Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Hawa simba wa makaratasi wanataka kuiga umafia wenyewe hwauwezi wanafanya ushamba ushamba tu nyambaf zao
 
Udhaifu ni sehemu ya maisha!

Hata wewe ninaamini una udhaifu!

Ukubwa na udogo wa udhaifu ni debatable kwa sababu binadamu tuna mitazamo tofauti.

By the way,Uzinduzi wa sera za CHADEMA umefia wapi?
Angalau umekiri CCM imeonyesha udhaifu kushughulikia sakata la MO naona umeanza kukomaa kisiasa.

Uzinduzi wa sera mbadala unaendelea si juzi uliona maandalizi ya vitendea kazi.
 
Mange Kimambi Zitto Kabwe Godbless Lema Sauti Kubwa bila kumsahau jirani mwema Kumekucha Chris Mungu azidi kuwalinda. Msiishie hapa bado tunapaswa kupaaza sauti wapuuzi hawa waanikwe mbele ya uso wa dunia
Lema press conference iendelee usirudi nyuma ni kumwaga mboga umma unamwaga ugali
CCTV uchwara zimekosa kiki walikuwa hawana budi kuachilia
South Africa fanyeni uchunguzi wanasema eti ni ninyi mlimteka hahahhh ngoja CNN BBC etc waseme jambo Mo atawaeleza tu haw
 
Gymkhana?
hahaa jana tuliambiwa watekaji walikimbilia kawe "... so wameamua kumtoa Mo kawe mpaka Gymkhana na kumtelekeza hapo ....!!?

simply logic tu " jamaa alikuwa amefichwa na muhusika mkuu wa jumba jeupe la magogoni
 
Haha bavicha bwana hivi ni kelele ndio zimemtafuta mpaka akapatikana?

Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola vimedhibitisha weledi wake.

Sio kila jambo mnalilia wachunguzi wa kimataifa.

Chadema mnekuwepo wakati wa vita vya Idd amini si ajabu pia mngeshauri wachunguzi wa kimataifa waje kutusaidia.
We bichwaa sangaraa nijibu, kaokolewa na mapolisi au watekaji wameamua kumwachia?
 
Vitengo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kubaini
MO alipo kwa muda wote huo mpk karudishwa na hao waliomteka, kwa hyo vitengo vyeto vimefeli.

Km karudishwa inamaana watekaji bado wapo nchini.

Kingine nimestuka kusikia eti gari alilotekwa nalo ndilo alilorudishiwa daaah..... km haya yote ni kweli, si chezo la serikali basi Tanzania kuna system mbovu kabisa ya ulinzi
 
Wote waliowahi kutekwa na kupatikana wakiwa hai hakuna aliyethubutu kufunguka ukweli wa nn alichotendwa, alichoambiwa au sababu ya kutekwa…
Sasa leo MO kaja na hii ya LUGHA NA LAFUDHI YA SOUTH AFRICA….
je, tuamini kwamba watekaji ni walewale wamekuja na mbinu tofauti ili kulinda kauli ile ya WATEKAJI NI WAZUNGU?
Gari iliendeshwa kasi kwa dk 15 tu then akaingizwa kwenye chumba…!!!!???
Na gari ileile iliyomteka ndio ilomtupa uwanja wa Gymkhana…!!!???
Kwhiyo hiyo gari bado ipo ndani ya Dar na makachero wapo wanapambana kuitafuta… hahahahahaha
 
hahaha ccm wanalitia aibu TAIFA . hakuna muwekezaji mwenye akili timamu atakaye jitoa kimaso maso ... kuja kuwekeza kwenye nchi yenye matukio ya kinyama kama hivi ... wawekezaji wengi huwa wanapenda nchi salama kwa uhai wao na rasilimali zao ....

poor ccm
Yan mkuu Mungu akunyime vyote akupe hekima na maarifa,hii cinema yao hata mtoto wangu wa sdt one humdanganyi. Shida akili ndogo inatawala akili kubwa ndo maana kila siku wanaumbuka na utaahira wao!
 
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI

Amepatikana akiwa ametupwa kwenye viwanja vya Gymkhana

Baada ya kutekwa Gari ya watekaji iliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso

Asema watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini

View attachment 904322
View attachment 904323


Video clip ya press ya Mambosasa yani ukimuangalia Mo utagundua kabisa who is behind this crap hataki hata kumuangalia kamanda usoni,tabasamu la Mambosasa limejaa soni kibao,kwa kifupi ile video inaongea maneno zaidi ya 100,000.
 
Jiwe mshamba sana. Ona sasa kaumbuka, kasababisha picha mbaya kwenye nchi yetu.
Hili jambo limeshazungumzwa BBC, CNN,Aljazeera na vyombo vyote vikubwa vya Habari Duniani. Na hawa wote ni nchi zenye uzoefu na utekaji.
Katika picha hii lazima wataushtukia utekaji huu na ukweli watakao usema utaiaibisha serikali yetu na kutia woga wawekezaji
 
IT IS OFFICIALLY NOW THAT 1 BILLION HAS VANISHED IN A THIN AIR.

january nae alipigiwa simu au alipiga simu? mbona anakua wa kwanza kwanza kuongea na hiyo familia na kutoa habari


Akiwa wa kwanza kuna shida gani ? Ni family friends shida iko wapi
 
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa -- Lema.

Safi ni kelele zilezile zilisababisha fisadi Lowasa akose urais
 
Back
Top Bottom