The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
- Thread starter
-
- #321
Mbona mie nishakujibu, sasa na wewe rejea kwenye Cambrige paper press usome. Nilitoa mfano kama ilivyo waislam walisaidia kudai uhuru basi kuna wakristo nao walisaidia na nikaweka evidence. Na kuna na sie babu zetu walikuwa hawana dini ila walisaidia sana sana kwa kuwa mie nimetoka kwenye ukoo wa Mangi nakueleza. .Wazungu gani waliokuwa wanatawala ?? Take it easy , tutaelewana tu , wala mimi simjibii Mzee Mohammed ,usitie wasiwasi
Nimekujibu kulingana na imani niliyokuwa nayo. Sijazungumzia dini. Mbona majibu yangu yako very simple aisee wewe tu unaelewa slowlyMbona ulisema kuwa nawewe huzungumzii dini ?
Mimi sijasema kitu kuhusu Quran wala biblia , nimekuuliza dua ni kitu gani kwa mujibu wa imani uliyonayo ??
Usijizonge , take it easy
Mbona mie nishakujibu, sasa na wewe rejea kwenye Cambrige paper press usome. Nilitoa mfano kama ilivyo waislam walisaidia kudai uhuru basi kuna wakristo nao walisaidia na nikaweka evidence. Na kuna na sie babu zetu walikuwa hawana dini ila walisaidia sana sana kwa kuwa mie nimetoka kwenye ukoo wa Mangi nakueleza. .
Kilimanjaro kulikuwa na mangi wengi sana zaidi ya 30 na walipigana sana vita. Na mzungu alikuwa mjanja sana aliwatumia baadhi ya mangi kwa kuwawezesha kiuchumi ili kupiga mangi wengine. Lakini hawa nao walidai uhuru wao, hawakuwa waislam. Wakati Mwl Nyerere anaenda umoja wa mataifa kudai uhuru alimkuta teyari Mangi Marealle keshafika kudai uhuru wa kaskazini. Je huyu alikuwa Muislam? Maana Mwl aliomba sana support kwake kwa kuwa alikuwa ana nguvu sana Kaskazini huyu Mangi.
Historia yake mzee Said ya kibaguzi wewe binafsi sikuzuii kumsupport. Ila Mwl alipita mkoa mpaka mkoa kwa sababu support ya wazee wa Dar haikuwa inatosha kudai uhuru. Dar ulikuwa teyari wana support je mkoani huko? Sasa si ushasema wazee wa Dar hapo. Nyerere alipita mkoa mpaka mkoa tena mikoa mingine ilikuwa na viongozi mpaka wanne, kuomba wote wamsupport. Hawa walikuwa wengine wakristo wengine wapagani wengine mchanganyiko, leo hii utasemaje tu hii ni historia ya Tanganyika wakati historia hii imetungwa kuwazungumzia sehemu moja tu ambayo ni waislam?. .
Nadhani nimekujibu
Nimekujibu kulingana na imani niliyokuwa nayo. Sijazungumzia dini. Mbona majibu yangu yako very simple aisee wewe tu unaelewa slowly
Hakuna dini yeyote Tanzania iwe mkristo, muilsm au dini yeyote za mshariki ya mbali inasupport matambiko ya asili popote pale uendapo
Imani yangu matambiko ya mizimu ni mizizi ya kichawi, haiwezi kukubalika kwenye vitabu vya dini. .
Tanganyika ilikuwa na viongozi wengi wa kikabila, ukienda Kilimanjaro kulikuwa na Mangi, Ukienda pwani kulikuwa na mamwinyi, Ukienda Tanga kulikuwa na Jumbe, Ukienda sehemu nyingi kulikuwa na machifu nkKuna vitu kadhaa vinajirudia hapa tena na tena ambavyo pia vinaongeza mashaka zaidi:
Mosi
Ni kama harakati za kudai uhuru wa Tanganyika miongoni mwa waisilam zililenga sana kudai uhuru wa waisilam na uisilam. Ikimaanisha walikuwa wanapigania uhuru wa uisilam, bahati mbaya ikawa kumpa ukamanda Nyerere ambaye ajenda yake ilikuwa uhuru wa Tanganyika na watanganyika wote.
Kama hivyo ndivyo basi Mungu aliingilia Kati kuzuia hiyo hila ya watu kujifanya wanadai uhuru wa nchi kumbe wanadai uhuru wa uisilam na waisilam.
Pili
Kwa namna hoja zinavyojengwa kama hujui chochote kuhusu Nyerere unaweza kudhani lilikua Zoba fulani hivi ambalo waisilamu kwa huruma zao walimuwezesha na kumfanya apate quality za kuongoza.
Wakati ukweli ni kwamba uwezo wa mwalimu na maono yake viliwafanya hao wote waone Mungu kawaletea mtu waliye mngoja kwa muda mrefu sana.
Anglican ina uongoz wake na England ina uongozi wake. Vivyo hivyo Anglican ni dini na Uingereza ni nchi, na haikutawala dini ilitawala nchi. Sijui kama unaelewa. Leo hii kuna nchi nyingi za kiislam lakini Uislam upo hata kabla ya hizi nchi. Huwezi kuzungumzia utawala wa kinchi na kidini usichanganye. .Sasa umeshindwa kitu gani kusema tu ni Waingereza ? Unajua kuwa Uingereza ni nchi ya Kikristo rasmi ? na Anglican ni state church ?
Janina,Ajibu vipi tena ?? Inaelekea hivyo vyeti vyenu feki mlivyopewa kwenye shule za makanisa vinawapa shida. Hata kuingia kwenye blog mnashindwa kutafuta material
Gill,Mjomba hata kama kakukosea ungekaa kimya tu futa hii sio jambo zuri. Hakuwa sahihi ila matusi si jambo zuri. .
The Phy,Kuna vitu kadhaa vinajirudia hapa tena na tena ambavyo pia vinaongeza mashaka zaidi:
Mosi
Ni kama harakati za kudai uhuru wa Tanganyika miongoni mwa waisilam zililenga sana kudai uhuru wa waisilam na uisilam. Ikimaanisha walikuwa wanapigania uhuru wa uisilam, bahati mbaya ikawa kumpa ukamanda Nyerere ambaye ajenda yake ilikuwa uhuru wa Tanganyika na watanganyika wote.
Kama hivyo ndivyo basi Mungu aliingilia Kati kuzuia hiyo hila ya watu kujifanya wanadai uhuru wa nchi kumbe wanadai uhuru wa uisilam na waisilam.
Pili
Kwa namna hoja zinavyojengwa kama hujui chochote kuhusu Nyerere unaweza kudhani lilikua Zoba fulani hivi ambalo waisilamu kwa huruma zao walimuwezesha na kumfanya apate quality za kuongoza.
Wakati ukweli ni kwamba uwezo wa mwalimu na maono yake viliwafanya hao wote waone Mungu kawaletea mtu waliye mngoja kwa muda mrefu sana.
Shukrani sana, Mzee wetuJanina,
Mimi ningekuwa wewe nisingejibu hivyo.
Ningemsomesha.
Kuna mtu anapenda dua iwe tambiko na sababu ni kuwa anataabishwa na kunasibisha dua na Qur'an.
Mimi kumuongezea uelewa nimemwambia kuwa Nyerere si wa kwanza kufanyiwa dua.
Mtu wa kwanza ni Rashid Ali Meli Bwana Fedha wa Dar-es-Salaam Municipal Council.
Akiwa ni mjuzi akiingia katika blog yangu na kufanya name search atamkuta Rashid Ali Meli na uhusiano wake na TANU na Nyerere na sababu ya yeye kufanyiwa kisomo.
Atasoma na kuelewa kuwa Rashid Ali Meli alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU ukumbi wa Arnautoglo August 1954.
Usijibu kwa ghadhabu.
Jambo lolote ukilitia upole litapendeza.
Anglican ina uongoz wake na England ina uongozi wake. Vivyo hivyo Anglican ni dini na Uingereza ni nchi, na haikutawala dini ilitawala nchi. Sijui kama unaelewa. Leo hii kuna nchi nyingi za kiislam lakini Uislam upo hata kabla ya hizi nchi. Huwezi kuzungumzia utawala wa kinchi na kidini usichanganye. .
Lakini dhana ya "amani" au ile aliyotumiridhwa mtu "rehemati lil Al amin" haikuwa kwa waislam pekee, ni kwa viumbe vyote hadi mimea kaka Mohamed wasomeshe hawa, wao wanachanganya madai yako ya kuenguliwa kwa makusudi kwa jitahidi za waislam kuupata uhuru wa Tanganyika na udini(ubaguzi wa waislam kwa wasio waislam) ule ubaguzi wa roho mbaya, laa Mohamed anachotaka ukweli uelezwe na ijulikane wazi makusudi ya kuondoshwa waislam katika historia yaani ifahamike nia ovu ya hawa waondoaji ambao kinara wake ni julius Nyerere (pamoja kwamba bwana julius Ana Mazuri yake)The Phy,
Sehemu ya kwanza umekosea.
Waislam walitamani sana Wakristo wengi wajiunge na African Association ili ipatikane nguvu ya umoja wa wananchi wote.
Hii ndiyo sababu Kleist Sykes baada ya kuunda African Association 1929 akaunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933.
Hakutaka agenda za Waislam zipitie African Association.
Historia hii unaweza ukaisoma kwenye kitabu na kwenye blog yangu: "Kleist Sykes Man of Ideas."
Unaweza pia kusoma historia hii katika Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam, East Africana: Kleist Sykes The Townsman (1968) seminar paper iliyoandikwa na Aisha Daisy Sykes.
Halikadhalika kwenye Dictionary of African Biography, Kleist Sykes, Oxford University Press New York 2011.
Uhodari wa Mwalimu nimeueleza kwa kirefu sana katika kitabu cha Abdul Sykes.
Abdul Sykes yeye alimtaka amwingize Chief David Kidaha Makwaia Hamza Mwapachu alitoa rai kuwa Nyerere ni Allah zaidi.
Mazungumzo haya kati ya Sykes na Mwapachu yalifanyika nyumbani kwa Mwapachu Nansio, Ukerewe katika miezi mitatu ya mwanzoni 1953.
Mtu mwingine aliyekuwako katika mazungumzo haya alikuwa Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.
Ingia utasoma yote haya na mengi zaidi bure: mohamedsaidsalum.blogspot.com.
"Elimu Bila Khiyana."
Mie mwenyewe simjui ila nimemgooge anaitwa Archbishop of Canterbury jina lake Justin Welby, nimeitoa Archbishop of Canterbury - WikipediaMkuu wa Anglical church ni nani?
Gily,Tanganyika ilikuwa na viongozi wengi wa kikabila, ukienda Kilimanjaro kulikuwa na Mangi, Ukienda pwani kulikuwa na mamwinyi, Ukienda Tanga kulikuwa na Jumbe, Ukienda sehemu nyingi kulikuwa na machifu nk
Wazee wa Dar hawakuwa na mamlaka ya Tanganyika hivyo Nyerere alipita kwa kila himaya, kila kiongozi wa kimila kuomba support. Wakati Nyerere anaenda kudai uhuru kuna mangi Marealle alienda kuomba uhuru wa kaskazini na teyari alikuwa na baraka zote za viongozi wa kaskazini. Hapo inaashiria nini? Inaashiria kuwa aliwashawishi viongozi wengi wa kaskazini wamsupport ili adai uhuru na kaskazini ila Nyerere aliweza pata support ya nchi nzima ambapo alizunguka kwenda mkoa kwa mkoa ndio maana tunamuita Muasisi wa Taifa. Wazee wa Dar walikuwa na support ya Dar tu hata kama wangeenda wasingepata ndio maana kujua hili wakakubali kuwa chini ya mwalimu Nyerere kama viongozi wengine wengi Tanganyika. .
Hakuna Uhuru uliodaiwa kwa ajili ya waislam na hakuna uhuru uliodaiwa kwa ajili ya wakristo. Huyu mzee Said hakuwahi kumuhojo mwalim Nyerere wakati alikuwa teyari keshaandika vitabu vyake na Mwl yupo. Na rejea zake nyingi hazina ushahid zaid ya NIMESIMULIWA. Sasa aliyekusimulia kama alikudanganya je, maana yake kuna ngano za uongo. Vitabu vyake huyu mzee kwa jinsi alivyoviandika vitasomwa kama vitabu vya hadithi, wala si historia ya nchi ya Tanganyika. .
Uko huru kuamini ngano zake za kutunga ambazo hakutaka kuwahoji wahusika. Ila yote ni kukimbiza upepo tu. .
Kuna bandiko linalomuhusu Mzee Dossa Azizi Ally, sijajua bado limeandikwa na nani, japo kiuandishi linafanania na Mzee wetu huyu.Kuna vitu kadhaa vinajirudia hapa tena na tena ambavyo pia vinaongeza mashaka zaidi:
Mosi
Ni kama harakati za kudai uhuru wa Tanganyika miongoni mwa waisilam zililenga sana kudai uhuru wa waisilam na uisilam. Ikimaanisha walikuwa wanapigania uhuru wa uisilam, bahati mbaya ikawa kumpa ukamanda Nyerere ambaye ajenda yake ilikuwa uhuru wa Tanganyika na watanganyika wote.
Kama hivyo ndivyo basi Mungu aliingilia Kati kuzuia hiyo hila ya watu kujifanya wanadai uhuru wa nchi kumbe wanadai uhuru wa uisilam na waisilam.
Pili
Kwa namna hoja zinavyojengwa kama hujui chochote kuhusu Nyerere unaweza kudhani lilikua Zoba fulani hivi ambalo waisilamu kwa huruma zao walimuwezesha na kumfanya apate quality za kuongoza.
Wakati ukweli ni kwamba uwezo wa mwalimu na maono yake viliwafanya hao wote waone Mungu kawaletea mtu waliye mngoja kwa muda mrefu sana.
Kitali,
Unaijua idadi ya dini asilia?
Walipata kuwapo na kuunda chama cha siasa kupigania uhuru wa Tanganyika?
Hii leo wapo na wana maslahi yeyote katika ujenzi wa taifa hili?
Unawajua viongozi wao?
Unadhani unaweza kupambanisha hoja ya upagani na historia ya Waislam wa Afrika ya Mashariki?
Jibidiishe kusoma.
we unajua uhuru tu ila hao waarabu walichowafanyia wenyeji ulishakiandika?Kitali,
Unaijua idadi ya dini asilia?
Walipata kuwapo na kuunda chama cha siasa kupigania uhuru wa Tanganyika?
Hii leo wapo na wana maslahi yeyote katika ujenzi wa taifa hili?
Unawajua viongozi wao?
Unadhani unaweza kupambanisha hoja ya upagani na historia ya Waislam wa Afrika ya Mashariki?
Jibidiishe kusoma.
Mie mwenyewe simjui ila nimemgooge anaitwa Archbishop of Canterbury jina lake Justin Welby, nimeitoa Archbishop of Canterbury - Wikipedia
Kwani nani kakuzuia wewe kuandika? Ingia kazini utupe somo usiwe mchoyowe unajua uhuru tu ila hao waarabu walichowafanyia wenyeji ulishakiandika?