Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kama hatasema kilichomsibu itakuwa ngumu jamii kimuelewa. Hili swala limetoka private kwenda public..., ila kama tweeter ya kwanza anashukuru jeshi la police kwetu tushasoma uelekeo .... Roma style na kujaribu kuimba vionyimbo uchwara na jamii iliyolichukulia tukio kwa uzito ikiachwa na butwaa,
Bilioni imeliwa au bado?
 
Biashara isiishie hapa,bado kama Taifa tunahitaji ukweli wa tukio hili.
Luna siku hawa wasiojulikana tutaambiwa ni mashetani toka mbinguni.
 
Yale maigizo ya jana vip? Nlijua tu haya ndio matokeo yake. Huyu ndio alipelekwa nchi ya jirani kweli. Asee. Hii ndio Tanzania
 
Ndugu, unasema sina habari wala kitu cha ukweli lakini huachi kusoma habari zangu!

Huoni kuwa hoja yako inaonyesha hujui hata mantiki ya kile ulichokiandika?

Wewe ni Kuku tu ,usituchoshe na Ukada wako.
 
Na gari lilitumika kumtekea, limepatikana likiwa limebadilishwa namba...Mambosasa ndio ametoa habari hiyoView attachment 904288View attachment 904298
Duuuu Mungu ni mwema kuna swali najiuliza kwa hiyo Mo anajua lugha za kisouth africa kama wanavyosema na je kama walikua wanaongea kihehe au kingoni maana najua hajui kilugha chochote alijuaje ni lugha ya south na je walikua wanataka nini kwake mbona hatujaambiwa
 
Kama kawa j3 atakua gym
FB_IMG_1540006371657.jpeg
 
Tumshukuru mungu kwa yote amerudi salama.Lakini hawa jamaa mipango ya kiboya kweli,hata ule mchezo wa kombolera tulikuwa tunatumia akili sana mpaka uje kubutua.
 
Maigizo ya jana tu yalionesha kua hii muvi script haikua bora wameona wakatishe tu isiendeleee hahaha
 
Mambo now amenichanganya kidogo,,,,,,nimemsikia akisema watu walewale waliomteka ndio walienda kumtupa Gymkana wakitumia gari ileile. Hapa ni maswali kadhaa labda tusaidiane;
  1. Nani kawaona hawa watu kwamba ni walewale maana tuliambiwa tu ni wazungu lakini picha zao hazijawahi kuwekwa adharani!!!!! Na hao waliolipoti kwamba ni watu walewale walichukua hatua gani kuhusu hilo gari,,labda kulikimbiza au chochote ambacho kingesaidia watekaji kupatikana,,ukiacha tu kutuo ripoti kwamba wamemtupa Mo.
  2. Pili, najiuliza inawekana kweli watekaji wageni wakatumia gari lilelile amabalo tayari picha yake ipo mitaani,,,,hivyo polisi wa doria za usiku au wananchi wangeweza kulitambua kirahisi. Kama ni risk takers basi hawa ni extraordinaly risk takers.
  3. Mwisho, ni nani alimwokota Mo na kumpeleka nyumbani badala ya kituo cha polisi. Maana Mambo Now amemfuata Mo nyumbani baada ya kupata habari za kurejea kwake. Nilitegemea hili swala lingeanzia polisi and then hospitali kwa ajili ya kuthibitisha usalama na afya yake.....
Kwakuwa nipo kwenye mshtuko na furaha isiyo na kifani,,nimejikuta na maswali hayo matatu. Please tusaidiane jamani.
 
Back
Top Bottom