Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 481
Yaani nchi haiko salama kabisa.Kama alitupwa Gymkhana inamaanisha "wazungu" hawajakamatwa na nchi haiko salama kwani hawa wazungu ni hatari kwa usalama wa raia.
Miradi yake ni ya kwetu sote, aipeleke wapi? Mashamba yanahamishika???Aamishe miradi yake hapo uzombini
Hivi kuna nchi yenye mabwege kuliko Tanzania? Mtekwaji halalamiki katekwa na serikali bali anaishukuru, nyie mnamlazimisha aseme katekwa na serikali!Kaminywa kama alivyominywa Roma!Familia yake tu ndio watajua undani wa kutekwa kwake!Sisi wengine tuliopiga kelele tutabaki solemba kama sakata la Roma!
rais ni taasisiHivi kulikua na haja gani ya kumshukuru Raisi wakati hajafanya kitu chochote kile wala hata kuonesha kukerwa hata kuifairji familia yake yani hata jeshi la polisi ila ukiangalia video jamaa anaonekana hakua comfortable kabisa
Inawezekana walikuwa wamemficha hapo hapo wizaraniKama ni hapo Gymkana pale ni jirani kabisa na makao makuu ya jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani. Yaani unavuka barabara tu
mida hiyo mara nyingi huwa wamelalaaKuna mengi sana ya kujiuliza licha ya kupatikana kwake, alkuwa eneo gani kwa hapa Dar? Alkuwa na akinani hao watekaji? Je hao watekaji bado wapo nchini au wameishatoroka?? Je walioenda kumtupa huko Gymkhana walijiamini nini wakati polisi usiku huwa wanapiga patrol? Hawakuogopa movement za watu, coz in Dar people move 24/7 ?? Je baada kutupwa huko alifikaje nyumbani kwake bila kwenda polisi kutoa taarifa au kuomba msaada? ?
Tukijibiwa hayo maswali, tutaacha kuishuku taasisi flani
Siro so ajiuzulu?Kazi ya igipi awamu hii ni ngumu sana.
undefinedkikubwa karudi salama,hawa watu wangeweza mpoteza halafu na asionekane,asijiamini tena eti anawaiga kina Bill gate,ajiwekee walinzi ikibidi aajiri specilist kutoka blackwater kama security consultant,bilionea mzima unaenda gym usiku bila kutanguliza advance team....!!Kwa jicho la tatu ni kama vile wamempa βpromoβ kimtindo!