Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Roma alilipa ransom? Mbona hajaeleza chochote?

Tunashukuru amerudi salama
 
Kuna mambo yanachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikae tu kimya maana Jela si kuzuri.

Karibu uraiani tena Mo
Mbona jela poa tu. Zakaria yuko jela ndio kwanza kaingiza mzigo wa mabus kumi kutoka spain
 
Yan ameachiwa saa tisa du ko huo muda wa saa tisa usiku ametoka nchi jilan akaletwa Tanzania?au alikua humu hum Tz tu wanacheza na akil zetu
Itakua hujasikiliza vizuri maelezo ya kamanda
 
Taarifa yake ya kurudi salama ina ukakasi otherwise aseme alienda wapi. Aekeze ni kwa namna gani vyombo vya usalama vimefanya kazi na kumrudisha salama ili iwe funzo kwa wengine.
Karne hii kuwafanya watu wajinga ni ushamba.
Mie nadhani kitendo cha yeye kurudi salama inatosha
 
Kakojoe ulale
 
Aibu zimewashuka wanaCCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…