Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Baada wadau kuhoji ile gari na picha zake za magumashi, wakaona wamebugi, itakuwa aibu kwa jeshi la police, bora wamuachie tu...

Alhamdullah Mo
Ile 1 bilioni tupatie japo vocha ya mb please

Ha haaaa ,wew Jamaa wew .
 
Amakweli yanahuzunisha hii km series naona haina jina maana adui anajulikana na kajisalimisha mwenyewe tunakoelekea kubaya Sana
 
Ni kweli kabisa tunamshukuru Mwenye Mungu kwenje jambo hili, ila asipotuambua alikuwa wapi na tukio zima la kutekwa kwake lilikuaje watanzania hatuta mwelewa!
Thubutu, sanasana ataunga juhudi
 
Comment ndefu utafikiri una uhakika na unachosema
 
Hivi kuna kosa lolote mtu kuwashukuru police embu tuacheni siasa yaani chuki yako dhidi ya jeshi la police unataka kuwaambukiza wengine uwe na shukrani bwana, wewe usiku umelaka na familia yako police wanakesha kukulinda leo unaishia kuwadharau kisha sababu za kisiasa muogope Mungu mkuu.
 
Yaan mtu unatupwa saa tisa usiku na unapata ujasiri wa kupost muda uleule maajabu sana haya
 
Mungu ni mwema! Karibu tena uraiani MO na vp watekaji wamekamatwa au kujulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…