Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kweli nimeamini Pascal hua unaongea kinyume !!!.
Basi tu, na Zakaria mbona hukumtaja ?! Napo tutoe pesa ngapi ?! Ehehehiiii
 

Kwahiyo unataka kutuambia ni rahisi sana kufanya uhalifu White house au Magogoni.
Kama ni rahisi kufanya uhalifu maeneo sensitive sidhani kama watu wangetumia gharama kubwa kwenda kuishi kule..
 
Haya uliyosema yanatoka moyoni kweli?kwani watekaji huwajui?

Kamati kuu ya Chadema ili wahoji Watekaji then ikawapa Karipio

Muulize YericKo atakutajia Wabunge wa Chadema wenye tabia Za kuteka wenzao
 
HUWEZI KUWA MWANAUME ULIEKAMILIKA HALAFU UJE NA HUU USHUZI INAWEZEKANA ULIKAA SANA MOMBASA NA NINAKUOMBA URUDI MOMBASA WAKAENDELEE KUKUTEKA
Hizi hasira zako ingefaa uzielekeze kwa Kunea na Komu
 
Watanzania hatupo salama..
Magaidi wapo tanzania zaidi ya mwaka..
namaanisha tangu walipomteka Ben, Azori, wakamtwanga risasi lissu, wakamteka Roma, wakamteka Mo..
vyombo vyetu vya mziki vimefanikiwa kupata tu picha za cctv za kisasa ambazo ni HD coloured !
 
Hapana hujaelewa vizuri mkuu. Gari limevuka mpaka mara 3. Yaani kwa kuingia, kwa kutoka likiwa na Mo, na kuingia tena likiwa na Mo. Yaani hatutapa watekaji wenye huruma kama hawa. Walivuka na Gari hadi Msumbiji ah! Sijui Kenya halafu wamemrudisha Mo na Gari wakatuachia. Fantastic.
 
Kwani MO ni wa kwanza kutekwa, siku hizi hayo ni matukio ya kawaida tu, mtu anachukuliwa katikati ya eneo lenye ulinzi mkali bila kizuizi chochote.
 
Nadhan inabid aishukuru jf

Kuliko kitu kingine

I mean akimshukuru mungu atushukuru sisi
 
Aliongea kama nani? Tena aliongea akiwa na KITABU CHAKE CHA KIJANI PEMBENI KINACHOMPA DIRA. Licha ya kuwa 'akili kubwa' huoni aliongea kama nani pia? Unanisikitisha kamanda.
Kutembea na ilani ni ushamba wa madaraka, katibu wenu mkuu alisema si kila kilichoandikwa humo kinatekelezeka kuna mengi mazuri hayaandikwa.
 
Young Man,

Tiss ina vitengo vingi, na si kila mtumishi wa Tiss anafahamu oparesheni za kitengo kingine.

Mtu wa kushughulikiwa kwa sasa ni Bashite na si vinginevyo ndio kiini cha uharamia wote huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…