madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Unauliza masuali ya kipumbavu kweli lile eneo labda wasolijua watu wa mkoani eneo lile halina makazi ya watu kwa karibu na ni eneo la michezo liko wazi kwa hiyo hao walinzi walijua Kama Moo anakuja au?Umofia KWENU.
Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
Kwahiyo mabilionea hata wakifanya uhaini au kuua hawaendi polisi isipokuwa polisi ndio huenda huko kuongea nao na kuondoka zao? Kwani Manji ilikuwaje? Lugemarila na Singh sio mabilionea? Wako wapi sasa?Wao mabilionea? Wanaiingizia nchi shilingi ngapi na wameajiri watu wangapi? Mabilionea hata mabenki huwafuata majumbani kuwapa pesa ama kuchukua pesa .Huwezi wakuta wamepanga foleni benki.Unalinganisha MO na Nondo na Roma .LOOO Shame on you
Kha! Na wewe ni nani na nini hasa kinachokuhusu?Mo amepatikana, eidha ilipangwa au laa. Muvi imeisha. Wewe ni nini zaidi unachokitaka?
Kwahio walinzi wameona gar haina plate number ya mbele na wakaiacha tuuu ipite? Braza unapajua gymkhana lakini? Pita ww kiboya boya night kali kama ile utakuja kutuhadithiaKwani walinzi hao walijua kuwa wale ni watekaji ?
Waliwaona watekaji na walijua ni raia wa kawaida tu wanaopita na safari zao.
😀😀😀😀😀😀😀😀Apewe Mo mwenye aliyejigundua alipo na kutoa taarifa nyumbani na nyumbani wakaja kumchukua.
Bashite kaambiwa atulize KIPAGO asije akawasha fegi sheli.Halafu nashangaa wamewezaje kuushona mdomo wa bashite maana muvi kama hizi yeye mdomo huwa haufungi. Akisema atapatikana kabla ya Jumapili na kweli anapatikana
Kwa maswali mnayouliza humu wewe kwa akili yako yana athari gani ktk huo mkusanyo wa kodi?Hahahaaaah, tatizo lako unamchukulia MO, kama jiwe au bashite!! Hapo ndio unachanganya, majibu yake utayapata kwenye makusanyo ya kodi. Unajua mmejaa ushabiki wa kijuha sana, Taifa linaangamia mmebaki na uzwazwa!!
Utaaminije? Kuamini, mpaka utiwe!Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,
Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,
Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,
Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,
Na kuambiwa waseme yafatayo
Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,
Script ikae vema
Nasikia watekaji wa siro walimpa Mo kila aina ya chakula alichokitaka, chips yai, juice ya ukwaju nakadhalika, watekaji walikuwa no watu wema sanaWao mabilionea? Wanaiingizia nchi shilingi ngapi na wameajiri watu wangapi? Mabilionea hata mabenki huwafuata majumbani kuwapa pesa ama kuchukua pesa .Huwezi wakuta wamepanga foleni benki.Unalinganisha MO na Nondo na Roma .LOOO Shame on you
Ni ajabu kweli, siku ilivyofika waliandamana wenyewe tu.Ajabu watanzania wa mtandaoni wanawatetemesha na kuwapa vigugumizi wenye mamlaka walio field, maana waliwafanya jamaa wapige jaramba CC Ukuta $ 26.04.2018 hakuna aliehama kuunga mkono juhudi wala nini wote kiimya
Muvi ijayo watumie wale jamaa wa holiwudiNini kifanyike?
You are a brilliant critical thinker!Mimi binafsi sihamini kama Mo alitekwa na watekaji Zaidi alichukuliwa na watu wafanye makubaliano flani then wamemrudisha simple tu
Walinzi wa makampuni binafsi hawahusiki na ukaguzi wa magari.Kwahio walinzi wameona gar haina plate number ya mbele na wakaiacha tuuu ipite? Braza unapajua gymkhana lakini? Pita ww kiboya boya night kali kama ile utakuja kutuhadithia
Angalia usibatizwe jina la mchocheziMaana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,
Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,
Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,
Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,
Na kuambiwa waseme yafatayo
Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,
Script ikae vema
Sidhani Kama upo sahihi je umeangalia movie ya escape from sobibo au 24Hakuna kabisa mkuu yaani hakuna!
Script ishaharibika Mkuu, muandaaji alijitahidi bt alieimalizia kaharibu vyote
Inawezekana pia mkubwaYou are a brilliant critical thinker!
Nimeiangalia mkuuS
Sidhani Kama upo sahihi je umeangalia movie ya escape from sobibo au 24
Nimeipenda hii walahi
Hahahaha