Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

Kaka maswali yako walijiulza sana wanashelia miaka iyo ndo maana akakutwa atiani apo anajalibu tena kuongopea umma
 
Kwa uelewa wangu mdogo wa masuala ya silaha na namna ilivyosimuliwa hapa.
Silaha hiyo ilikuwa yake kwa(bastola) maana ya ulinzi binafsi na siyo ile ya kulindia kazini..kwa wengi hizi huzitafutia kimfuko kidogo kama vile wallet kubwa na kuihifadhi humo hivyo unachokifanya ni kuibeba hiyo wallet silaha ikiwa ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…