Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Hawakuwa na msaada na hawakupaswa kujurishwa hapa wa kumshukuru MMungu, watekaji na familia. Sababu hata walioojulishwa walikimbilia media ili wauze nyago.Kwa yote tunayojua Mo na kila mtu alijua kupatika kwa MO polisi walipaswa kujulishwa kwanza. Ninashangaa kwa nini polisi walipewa umuhimu wa mwisho pamoja na juhudi kubwa walizokuwa wamefanya?
Hahahahaaaaaaaaa,sasa ni vema kama mmetambua ni watanzania waliamua!Hii ya Muhindi ni funga kazi haijawahi kutokea, hata Nyerere hakuwahi kupata sapoti kubwa ya negros kama aliyopewa Muhindi!
Duuuh, Naomba JF ifanye uhakiki wa member, nahisi kuna robot humu. Si bureYaa ni kweli imeniuma sana, kuona Muhindi akigombaniwa na kupiganiwa namna hii, ni kama vile uone ndama wakimgombania na kumpigania mwenye bucha, lazima ikushangaze kama una hata tu akili ya wastani, kuna baadhi ya mambo huwa hayabadiliki!
HahahaHii muvi imechezwa kienyeji Sana walicho weza wao n kumwacha MO na midev tu lkn huko mafichon kungekuwa na salon angenyolewa hata hizo ndevu lkn ndo hivyo! Kweli nchi isha waona watanzania n mazuzu Sana! Kisa tajir katangaza kufunga viwanda vyake hapo lazima ugwae mwenyewe make nchi haina kiwanda hata cha tooth stick
Umofia KWENU.
Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
FUTURE AU FIXTURE post.Hii ni Future Post?
Mkuu Hawa vijana kila kitu wanataka kujadili hata wangesikia MO alipewa maji ya kunywa baada ya kufika nyumbani bado wangehoji kwanini hawakumpatia juice wakampatia maji.Mnatumia Ruzuku vibaya mnagawana bando za kuja kupot nonsense huku mitandaoni
Umaliziaji haukuwa wa kuridhishaScript ishaharibika Mkuu, muandaaji alijitahidi bt alieimalizia kaharibu vyote
hii kideobinachosha, nilisikia eti jana ile 1 B wangemkabidhi msanaria mwema, sijui ni yupiWalinzi hawataki bil 1?
"Songambele, asante; ila mie sikuongelea kuwasifia polisi isipokuwa niliulizia kwa nini wamepukwa. Huo weledi wa familia unamaanisha waliwasiliana na watekaji na kutoa kilichokuwa kinatafutwa?Hawakuwa na msaada na hawakupaswa kujurishwa hapa wa kumshukuru MMungu, watekaji na familia. Sababu hata walioojulishwa walikimbilia media ili wauze nyago.
Family wameonyesha weledi.
Muda wa kulazimisha kusifia hata pasipo na shaka kama kweli wameweza waambie washtakiwa wako wapi.
"Songambele, asnte; ila mie sikuongelea kuwasifia polisi isipokuwa niliulizia kwa nini wamepukwa. Huo weledi wa familia unamaanisha waliwasiliana na watekaji na kutoa kilichokuwa kinatafutwa?