Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi naisubiria katuni ya kipanya kwa hamu kubwa sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitaka hela ya kusajilia wapinzani uchwara.Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuma.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Zuzu ni mtu kama wewe unayelazimisha kusema katekwa na serikali wakati yeye anaishukuru! Tena zuzu kweli kweli! Wako walicharangwa na risasi mwili mzima na bado hawakuogopa sembuse yeye?kusoma hujui basi hata picha ikusaidie zuzuwe[emoji83]
Hapa nionacho, chadema na tawi lake la bavicha WAMEKASIRISHWA sana na kupatikana kwa Mo tena akiwa mzima wa afya maana watakosa tena tukio la kudandia.
Pia nikaribu na Ofisi za Usalama GSOKama ni hapo Gymkana pale ni jirani kabisa na makao makuu ya jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani. Yaani unavuka barabara tu
Thubutuuu kwani yeye hana roho? Na ashukuru hawakumshushia alikotupwa Roma. Mwenyezi Mungu amesikia dua zetu asaa kheri. Kila lenye mwanzo halikosi mwishoNi kweli kabisa tunamshukuru Mwenye Mungu kwenje jambo hili, ila asipotuambua alikuwa wapi na tukio zima la kutekwa kwake lilikuaje watanzania hatuta mwelewa!