Tatizo kubwa ni mshauri wa mtukufu ni Bashite na Kituko zaidi huyo Bashite hana vyeti ni kilaza na cha kushangaza na kuhuzunisha zaidi ni mshauri mkuu wa Bashite ni kubwa jinga Le mutuz yaani ni Aibu mshauri wa Mtukufu kuwa na washauri wajinga jinga mazuzu kama akina Musiba, jerry muro na boss wao Le mutuz.Chochote cha KUDANGANYA kinahitaji EDITING......jambo LA ukwl HALINA EDITING siku zote
Hata Obama ni mmarekani wa Kenya. Period!Ni mtanzania wa singida period!
Hahahaaaah, tatizo lako unamchukulia MO, kama jiwe au bashite!! Hapo ndio unachanganya, majibu yake utayapata kwenye makusanyo ya kodi. Unajua mmejaa ushabiki wa kijuha sana, Taifa linaangamia mmebaki na uzwazwa!!Mo amepatikana, eidha ilipangwa au laa. Muvi imeisha. Wewe ni nini zaidi unachokitaka?
Kwaiyo kama ccm tunatumia ruzuku zetu vibaya ni nyie wazalendo wa chadema mtumie vibaya?Ruzuku ya CCM inayotumika kuteka watu kuwabambikia kesi, kuwahujumu kudhoofisha upinzani, kuwanunua madiwani wabunge kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa chama na Taifa inatoka kwako?
Ndio akili yako ndogo inavyokutuma, wewe endelea na shughuli zako. Sisi tunapambana tupate ukombozi zidi ya utawala wa kidikteta!!Usipoteze muda mkuu kujadili haya. Kwa kuwa yu mzima....tuendelee na shughuli zetu.
Kosa lako ni kuwa huelewi sheria mkuu;igizo limebumaa. jengeni viwanda acheni maigizo . ziko wapi mil 50 kwa kila kijiji? viko wapi viwanda?.wale mafisadi waliotengenezewa mahakama.pale ubungo ni kinanani mbona ngeleja karudisha ml.40 na bado yu bungeni?
Vipi ikitokea bilionea ametenda jinai au anahujumu uchumi,
Kuboresha zaidi muvi ijayoMo amepatikana, eidha ilipangwa au laa. Muvi imeisha. Wewe ni nini zaidi unachokitaka?
Sio hivyo tuu. Kumbuka familia ilisha toa offer ya Bilioni moja..Umofia KWENU.
Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
sheria ipi unayoizungumzia wewe kinyamkera? kama hivyo ndivyo mbona kina rugemalila wapo ndani? kwani waliiba peke yao? wengine wapo wapi?Kosa lako ni kuwa huelewi sheria mkuu;
Sheria ikitungwa huanza kutumika kuanzia muda ule uliotangazwa kuanza kutumika.
Hizo ni hisia tu hakuna popote palipothibitika kwa hayo uliyoyasemaRuzuku ya CCM inayotumika kuteka watu kuwabambikia kesi, kuwahujumu kudhoofisha upinzani, kuwanunua madiwani wabunge kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa chama na Taifa inatoka kwako?
Ndio maana nakuambia huelewi sheria mkuu.sheria ipi unayoizungumzia wewe kinyamkera? kama hivyo ndivyo mbona kina rugemalila wapo ndani? kwani waliiba peke yao? wengine wapo wapi?
Halafu nashangaa wamewezaje kuushona mdomo wa bashite maana muvi kama hizi yeye mdomo huwa haufungi. Akisema atapatikana kabla ya Jumapili na kweli anapatikanaMovie ishakwisha ngoja tuone movie nyingne ya BASHITE.
Apewe Mo mwenye aliyejigundua alipo na kutoa taarifa nyumbani na nyumbani wakaja kumchukua.Kwa maoni yako bilioni moja apewe nani?
Hakuna kabisa mkuu yaani hakuna!Kama Ni kweli uwazavyo basi Tanzania kwa Sasa hatuna vyombo vya ulinzi na Usalama kabisa.
Na je unadhani uko ktk vyombo vyetu hakuna watu wenye ujuzi na uwezo wa kifikiri Kama wewe?