Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Ni kweli kabisa tunamshukuru Mwenye Mungu kwenje jambo hili, ila asipotuambua alikuwa wapi na tukio zima la kutekwa kwake lilikuaje watanzania hatuta mwelewa!
Watanzania tunaelewa usilimletee Mo balaa kwani wewe ulikua hujui nani kamteka??
 
Mimi sina uenyeji na jiji la joto ebu nijulisheni hapo MO alipotupwa ni mbali na mjini au ni nje kidogo kama ni mjini means hawa watekaji wanazurura tu mjini daslaam mjini bila tatizo
 
Hongera Mo kwa kurudi. Pole kwa watanzania wote, ni hatari sana pale watanzania tunapokuwa na watu wa kututushia usalama wetu badala ya kuulinda. Aibu kubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Vijihoji na virudi kwenye misingi yake ya kikatiba.
 
Siro alitumwa kimkakati kuongea na press, Sina hakika kama alijua alichokuwa anaongea. Nilibaki na mshangao mkubwa
 
Nafasi pekee Ni kusepa! Utafute wewe wale wengine
 
Yan ameachiwa saa tisa du ko huo muda wa saa tisa usiku ametoka nchi jilan akaletwa Tanzania?au alikua humu hum Tz tu wanacheza na akil zetu
WAITAFUTE SASA ILE GARI AGX 404 MC. TUMJUE MMILIKI KAMA ALIVYOAHIDI KAMANDA NA PIA TUWAJUE WALIOMTEKA MO! MAMBO YASIISHIE HAPA MH. SANA KAMANDA NYAKARO!
 
MO atakuwa na mawaa huyo. Serikali hii inataka kuonyesha vya umma vina wenyewe. Kwamba utajiri wake unatokana na kuhujumu vya umma kwa njia moja au ingine. Nahisi Madhaifu mengi serikalin yalisababisha yeye atajilike zaidi. Sioni sababu ingine ya kutekwa kwake.
 
Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
Aamishe miradi yake hapo uzombini
 
unaipa hongera kwa usanii? Wao wanajua alipokuwepo! Tz imekuwa Nchi ya ajabu Sana sasa hivi tunasemwa vibaya na wenzetu. Ukipita mtaani au mghahawa wanaonifahamu wanauliza maswali ya ajabu!
Kwa ulivyoandika kwa uhakika wewe utakuwa unajua story nzima ya kutekwa kwake.
 
Kitendo cha kamanda mambosasa kwenda kwa dewji kumuona, kunaonyesha nae anashangaa kama sisi na polisi ni wasaka tonge tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…