Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Ni mpumbavu anasema huu ni ujinga halafu anapoteza muda wake kutoa povu kwenye ujinga!

Povu ulilotoa linaonyesha ni jinsi gani ujinga wangu umekuchoma kihoja mpaka unaonyesha upumbavu wako!

Kama umechukia sana, go hang! Who care?
 
Someni komenti za ma ccm....

Guest starring Zirro kashindwa kumalizia muvi...

Mpyuuuuu....
 
Kwahio kaachiwa baada yakutoa hela ambazo waliomba au hao wazungu wamekamatwa?

Na kama wametoa hela kwa watekaji wamepeana vipi hizo hela na tutajuaje kama hao watekaji hawataendelea kuteka watu?

Tunashukuru Mo yupo hai, watekaji status yao vipi?
 

Roho nzuri ya MO na kujichanganya na watu kuondoa tabaka la tajiri na masikini ndio limemfanya apendwe na Watanzania wengi na wala sio kuwekeza Simba.
 
Mpe huyo zero brain
 
Mo amerejea nyumbani kwake mzima wa afya usiku huu, kelele za watanzania na dunia kwa ujumla zimesaidia...
Shukrani za pekee kwa mungu wetu [emoji120][emoji120][emoji120]
Karibu nyumbani, Mkurugegenzi w MeTL
Uendelee kuwapa ajira watanzania...
 
Mzuqaaaa!

Anajulikana mwamba wa kaskazini akitamka kitu kinatetemesha laana siyo mwengine bali
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
GODBLESS JONATHAN LEMA

Ilibidi wasande maamae jamaa aliposema leo ataitisha press. Wakakaa nakuafikia nakukubaliana wamtoe faster Mo wetu kabla Mic lukuki za kitaifa na kimataifa zikimzunguka meza idpokua za tbc.

Walishapiga mahesabu hapa hii press ya pili ya mwamba wa kaskazini itatuweka pabaya kwasababu zile nondo na madini Godlesa angeshusha.

Hakuna kuwachekeachekea tena.

Mods pleaseaaa msiunganishe uz wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…