Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

kulikuwa kunaenda kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa

Damage is already made.

Kutahitajika juhudi kubwa sana za kurejesha hadhi ya nchi hii ilipokuwa, na itachukua muda na viongozi wenye uwezo wa kufanya hivyo. Sijui kama Mahiga ataliweza hili na hasa kwenye mazingira yanayoendelea kuwepo.

Tukubali tu tushaingia doa kama nchi.
 
Hongera igipi kutuonyesha picha asubuhi na kumpata Mo instantly [emoji23]
Wamemteka na kumrudisha, Jana Baada ya picha kuwaumbua kua lile gari lipo garage

Naona zitto alipigiria msumari wa mwisho ile tweet yake imezunguka sana wameamua kumuweka Mo gymkhana
 
Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!

Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!

Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.

Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.

Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.

Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Nani kakudanganya kuwa kuna masharti baada ya kurudi?Masharti yanawekwa pale wanapokuwa wamekushikilia,wakikuachia hawana power ya kukucontrol usiongee!!!!
Huu mchezo wa serikali umekwama,baada ya maigizo yote kila mtu alijua wanaye!
 
Wamemteka na kumrudisha, Jana Baada ya picha kuwaumbua kua lile gari lipo garage

Naona zitto alipigiria msumari wa mwisho ile tweet yake imezunguka sana wameamua kumuweka Mo gymkhana
Tena saa tisa alfajiri, magazeti yameshachapisha habari za leo
 
Nasikia kaachiwa saa8 then mida ya saa9 kafika home akaingia tutani aka twiti saa10 makamba yuko kwake akamwona hahahaaa naona watekaji ndo wamemaliza movie hakuna kingine kitakachoendelea na yule kamanda zirro makamera naona kaona bora hili lipite kuliko kuendelea kuteswa mitandaoni na uchunguzi wa kuwapata watekaji hautaweza fanyika hata nchi ikiruka sambasoti
Pongezi kwa wananchi kwa kuweza kupaza sauti mpk watekaji wakaona aibu
 
Hongera jeshi LA polisi.
unaipa hongera kwa usanii? Wao wanajua alipokuwepo! Tz imekuwa Nchi ya ajabu Sana sasa hivi tunasemwa vibaya na wenzetu. Ukipita mtaani au mghahawa wanaonifahamu wanauliza maswali ya ajabu!
 
Radio One "MO amepatikana akiwa salama maeneo ya GymKhana Dar es salaam! Taarifa za hivi punde RadioOne saa 11:06 asubuhi tarehe 20 Oct 2018"

Amepatikana na nani mkuu?
 
Aisee kaachiwa usiku wa manane. Watu wana hila walitaka makusudi tukose hiyo bilioni moja
 
Back
Top Bottom