Masanja Maguzu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 547
- 396
Bilioni imeliwa au bado?Kama hatasema kilichomsibu itakuwa ngumu jamii kimuelewa. Hili swala limetoka private kwenda public..., ila kama tweeter ya kwanza anashukuru jeshi la police kwetu tushasoma uelekeo .... Roma style na kujaribu kuimba vionyimbo uchwara na jamii iliyolichukulia tukio kwa uzito ikiachwa na butwaa,
Hahahaaaaa, hajipendi nini mpaka aanze kusimulia watu juu yaliyomkuta!.Aje sasa atuambie yaliyomsibu huko
Sio nchi ya hovyo, ni rais wa hovyo kuwahi kutokea dunianiTanzania hahahahaaaaaaaaaaaaa!
Nchi ya hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani
Hakika, muhimu kusikia yu mzima hayo mengine baadae.Hilo si la msingi.muhimu amerudi nyumbani salama bila madhara
Kwa tukio hili imedhihirika CCM hampendani.
Ndugu, unasema sina habari wala kitu cha ukweli lakini huachi kusoma habari zangu!
Huoni kuwa hoja yako inaonyesha hujui hata mantiki ya kile ulichokiandika?
Duuuu Mungu ni mwema kuna swali najiuliza kwa hiyo Mo anajua lugha za kisouth africa kama wanavyosema na je kama walikua wanaongea kihehe au kingoni maana najua hajui kilugha chochote alijuaje ni lugha ya south na je walikua wanataka nini kwake mbona hatujaambiwaNa gari lilitumika kumtekea, limepatikana likiwa limebadilishwa namba...Mambosasa ndio ametoa habari hiyoView attachment 904288View attachment 904298
Kama ulijua mbona hukuandika mzee....wabongo kwa "nilijua tu" mpo juuBaada ya makubaliano ya wiki moja wameamua kumrudisha. Nilivoona jamaa anazungumza na waandishi wa habari nikajua tayari movie imeisha hio. Kweli hawa ni SIRIKALI.