hahaa tunashukuru Ubalozi wa Marekani kwa kuwakaalia kooni bila ya hivyo wasingemuachia kirahisi..eti ile gari alionyesha IGP Ziro ndio imetelekweza Gymkhana..Yaani watekaji wamerejesha gari na MO.
Narudia IQ za wanaopanga hizi sinema zipo chini sana
Mjadala mwingine huuKama kweli jeshi la polisi limefanikisha upatikanaji wake basi wahalifu wafikishwe mahakamani au la tuaamini vyombo vya usalama vimeanza biashara ya utekaji na ransom.
Du,naona wana tuchezea maigizo tutena wamemuachia tu akachukua simu na kutweet, kwa hali ya kawaida tu sio rahisi akili inakua haiko sawa..
Alikua magogoniDah,lazima atahama Tanzania Huyu.
Ccm acheni kuteka watu!Hivi hapo umeandika nini haswaaa?
Naona wengi mmeumia kwa yeye kurudi mzima.
Aibu inayowazunguka mwaka huu ni zaidi ya mavi. Mnanuka!!Kama Ni hivyo Lema si apige Press release nyingine kina Kubenea na Anthony Komu nao wamuachie Ben Sanane
Mkuu kwanza heshima yako.Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.
Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.
Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Katupwa jirani kabisa na jiwe,kweli awamu hii akili hawana hata kutumia akili ndogo kudanganya wameshindwaKama kweli jeshi la polisi limefanikisha upatikanaji wake basi wahalifu wafikishwe mahakamani au la tuaamini vyombo vya usalama vimeanza biashara ya utekaji na ransom.
Maeneo yote mpaka unafika Gymkana hakuna CCTV.Ziro nyakuro atatumbuliwa jibu muda si mrefu kwa kujichanganya kwake.
Kamera za CCTV ziko hadi kule zito alikouliza? Hiiiiiiiiiiii