abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Nadhan dawa imepenya,so uczungumze vitu ambavyo.huna hakika navyo
Upapa na mimi mbali mbali kabisa siwezi kutembea nimebeba rozali na kusujudu kila napo kutana na kijisanamu cha anae itwa bikira maria. Mimi nacho zungumza ni uhalisia. Sasa kama wanapakana vinyesi pale basilica hiyo hainihusu