MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Ni mpumbavu anasema huu ni ujinga halafu anapoteza muda wake kutoa povu kwenye ujinga!Masharti hayo yanawekwa na nani? Mlipaji au anayedai? Hebu tuondelee ujinga wako hapa!
Nani aliyewahi kuzungumza yaliyomsibu hapo kabla? Miongoni mwa wote waliowahi kufanyiwa umafia nchi hii, ni nani aliyewahi kuzungumza? Au hawakuzungumza kwa sababu walilipa ransom?
Hiyo ni hoja yako na wana-Lumumba wenzako pamoja na genge lote la wahalifu kama wale ambao waliwahi hadi kuvamia studio! Hoja iliyo mbele ya wananchi ni je, baada ya kutoweka Ben Saanane na hatimae Mwandishi wa Mwananchi, kisha kutoweka kwa ROMA na baadae kuja kupatikana kabla hajatoweka Mo Dewji na kufuatiwa na drama za Kamanda Sirro; WHO'S NEXT! Usitake kuaminisha watu kwamba utekaji kwa sasa unalenga matajiri wakati utekaji nchi hii hivi sasa unaelekea kuwa ni jambo la kawida! WHO NEXT?
Umejuaje kwamba huko kusini mwa Afrika huwa wanateka matajiro for ransom wakati umeshasema masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lolote?
Povu ulilotoa linaonyesha ni jinsi gani ujinga wangu umekuchoma kihoja mpaka unaonyesha upumbavu wako!
Kama umechukia sana, go hang! Who care?