Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Tuanze na wilaya uliyopo. Misikiti ni mingapi na makanisa ni mangapi? Kuna msikiti wowote watu wanaswali kwa awamu? Misa?
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.

Ninapata shida kumwelewa kwa sababu kwa taifa letu lilipofikia ningeweza kusema kama ni ubaguzi unaopaswa kupambana nao ni ule unaopendelea chama tawala.

Ubaguzi anaosema waisilam wanabaguliwa ni wa kufikirika sana. Sijui kama huyu ndugu amefanya utafiti kujua wakristo na waisilam wanaosota na kubaguliwa kwa sababu wao sio CCM!!.

Akiwa anasema hayo wapo viongozi wa kiisilam wengi tu wanaoshiriki uharamia wa kuwabagua ndugu zao ilimradi tu sio CCM.

Nashauri aache mambo ya kukaririshwa kwamba waisilam wanaonewa hizo hoja zilishapitwa na wakati. Isitosha zinafanya waisilam waonekane wanyonge na watu wa kuhurumiwahurumiwa tu.
Hivi kweli kabisa hukuwahi kumsikia huyu Mdini anayeitwa Mohamed Said? Hukuwahi kusikia Laana zake humu?
 
Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.

Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Ni kweli kabisa Waislam na dini yetu ya Mnyaaazi mungu tunabaguliwa na wagalatia
 
Wamanyema kujifanya waarabu
Mmanyema mwenye pua pana ya kibantu, nywele ngumu, lips pana na weusi tii ila kamwe usimwite Mwafrika mwite Mwarabu
IMG_20211211_135834.jpg
 
Hata Jf wanamwendekeza Sana...kwa makala zake!
Kuna Moja humu eti amemshupalia Mama Gaudensia Kabaka ,kuwa aliwaaonea Waislam UDOM?!
Hii,no fedheha kwa Jamii Forum na Mzee Mohamed mwenyewe !Mama Kabaka alokuwa n Mwenyekiti wa Baraza la Chuo,atabebaje dhamana ya kufukuzwa kwa Waislam was UDOM personally' .Makala ile inalenga kupotosha na kumionea mama Kabaka kisa tu n Mkristo!
Malala Ile imehitimisha Kwa kuhoji mama Kabaka anawezaje kuwa kiongozi ya UWT ili hali yeye anawaonea Waislam!
Huu ni uchochezi wa wazi!
Mkuu hapa JF kuna upendeleo SANA!!!

Mimi nimekuwa nampinga huyu Mfia dini mwenye dalili zote za kigaidi halafu naishia kupigwa BAN

Huyu Mtu sio wa kuendekezwa na nashangaa sana hapa JF wanamruhusu kuleta udini na kugawa watanzania kwa kuchochea chuki.

@Moderators walizingatie hili
 
Hii kitu ya kusema waislam wanabaguliwa nchi hii huwa inadhoofisha sana waislam, huo ubaguzi uko kwenye nyanja ipi...wakati mwingine inafanya ndugu zetu wakristo watuone watu wa kulia lia wakati wote!
Kwani hujui Waislam asili yao ni kulialia?

Yaani wao ni wa kulalamika tu kuwa wanadhulumiwa na kuonewa hapa duniani

Hata Waarabu wa huko kwingine ni hivyohivyo ndio mana Americans na Israelites huwa hawana muda wa kuwabembeleza
 
kundi kubwa la wanaopenda kusema waislamu wanabaguliwa !:
* maeneo ya magomeni kwenye vijiwe vingi na mitaani.
*kariakoo sehemu za misikiti baadhi na vijiwe vya kahawa.
*zanzibar huko hakuna pakujuza.
*ndugu zao waliopigania uhuru.
*wasio taka kusomesha watoto wao kwa kuwa elimu ilikuwa inaonekana ya ukristo.
*elimu finyu zilizojaa pandikizi kama wale waliokula mikongoto mwembechai na kule nairobi.
*pandikizi wanao toka nchi za kiarabu kujifanya wanakuja kusaidia waislamu "kuna kipindi mwalimu aliwafulumusha kama mbwa baada ya kuona nchi inapoelekea ina gawa"

mangine mtamaliza wenyewe maana na jua kwa nini wanasema wametengwa.
Hao wote wanasoma vitabu vya Nabii wao Mohammed Said na kusikiliza mawaidha yake na uongo kwa njia ya CD na flash huko misikitini

Hii ni mfano wa Dini ya hovyo sana iliyojaa chuki na malalamiko

Hata wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana Unafiki sana
 
Nadhani hujumuekewa vizuri aliongelea kuhusu wapigania uhuru wa mwanzoni wa Taifa hili kutoandikwa kwenye historia ya Nchi .Lakini pia huyu Mzee sometimes ni mbaguzi Sana wa kidini hafai kwenye jamii ya watu waloelimika na kustalabika .Anapenda Sana dini yake kuliko uhalisia ulivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukimtoa Bibi Titi Mohamed unataka uwaandike Wazee wasiojua kusoma waliokuwa wanatawanya miguu vibarazani wakati Nyerere anainadi TANU?
 
Ndio Maana siku ya jpili sisi twapumzika ili Tuabudu vizuri, Hata Mkoloni alitusaidia sana kuiua ile kilwa otherwise ingekuwa islamic state ya East Africa ' ni bora kuwabagua wakisimama nchi Haitotawalika
Mahala popote penye UISLAM basi ujue hakuna Amani

Tena hawawezi kuishi na kuwavumilia watu wa dini zingine, wanawaza vita muda wote

Tazama historia ya Syria, Somalia, Sudan, Iran, Iraq, S.Arabia n.k
 
Kakojowe ukalale hivi wale uamsho waliokaa gerezani miaka 9 , na hawa waislamu wa Tanganyika walioko gerezani mpaka leo kwa mashitaka ya kutunga ya ugaidi hamuyaoni , munayaona ya Mbowe mkiristo mwenzenu kuwekwa ndani
Sheikh umeshashiba wali wa manjano eeh, sasa ni kutupumulia tuh

Makuruh hayo sheikh...!
IMG_20211206_154236.jpg
 
Kiukweli siku ile sikumuelewa kbs mzee mo.said
Alikuwa anahoja nzuri lakin,kwahali ya kawaida ni hoja mfu inahitaji ufafanuzu wa hali ya juu kwasababu watanzania wanaumizwa na maccm na ndan ya masisiem waislam wengi ndy wapo on the top kweny uongozi.
Ndy maana mshiriki mada mwenzia alimuuliza kuhusu hali ya watanzania nnje na dar es salaaam mbn wote hali zao ni moja,wote ni mafukara wa kutupwa!

Alikuwa anahoja nzuri lakin inahitaji ufafanuzu wa hali ya juu sana.
Tatizo ni ELIMU, ELIMU, ELIMU na MANAGEMENT.

Hawa hata wakiwa wengi mahali na wakaelimika, basi tatizo linakuwa kujiongoza wenyewe bila kuhitilafiana hawawezi

Chunguza uongozi katika misikiti au shule zao.
 
Phy...
Tunaweza hapa tukafanya mjadala wa adabu na heshima na jamii ikanufaika na hoja.
Bahati mbaya umeanza mjadala na lugha za kejeli.

Umekuja na neno, ''kulialia.''

Ikiwa unataka kujadili na mimi njoo za lugha za kiungwana kwani inawezekama kabisa ukasema hayo uliyosema katika njia ya staha na kuheshimiana.
Weweee....hata hapa umeanza ''kulialia''

Unataka kubembelezwa?
 
Daudi...
Nakushukuru kwa kunikaribisha nitoe ushahidi wa dhulma.
Kama kuandika hapa post itakuwa ndefu kupita kiasi.

Nimeandika kitabu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press London, 1998.

Part One na Part Two nimeeleza mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika historia ambayo hakuna aliyepata kuiandika ndiyo sababu nikaweka, ''The Untold Story.''

Part Three anuani yake ni: ''Conspiracy Against Islam.''
Wasomaji wa kitabu hiki wanasema hapa ndipo kilipo kitabu chenyewe.

Kitabu hiki kipo kwa Kiswahili pia ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'' Phoenix Publishers, Nairobi (2002).

Anaetaka ushahidi kuwa lipo tatizo asome kitabu hiki.

Kitakachomdhihirikia mara moja na atajiuliza, ''Mbona historia hii ya uhuru haya majina ninayosoma sijapata kuyasikia katika historia ya TANU wala historia ya uhuru wa Tanganyika?''

Sasa atakapomaliza kusoma Part Three atakuwa kaelewa mbinu zote zilizofanywa dhidi ya Waislam na wahusika atawasoma kwa majina yao.

Na katika wahusika wa njama hizo wapo Waislam.

Siandiki kufanya mzaha wala siandiki kuleta fitna katika jamii na ndiyo unaona niko wazi na jina langu ndilo hili.

Sijajificha wala situkani au kukejeli yeyote.
Nimesimama kwenye ukweli wa kile nilichotafiti na kuandika.

Ukweli huu katika masula mengi ya nchi yetu ndiyo umeniweka hapa nilipo kuwa vyombo vya habari vikubwa ndani na nje ya mipaka yetu hawasiti kunihoji wakitaka kujua jambo lolote kuhusu nchi yetu.

Hakuna chombo kikubwa duniani ambacho sijafanyanacho mahojiano kuanzia, BBC, VoA, DW, SABC, Aljazeera, Sauti ya Tehran Iran, Sauti ya Saudi Arabia.

Mbali na hayo nimealikwa kuzungumza katika vyuo kadhaa Afrika, Ulaya na Marekani.
Ikiwa kuna mtu anataka tufanya mjadala namkaribisha kwa sharti moja tu.

Tutumie lugha ya kistaarabu tuheshimiane ili wasomaji wanufaike na fikra zetu.
Hii ndiyo njia bora ya kutafuta utatuzi wa tatizo hili la ubuguzi.
Same Old tales...!!!
 
Back
Top Bottom