Haya quran 3:55ndiyo aya hiyo umeleta ??
Haya quran 3:55ndiyo aya hiyo umeleta ??
Haya quran 3:55
Nini maana ya kufisha?ulitaka kusema kitu gani kuhusu hiyo aya ?? mimi ni muislamu na naiamini quran
Sawa
Nini maana ya kufisha?
Hapo usilazimishe maana ..ukubali tu mtunzi wa quran alijisahau akajichanganya.Neno “nitakufisha” (متوفيك) katika Qur’an 3:55 limetokana na mzizi wa Kiarabu و ف ي (w-f-y), wenye maana ya kuchukua/kukamilisha jambo kikamilifu. Ndiyo maana tafsiri za Kiislamu zimeeleza maana yake kwa namna tofauti kulingana na muktadha.
Muhimu ni kwamba Qur’an yenyewe inaeleza wazi katika 4:157–158 kwamba Isa hakuuawa wala hakusulubiwa, bali Allah alimuinua kwake.
Kwa hiyo, si sahihi kuchukua neno “mutawaffīka” pekee na kudai kwamba lazima maana yake ni “Isa alikufa.” Aya zinazozungumzia Isa zinapaswa kusomwa pamoja:
3:55: Allah anasema atamchukua na kumuinua kwake.
4:157–158: Watu hawakumuua wala kumsulubisha, bali Allah alimuinua kwake.
Kama unasema “mutawaffīka” maana yake ni “nitakuua”, unawezaje kueleza 4:157–158 inayosema wazi kwamba hawakumuua Isa na Allah alimuinua kwake?
Hapo usilazimishe maana ..ukubali tu mtunzi wa quran alijisahau akajichanganya.
story kubwa bila ushahidi wa aya yoyoteShetani Huwa anajaribu kwa Nguvu kubwa Kwa kuwatumia Binadamu ili wawashawishi wenzao kwamba Mungu hayupo, na kama Mungu hayupo then Shetani naye hayupo....!
Kama Kuna Mpango ambao ulimuumbua Shetani basi ni Mpango wa kuzaliwa Kwa Yesu Kristo, na bahati nzuri ni Mpango ambaye Baba pekee alikua anajua, na Yesu mwenyewe alikua anajua, that time Yesu alikua akijulikana kama the word of God, na maeneo mengine Biblia imemtaja kama the Wisdom of God, pia maeneo mengine hasa Agano la kale alijulikana kama the Angel of God.... Ni bada ya Ujauzito tunajua Angels wachache na Wale volume wachache ambao hukaa Patakatifu pa patakatifu huko Mbinguni wanapata taarifa na taarifa hiyo haikua Kwa. malaika wote.
Yesu alipozaliwa tu Shetani alijaribu Kila njia kuzuia asikue hakuweza, kete yake kubwa ilikua kuwashawishi Watu wasiamini kwamba Yesu alikufa Msalabani, coz Ukombozi wa Mkristo, kwenda kwake Mbinguni, Wokovu, vyote vilifanyika baada ya Kifo Cha Yesu, na Shetani akatumia Nguvu kubwa kuwaaminisha Watu kuwa habari ya Msalaba ni uongo, na alichofanya ni ku create religion nyingine ambayo haitaamini Uungu wa Yesu, Kifo Cha Yesu na Ufufuo wa Yesu, katika Hilo Shetani amejaribu...!
Ila haiondoi ukweli Kwamba Yesu ni Mungu.
Hapo usilazimishe maana ..ukubali tu mtunzi wa quran alijisahau akajichanganya.Neno “nitakufisha” (متوفيك) katika Qur’an 3:55 limetokana na mzizi wa Kiarabu و ف ي (w-f-y), wenye maana ya kuchukua/kukamilisha jambo kikamilifu. Ndiyo maana tafsiri za Kiislamu zimeeleza maana yake kwa namna tofauti kulingana na muktadha.
Muhimu ni kwamba Qur’an yenyewe inaeleza wazi katika 4:157–158 kwamba Isa hakuuawa wala hakusulubiwa, bali Allah alimuinua kwake.
Kwa hiyo, si sahihi kuchukua neno “mutawaffīka” pekee na kudai kwamba lazima maana yake ni “Isa alikufa.” Aya zinazozungumzia Isa zinapaswa kusomwa pamoja:
3:55: Allah anasema atamchukua na kumuinua kwake.
4:157–158: Watu hawakumuua wala kumsulubisha, bali Allah alimuinua kwake.
Kama unasema “mutawaffīka” maana yake ni “nitakuua”, unawezaje kueleza 4:157–158 inayosema wazi kwamba hawakumuua Isa na Allah alimuinua kwake?
Kama unasema mwandishi wa Qur’an “alijisahau na kujichanganya”, basi thibitisha kwanza kwamba kuna mgongano wa kweli. Si kila tofauti ya maneno ni contradiction.Hapo usilazimishe maana ..ukubali tu mtunzi wa quran alijisahau akajichanganya.
Kumbe unadhani kwa hiyo hauna uhakika kimahesabu kama Allah = ShetanYesu alikuwa anajua kusoma na kuandika? Maana kusoma na kuandika kipindi kile Ilikuwa ni kwa watu walioyoka familia zinazojiweza nadhani....
Inaonekana unamsikiliza sana Babu yako mazingeNikuulize
Wewe unamuamini Yesu kama nani?
Je Yesu alitumwa kwa watu gani hapa duniani?
Ukinijibu nitakupa facts za kuvurugwa injili
Pia kuna swali nilikuuliza mwanzoni sema ukajaribu kulikwepa..nilikuuliza aliyekufa msalabani badala ya Yesu ni nani ukasema hakuna aliyekufa badala ya Yesu.Ila quran inakubali kuna mtu alikufa badala ya Yesu ndio mana inasema wala hawakumuua wala hawakumsulubu bali walifananishiwa tu(Babaishwa).Kwa hiyo quran inaamini wayahudi wanaamini kuwa walismulubu Yesu na kumuua ila Allah aliweka mtu wa kufanana na Yesu ili wajione wamemuua Yesu.Kama unasema mwandishi wa Qur’an “alijisahau na kujichanganya”, basi thibitisha kwanza kwamba kuna mgongano wa kweli. Si kila tofauti ya maneno ni contradiction.
Na kwa kutumia Biblia yako: je, Biblia yenyewe haina maandiko ambayo yanahitaji kuyalinganisha ili kuelewa maana?
Mfano, Yohana 19:17 inasema Yesu alibeba msalaba wake mwenyewe. Lakini Mathayo 27:32, Marko 15:21 na Luka 23:26 zinasema Simoni wa Kirene alilazimishwa kuubeba. Ukisoma mstari mmoja tu unaweza kusema Biblia inajichanganya. Lakini ukiziunganisha, unaelewa kwamba Yesu alianza kuubeba, kisha Simoni akalazimishwa kuubeba.
Vivyo hivyo, Qur’an 3:55 haipaswi kutengwa na 4:157–158, ambapo inasema hawakumuua wala kumsulubisha Isa, bali Allah alimuinua Kwake.
Kwa hiyo kabla hujasema “Qur’an ilijisahau,” tumia kanuni hiyo hiyo kwa Biblia yako: linganisha aya zote zinazohusu jambo moja, kisha ndipo utoe hitimisho.
Na kama unaona kuna contradiction katika Qur’an, ionyeshe kwa aya zote mbili na ueleze ni kwa nini haziwezi kupatanishwa. Sio kusema tu “mwandishi alijisahau.”
Quran 3:3-4ndiyo aya hiyo umeleta ??
nilikujibu kwa mujibu wa kitabu chako cha biblia hakuna yesu aliyesulubiwa au uniambie ni wapi Simoni alimrudishia yesu msalaba wake , lete ushahidi pleaseP
Pia kuna swali nilikuuliza mwanzoni sema ukajaribu kulikwepa..nilikuuliza aliyekufa msalabani badala ya Yesu ni nani ukasema hakuna aliyekufa badala ya Yesu.Ila quran inakubali kuna mtu alikufa badala ya Yesu ndio mana inasema wala hawakumuua wala hawakumsulubu bali walifananishiwa tu(Babaishwa).Kwa hiyo quran inaamini wayahudi wanaamini kuwa walismulubu Yesu na kumuua ila Allah aliweka mtu wa kufanana na Yesu ili wajione wamemuua Yesu.
Hili suala la Mohamed kusema Yesu hakufa msalabani ni kituko kweli, kila mtu anayeamini Yesu alikuwa mtu halisi kihistoria aliyeishi duniani anaamini Yesu alikufa msalabani.
Hata Atheists na Agonistics wanaamini Yesu alisulubiwa na kufa msalabani kama jambo halisi la historia.
Mudi bora angesema Yesu hakufufuka angeonekana mtu serious wa maana na watu wengi wenye akili ila kusema Yesu hakufa kabisa ni sawa na wanaosema Yesu hakuwahi kuwepo wakati ushahidi wa kihistoria umejaa tele.
Sawa twende kwa mujibu wa Quran ..Je wayahudi walivyokuwa wanadai wamemsulubu Issa na Allah akawababaisha ni nani aliyesulubiwa badala ya Issa?nilikujibu kwa mujibu wa kitabu chako cha biblia akuna yesu aliyesulubiwa au uniambie ni wapi Simoni alimrudishia yesu msalaba wake , lete ushahidi please