unakubali kwamba simulizi hizi hazitoi orodha moja inayofanana ya wanawake waliokwenda kaburini?
Kwa nini simulizi nne za tukio hili zinatofautiana kuhusu ni wanawake gani waliokwenda kaburini? Na tunajuaje kwa uhakika ni akina nani waliokuwepo?
Hili linaonekana zaidi katika habari zinazohusu mateso, kifo na ufufuo wa Yesu. Mwandishi anasema kwamba habari hizi ni taarifa fupi za kusikia kutoka kwa watu wengine, zilizotokana na chanzo cha pamoja na baadaye kujengwa kuwa pokeo moja lenye mkanganyiko.
Kwa mtu anayefikiri kwa kutumia akili na mantiki, mapungufu, makosa na mambo yanayopingana katika taarifa hizi za Biblia yanaweza kushangaza.
Ni Kweli hakuna idadi kamili.
Ila walikuwa zaid ya mmoja.
Ni kama hadithi yenu ya wale vijana wa pangoni.
Na Quran ikasema allah ndio anajua idadi.
"Watasema Walikuwa watatu, wa nne wao ni mbwa wao. Na watasema: Walikuwa watano, wa sita wao ni mbwa wao—wanakisia yasiyoonekana. Na watasema: Walikuwa saba, na wa nane wao ni mbwa wao. Sema: Mola wangu Ndiye Anayejua zaidi idadi yao..."
(Surah Al-Kahf 18:22)
Ni ujinga kunisomea maandiko ya Quran wakati mimi siamini QuranNiseme hivi; badala ya kukashifu mafundisho ya Quran au Biblia ULIZA ufafanuliwe!
Kwa wenye maarifa wanasema hivi; acheni kila mtu abaki na dini yake
Ref Quran Sura #109.
1. Enyi msio amini uislam!
2. Mimi Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Kuna namna hutuelewi.
Tushasema kwanini zinatofautoana.
Na tushasema ni Kweli hazitaji idadi kamili.
Waliyemtarget na ambaye mwandishi alitakiwa kumuonyesha kama muhusika Mkuu ni Maria Magdalena. Na ambaye kwenye waandishi wote wanne wamemuongelea.
Ila hakuwa mwenyewe.
“Maria Magdalene alikwenda kaburini…”
“Maria Magdalene na yule Maria mwingine…”
“Maria Magdalene, Maria mama yake Yakobo, na Salome…”
“Maria Magdalene, na Yohana, na Maria mama yake Yakobo, na wanawake wengine…”