Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mimi nafikiri wako sahihi kwa mazingira ya utekaji ulivyokuwa bila Magufuli kuingilia kati wasingemwachia.
 
Kosa kubwa mnalofanya ni kusema sehemu x ina usalama na uhalifu hauwezi kutokea pale. Lakini wataalam wa uhalifu wanakuambia kwa wahalifu wazoefu maeneo kama hayo ndiyo mazuri na salama kwa ku operate shughuli zao. Mimi bado nahifadhi comments zangu kwanza mapaka nisikie kutoka kwa mtekwaji mwenyewe.
 
Ni dhahiri tendo la kutekwa Mfanyibiashara bilionea Mohamed Dewji, limeleta taharuki kubwa sana siyo tu kwa Jamii ya mamilioni ya watanzania Bali pia Ulimwengu mzima

Tumeambiwa kuwa Mo amepatikana usiku wa manane wa kuamkia leo na amerejea salama nyumbani

Wito wangu kwa Jeshi la Polisi lifanye kila liwezalo ili wale waliotenda tendo hilo ovu wafikishwe kwenye vyombo vya sheria kujibu tuhuma zinazowakabili

Kulinda maisha ya mwananchi ni wajibu wa kwanza wa serikali yoyote duniani kuulinda, kwa hiyo tunachokiomba ni kwa Jeshi letu la Polisi kuhakikisha watu waliotenda uovu huo wanakamatwa na kuburuzwa mahakamani

Kama Jeshi la Polisi lisipofanya hivyo basi tutajua ni katika "kulinda" uhalifu huo ambao sasa umeanza kuota mizizi nchini, kwa hiyo tutaomba viongozi wakuu wa Jeshi hilo wajiuzulu

Wananchi tunapaswa kupaza sauti zetu kwa nguvu zetu zote ili kukomesha vitendo hivi viovu vilivyoingia nchini kwetu na tukinyamaza basi tutarajie watu wengine wengi kuendelea kutekwa na hao watu tunaoambiwa kuwa ni watu wasiojulikana!
 
Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.

Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!

G LEMA njoo na press ya Ben Saanane sasa
Dogo tuliza kipapa hicho. Mo ametekwa na magu kisa na mkasa ni viwanda na mashamba ya mkonge aliyayanunua wakati wa ubinafsishaji, magu anataka ayachukue.
 
Utalipongeza jeshi la polisi Kwa lipi wakati MO kajipatikana mwenyewe? Wapi jeshi limetangaza kumpata wakati kajipatikana Gymkhana anacheza golf na walinzi wakampa simu akampigia babae kuwa salama salmini alete Gari amchukue!!

Hawa watu wanatuona Akili zetu HAZINA Akili.
 
Acha use**e wewe. Hamkosagi yakusema. Asante Mungu, asante Serikali kwa kumpata Mo.
 
Muhindi akili kubwa kuliko average ya akili ya Mtanzania, hivyo huwezi elewa mchezo Muhindi alofanya hapa na kwa nini hii movie imeisha jinsi ilivyoisha, ninyi endeleeni kuwaimbia hao Wahindi mapambio na kuwatukuza, mna low IQ, ...
Hebu endelea kuchezea mapumbu"kukanda ngano".
 
Kwanzia leo nawadharau

Tiss , nadhani ni watu washamba sana

Kwa kufanya huu upumbavu ..


Nisingekubal mm niwe director wa tiss

Hafu umavi umav huu unafanyika

Ni hollolical shit ... Tiss badiliken

Kuna vijana walitaman sana kuja kufanya kazi huko na ni wazalendo wa kweli ...

Ila hawatak ... Coz hawana njaa..

Na pia vitu mnavyofanya ni stupidity

Mtu anakwambia kabsa nkatumiwe na tiss kufanya upumbavu ...

Nooo
 
amri itakuwa imetolewa lazima umshukuru jiwe.

sasa waache waendelee kujifanya kumshukuru jiwe wasahau kuna mambo ya sumu inayoua taratibu.
 
Naona mchezo wa kutueka mabilionea umeanza nchi hii.

Dawa ni kuanza kutembea na berreta ikiwa full loaded tu muda wote
Hicho kitu maamae yani ukipull the triggerr tu kitu kinakohoa paah paah pahh na kutema vitu vyenye ncha kali/butu vinavyoruka hewan kwa kas ya hatariiiii.

Haki ya nani mzungu hajakariri kasoma nakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…