The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
- Thread starter
- #401
Haa haaa a haaaaHata Waislamu wakiwa 98% katika nchi bado watalalamika kuonewa au kubaguliwa.Iko kwenye damu
Haa haaa a haaaaHata Waislamu wakiwa 98% katika nchi bado watalalamika kuonewa au kubaguliwa.Iko kwenye damu
Acha kusambaza upotosgaji
Ila Nyerere aliweza sana kucheza na saikolojia ya Hawa nduguHalafu wanaong'anga'ania kuhesabiwa kwa mtazamo wa kidini ni waislam sijui faida baada ya hapo ni nini? Kama sehemu ulipo hakuna kanisa hata moja yumkini upo mikoa ya pwani ambako hao unao wahusudu walichukua babu zenu utumwani. Kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini.
Turudi kwenye hoja upo tayari kupokea taarifa ya waziri mwenye dhamana kuhusu misikiti na makanisa yaliyosajiliwa hapa nchini?
Nyerere alikuwa intellectual, Msomi asiye wa kubahatisha, yeye akiwa darasani ameshika kalamu na daftari hawa walikuwa mkekani na vyete vya bao mkononi.Ila Nyerere aliweza sana kucheza na saikolojia ya Hawa ndugu
Huyo mfuasi wa bwana Mudy anatafutia watu BAN achana nae akaende kujibinua masjidMakafiri ndio watu gani!?
Unikaribishe Mara ngapi?Karibu MUM ujionee mwenyew,niny chuki zenu mtakufa midomo waz
Unikaribishe Mara ngapi?
Nimesoma hapo siku kadhaa
Upotoshaji ni kwa mujibu wa kanisa lako Na biblia yakeAcha kusambaza upotosgaji
Mahmud Said kwenye mahojianona kwa uchungu alikuja na hoja ya ajabu sana kuwa vizazi vya Waislamu wanaishia kuuza karanga mjini: babu, baba, na wajukuu sababu ya kukosa fursa za elimu kutokana na ubaguzi dhidi ya Waislamu. Hii ni hoja ya kijinga yenye mihemko na isiyokuwa na uhalisia katiak tanzania ya leo. Ndugu Mtangazaji ilibidi amuulize: jee hii hali ni kwa Waislamu tu?
Jee, baada ya yote kusemwa, Mahmud Said amefanya jitihada gani mbadala za kuwainua Waislamu wenzake zaidi ya kulialia kila akipewa fursa kwenye international media kama DW, BBC, VOA, Sauti ya Tehran n.k. kitu ambacho anaona sifa sana?
Angeorodhesha concrete efforts alizofanya yeye binfsi kuboresha elimu ya Waislamu nchini tokea Uhuru na siyo ku copy and paste machapisho yake na vyuo alivyoalikwa kuongea huko ng'ambo.
Ndiyo akafanywa kibaraka wa wazungu baada ya kuwekwa madarakani Na Hao wazungu baada ya kupinduliwa Na majeshi? Akaondoka madarakani Na kuiwacha nchi muflis hata kiatu tukivaa mapira ya gariNyerere alikuwa intellectual, Msomi asiye wa kubahatisha, yeye akiwa darasani ameshika kalamu na daftari hawa walikuwa mkekani na vyete vya bao mkononi.
Aliwaweza sana wavaa kobasi.
Wacha kupakazia kondoo wa bwanaUnikaribishe Mara ngapi?
Nimesoma hapo siku kadhaa
WazunguMakafiri ndio watu gani!?
Aisee ngoja niende you tube nicheki isijekuwa mnampakazia 😂
Hayo maneno hayajaandikwa kwenye biblia yoyote labda kama wewe umeandika ya kwakoUpotoshaji ni kwa mujibu wa kanisa lako Na biblia yake
Kwani hilo neno kafiri lina maana gani!?Wazungu
Hayo maneno hayajaandikwa kwenye biblia yoyote labda kama wewe umeandika ya kwako
Hayo maneno hayajaandikwa kwenye biblia yoyote labda kama wewe umeandika ya kwako
Hayo maneno hayajaandikwa kwenye biblia yoyote labda kama wewe umeandika ya kwako
Mkuu,dalili za Kigaidi ndio zikoje hizo.mwenye dalili zote za kigaidi
Hiyo queen James ndio naisikia leo na nadhani iliandikwa mahususi kuleta huu upotoshajiSoma
Soma kwenye Queen James Bible