Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kama alitupwa Gymkhana inamaanisha "wazungu" hawajakamatwa na nchi haiko salama kwani hawa wazungu ni hatari kwa usalama wa raia.
Yaani nchi haiko salama kabisa.
Pamoja na ulinzi ulivyoimarishwa na vijana wa Siro..yet "wazungu" wanaingia na kutoka waptakavyo.
Na gymkhana grounds ziko Jirani na magogoni...??
 
Tunamuomba Mo aturushie buku buku M pesa.....Japo jeshi la polisi kwa weledi wa hali ya juu sana limefanikisha kumrudisha Mo lakini SISI makapuku forum hatukulala tumemtafuta hafi Msumbiji,South Africa na jirani na Ikulu.
 
Kaminywa kama alivyominywa Roma!Familia yake tu ndio watajua undani wa kutekwa kwake!Sisi wengine tuliopiga kelele tutabaki solemba kama sakata la Roma!
Hivi kuna nchi yenye mabwege kuliko Tanzania? Mtekwaji halalamiki katekwa na serikali bali anaishukuru, nyie mnamlazimisha aseme katekwa na serikali!
 
Hivi kulikua na haja gani ya kumshukuru Raisi wakati hajafanya kitu chochote kile wala hata kuonesha kukerwa hata kuifairji familia yake yani hata jeshi la polisi ila ukiangalia video jamaa anaonekana hakua comfortable kabisa
rais ni taasisi
 
Hii idea hawakua nayo, umewasaidia kuwapa hili wazo, hivyo watajifanya kumuita tena(ila sio kule wapokua wamemuhifadhi mwanzoni) na kumuhoji. Nakulaumu mkuu kwa kuwapa hili wazo zuri
 
Katika Picha Nyepesi Kuandaliwa bhasi Ni hii...[emoji2][emoji2],,, Hata Wale Walioishia La Tano B Wanaona Makosa Ya Location, Motion Na vitendea Kazi... Aibu Kwao
 
Kuna mengi sana ya kujiuliza licha ya kupatikana kwake, alkuwa eneo gani kwa hapa Dar? Alkuwa na akinani hao watekaji? Je hao watekaji bado wapo nchini au wameishatoroka?? Je walioenda kumtupa huko Gymkhana walijiamini nini wakati polisi usiku huwa wanapiga patrol? Hawakuogopa movement za watu, coz in Dar people move 24/7 ?? Je baada kutupwa huko alifikaje nyumbani kwake bila kwenda polisi kutoa taarifa au kuomba msaada? ?

Tukijibiwa hayo maswali, tutaacha kuishuku taasisi flani
mida hiyo mara nyingi huwa wamelalaa
 
Hawa watekaji ni wataalam sana kiasi cha kwamba wana liquid flan hivi ukiimwagia kwa gari inakua Invisible
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 embu nicheke mie
 
Kwa jicho la tatu ni kama vile wamempa ‘promo’ kimtindo!
undefinedkikubwa karudi salama,hawa watu wangeweza mpoteza halafu na asionekane,asijiamini tena eti anawaiga kina Bill gate,ajiwekee walinzi ikibidi aajiri specilist kutoka blackwater kama security consultant,bilionea mzima unaenda gym usiku bila kutanguliza advance team....!!
 
Ila nimesikitishwa na kamanda mambosasa kwa kuanza kuropoka pale pale suala la hao watekaji kuwa eti ni wageni kisa inasemekana wanaongea lugha KAMA ya afrika kusini.
Uchunguzi haujaisha kisa tu Mo kapatikana. Taarifa za kuwezesha kupatikana watekaji ziwe disclosed kwa public sasa maana aliyetekwa kapatikanaa.
 
Hakuna haja ya uchunguzi waliomteka walikuwa nae siku zote wamenza vizuri wamemaliza vibaya watamhoji nini angali wao ndio wamemwachia
 
Back
Top Bottom