Ulikuwa chini ya usimamizi wakeUna uhakika ule msikiti alijenga JPM? OK turudi kwenye mada je waislam wanabaguliwa? Nikiwaza masuala ya UDOM na NSSF nabaki kimya
Ishu ya wabunge wengi ni wakristo kwasababu ratio inaonyesha wakristo ni wengi zaidi Tanzania. Mikoa mingi majimbo mengi wanaishi wakristo ya waislamu ni mikoa ya pwani Kwa kiasi kanda ya Kati na kigoma kiasi chake. Ni ngumu kuona muislam ni mbunge wilaya za Mwanza , Njombe, katavi , Mbeya , Mara, Songwe , Arusha, Kilimanjaro, n.k. kwasababu wanaochagua hao wabunge ni watu waishio pale kwahiyo ishu ya wabunge uiache tuu. Population haijawahi kudanganya . Hao wabunge hawajichagui wenyewe wanachaguliwa.Haya malizia wabunge wangapi Wakristo ?Scholarship ngapi munawapa waislamu .?Na kwa upende wa elimu wanavunzi wangapi waislamu munawafelisha kuna makorokoro kibao Fumba domo lako anayo ndugu yetu Mohd Said yako sawa ndio maana yanawekera kwa sababu anajaribu kuwamsha waislamu wamelala sana .
Kitu kirahisi angalia ukubwa wa Tanzania na mikoa ipi ina waislamu wengi na wakristo wengi. Jibu utalipata2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Hahaaa, mnahamisha magoliUlikuwa chini ya usimamizi wake
Unafikiri asingeusimamie leo hii ungesimama vile
Ova
Kuna mikoa tz watu hawafatilii hayo madini yenuKitu kirahisi angalia ukubwa wa Tanzania na mikoa ipi ina waislamu wengi na wakristo wengi. Jibu utalipata
Mkuu kwanini huandiki vizuri? Shida nini hasa?Wewe kama msomi,hutakiwi kikwepa maswali,Mimi sijauliza kama ushahiddi upon au haupo ,
!
Kwa Nmna unavyijinasibu una maama unao ushahidi...mimimlangu dogo tu,tusaidia kuuleta hapa Ili udhihirishe msimamo wako!
Nafikiri ndivyo wasomi mnavuotakiwa kufanya!
Nakusubir!
Kama mkoa upi?Kuna mikoa tz watu hawafatilii hayo madini yenu
Hana ilim duniaMkuu kwanini huandiki vizuri? Shida nini hasa?
Ndio nini?Hana ilim dunia
Yani hana elimu ya duniani, copy!.Ndio nini?
Mkuu kuna elimu ya duniani na isiyo ya duniani?Yani hana elimu ya duniani, copy!.
NdioMkuu kuna elimu ya duniani na isiyo ya duniani?
Sio kwamba ilisaidia Waislamwengi zaidi kuingia shule!Lombo,
Hakika shule zilitaifishwa lakini hakuna lililobadilika.
Lambo,Sio kwamba ilisaidia Waislamwengi zaidi kuingia shule!
Utamuua mzee mkuu, taratibuKutaka kujua idadi ya Dini Asilia ili iwe nini? Hata ikiwa moja au nyingi itahalalisha au kubatilisha nini?
Hivi ni kweli kabisa unatamka Taifa, halafu unahoji kuwa kuna uwezekano wa kuwa na kundi lisilo na Maslahi ya Ujenzi wa Taifa! How?
Ni nani amekuambia Harakati za Kudai Uhuru zilianza na Vyama vya Siasa tu? Unatoa wapi hoja hiyo, kwanini mnapenda kujihalalishia Ubatili?
Ukifikiri Upagani hauwezi kupambanishwa na Uislamu Kihistoria, basi Jibu swali la ni IPI HASA ILIKUWA GHARAMA ZA KUUA UPAGANI NA KUUSIMIKA UISLAMU NA UKRISTU EA.
Kila koo, Kila Kabila, Kila Zone zilikuwa na Taratibu zake kufanya Ibada na Matambiko juu ya Asili yao, Je, unaweza kutuambia ilikuwaje wakaziacha na kupindukia ugeni?
Ni mifumo yenu ya Kidini ndio ikandamizayo nafasi za viongozi wao. Mifumo hiyo imekuwa ikishinikiza watu kuangukia Ubatili, tangu Karne kenda, mpaka Leo hii matokeo ndio hayo ya Uwepo wenu Mjivuniao Utumwa wenu, kinachokera zaidi ni utayari wenu wa kutetea Ubatili huo. Inaogopesha.
Unaulizaje kama wapo wakati unajua hasa Dhuluma mlizowafanyia na mnazoendelea kuwafanyia.
NB:
Mkuu, vitabu vinaandikwa na watu. Na kila aandikaye huwa na Itikadi zake, hivyo kila andiko huwa na Mlengo Fulani. Yapo maandiko yaliyojaa Kweli nyingi katika Maisha, juu ya sayansi, uchumi, siasa, mahusiano, teknolojia nk...
Lakini pia yapo pia maandiko yaliyojaa Hila za Chuki, Uchonganishi, Mipasuko, Visasi, Utumwa, Brainwashing, nk...
Hivyo tambua kuwa Si kila Kusoma sana vitabu kunakuhalalishia Ukomavu wa Hoja, wakati mwingine hukufanya kuwa mtumwa wa maandishi, pasipo kuweka nafasi ya Tafakari binafsi.
Kabla ya Ujio wa Ukristu na Uislamu, Kila Koo na Kila Kabila zilikuwa na Taratibu zao za Kuabudu. Je, iliwagharimu nini kuacha taratibu hizo kupindukia Uislamu na Ukristu?
Je, hujui kwamba Nyakati za kudai Ukuu wako umeshafika nawe bado uko nyuma kupigania Uonevu?
Tumewachoka na Mifarakano yenu!
Kilembwe,tunakwendaMzee wangu Mohamed nashukuru sana, hata mimi huwa sipendi mabishano kwa maana ile ile uliyosema, lengo langu kwa uhalisia ilikuwa ni kunielewesha maana ni kweli sikuelewa lakini kama umechukulia kuwa nabisha tu ni bahati mbaya sana mzee! lakini nimefarijika sana kwa sentensi yako ya mwissho kuwa sikuelewa kwa hili ..basi tusonge mbele tujifunze mengine..Wabillah Tawfiq...Allah akuzidishie umri na hekima uzidi kutujuza mengine tusiojua!
Nimekufatilia mwanzo mwisho.Kitu kirahisi angalia ukubwa wa Tanzania na mikoa ipi ina waislamu wengi na wakristo wengi. Jibu utalipata
Unaandika kama unakunya kichakani.Anamwambia ostazad
Ila waisalum waliosoma n wachache na wanaojua kuchambua vt n wachache
Weng maongez yao huusish iman,/din zao
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mashine...Utamuua mzee mkuu, taratibu
Hawabaguliwi Ila Wana agenda ya kuwa wanalalamika ionekane wanaonewa.Una uhakika ule msikiti alijenga JPM? OK turudi kwenye mada je waislam wanabaguliwa? Nikiwaza masuala ya UDOM na NSSF nabaki kimya