Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Wivu huo
 
SERIKALI NA CCM NDIO WAMETUINGIZA KATIKA UCHAFU! VITU VILIUZWA LEO UNAANZA KUDAI NI UHUJUMU UCHUMI AU MTU KUJITAJIRISH KWA MALI ZA UMMA?? NYUMBA ZA SERIKALI ZILIZOUZWA KWA M3, NYUMBA YA KIGAE AMBAYO THAMANI YAKE NI ZAIDI YA MILIONI 80 ILIWEZEKANA VIPI??
 
Nimefarijika sana..afadhali hawakumdhuru,pesa inatafutwa uhai ndio kila kitu labda Mungu apende.
 
Mie niliwaambia kuwa maadam yule mkuu wa mkoa alitoa kauli kwamba atapatikana basi kulikua hakuna namna ila kupatikana.
 
Nawaza kwa sauti.
Kwa hio hakuna alieramba ile 1 B??...coz ametupwa katka viwanja vya gumcana..
Unamaanisha waliomteka hawatoki mbali na hapo Gymkhana au ni watu wenye hela hawahitaji hizo 1Bil au vyote kwa pamoja?? Embu fafanua nikuelewe zaidi mkuu.
 
Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
Hakuna simba hakimbii msitu kisa mbweha wengi abaki hapahapa niwakati sasa serikali isimamie usalama wa matajiri. Mkoloni alitenga maeneo yaliitwa uzunguni huko huendi hovyohovyo. Ziwepo private clubs unaingia kwa password tena members only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…