Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kwa yote tunayojua Mo na kila mtu alijua kupatika kwa MO polisi walipaswa kujulishwa kwanza. Ninashangaa kwa nini polisi walipewa umuhimu wa mwisho pamoja na juhudi kubwa walizokuwa wamefanya?
Hawakuwa na msaada na hawakupaswa kujurishwa hapa wa kumshukuru MMungu, watekaji na familia. Sababu hata walioojulishwa walikimbilia media ili wauze nyago.
Family wameonyesha weledi.
Muda wa kulazimisha kusifia hata pasipo na shaka kama kweli wameweza waambie washtakiwa wako wapi.
 
Ishu sio mhindi... watanzania wamechoka.. maisha magumu halafu bado mnawaletea mapichapicha. kwa kifupi ni kwamba watz wamemchoka jiwe
 
Nkajua unamzungumzia Dewji mana kichwa cha habari kimemtaja
 
Yaa ni kweli imeniuma sana, kuona Muhindi akigombaniwa na kupiganiwa namna hii, ni kama vile uone ndama wakimgombania na kumpigania mwenye bucha, lazima ikushangaze kama una hata tu akili ya wastani, kuna baadhi ya mambo huwa hayabadiliki!
Duuuh, Naomba JF ifanye uhakiki wa member, nahisi kuna robot humu. Si bure
 
Hii muvi imechezwa kienyeji Sana walicho weza wao n kumwacha MO na midev tu lkn huko mafichon kungekuwa na salon angenyolewa hata hizo ndevu lkn ndo hivyo! Kweli nchi isha waona watanzania n mazuzu Sana! Kisa tajir katangaza kufunga viwanda vyake hapo lazima ugwae mwenyewe make nchi haina kiwanda hata cha tooth stick
Hahaha
 
Umofia KWENU.

Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?

Shetani pekee ndye awezae amini upumbavu wa hao manyang'ao
 
CCM ndio chama chenye wabaguzi kuliko vyama vyote haoa nchini,hiii ni aibu nyingine inayotoka kinywani kwa mtu ambae Id yake ni ya kinazi kibaguzi,anyway hawa ndio walobaki CCM wahindi ni watu muhimu katika taifa hili wakikuwepo kabla mwiba huyu hajazaliwa.
 
Hawakuwa na msaada na hawakupaswa kujurishwa hapa wa kumshukuru MMungu, watekaji na familia. Sababu hata walioojulishwa walikimbilia media ili wauze nyago.
Family wameonyesha weledi.
Muda wa kulazimisha kusifia hata pasipo na shaka kama kweli wameweza waambie washtakiwa wako wapi.
"Songambele, asante; ila mie sikuongelea kuwasifia polisi isipokuwa niliulizia kwa nini wamepukwa. Huo weledi wa familia unamaanisha waliwasiliana na watekaji na kutoa kilichokuwa kinatafutwa?
 
Kaka kusoma hujui lakini picha uoni hapo!!!??? Na wenyewe wamechukua chao na kusepa salama wasalimini we unga dots tu, siwe watu wazima buana.
"Songambele, asnte; ila mie sikuongelea kuwasifia polisi isipokuwa niliulizia kwa nini wamepukwa. Huo weledi wa familia unamaanisha waliwasiliana na watekaji na kutoa kilichokuwa kinatafutwa?
 
Back
Top Bottom