Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Tuanze na wilaya uliyopo. Misikiti ni mingapi na makanisa ni mangapi? Kuna msikiti wowote watu wanaswali kwa awamu? Misa?
Nilipo hakuna kanisa hata moja,
Misikiti haina idadi,
Lakini yanini shida yote?
Tuhesabiane tu, tutapata hesabu ya uhakika
Mwakani kuna sensa tufanye kampeni tuhesabiane
Tuhesabiane
 
Nilipo hakuna kanisa hata moja,
Misikiti haina idadi,
Lakini yanini shida yote?
Tuhesabiane tu, tutapata hesabu ya uhakika
Mwakani kuna sensa tufanye kampeni tuhesabiane
Tuhesabiane
Halafu wanaong'anga'ania kuhesabiwa kwa mtazamo wa kidini ni waislam sijui faida baada ya hapo ni nini? Kama sehemu ulipo hakuna kanisa hata moja yumkini upo mikoa ya pwani ambako hao unao wahusudu walichukua babu zenu utumwani. Kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini.

Turudi kwenye hoja upo tayari kupokea taarifa ya waziri mwenye dhamana kuhusu misikiti na makanisa yaliyosajiliwa hapa nchini?
 
Waislam wanafurahi sana wakiambiwa wapo wengi [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani ni kama watoto unaweza wakuta barabarani wanahesabu magari halafu wanakuambia yote ni yetu huku wanafurahi na kucheka sana.
 
Mmeanza kutupia clips za kudhihirisha Hamna hoja.

Ukitaka nipost hizo ntakutumia hata clips 5000, twende kwenye hoja ewe mfuasi wa Mwamedi.

Kwanza umeshatawadha?
Kwani ulipoandika upuuzi huko juu Na matusi ulisahau hoja ?
 
Waislam wanafurahi sana wakiambiwa wapo wengi [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani ni kama watoto unaweza wakuta barabarani wanahesabu magari halafu wanakuambia yote ni yetu huku wanafurahi na kucheka sana.

wjd-billboard-born-gay-1.jpg
 
Na itambulike tu kuwa, Tulipotaka kuwa Huru hatukutaka Uhuru NusuNusu, Tulitaka Uhuru wetu wote katika Ukamilifu wake.
Matambiko, Falme zetu, Uchumi wetu, Mila na Desturi.
Wakatupumbaza kwa Viini Macho na Leo tunavionea Fahari na kuvipigania kuvihalalisha vichwani mwetu.

Hawasikikii wala hawataki kujua Waliyopitia Babu zao Kuvishwa Utumwa walionao leo. Kinachokera zaidi, katika Utumwa wao wanajionea fahari na kujihesabia haki.

Kwa kadri mjadala unavyoendelea ninaona kuna mahali pengi kwa makusudi kabisa maswali yanayohitaji majibu rahisi kabisa hayajibiwi ila tunarejeshwa kwenye historia ya miaka mingi sana iliyopita ili kuhalalisha hoja kwamba waisilamu tanzania ni watu duni ukilinganisha na wakristo.

Tusipojadili mambo kwa muktadha wa sasa kuna HATARI tukazalisha kizazi cha waisilam walalamikaji na wanug'unikaji wasiojua wamlalamikia nani na wanamnug'unikia nani!!
Kinaochoonekana ni kana kwamba waisilam wanatakiwa kupewa fadhila za uongozi wa nchi hii hata kama ushindani unawatupa nje kwa sifa.
Lakini pia nimeuliza ni kigezo gani hutumika kutambua dini za watu Hadi utoe orodha ya wateule na watumishi wengine na kuwabagaza dini!? Mbona haya hamjibu!?
Kigezo Cha kutambua Dini za mtu ,kinachotumika ni Majina ...Wenye majina yq Kiarabu ni Waislam na wenye Majina ya Kizzungu na Kiyahudi ni Wakristo😃😃😃
Kwenye orodha aliyotoa Mzee Mohamed ,Kuna watu wana majina anayoyashadadia ,lakini nawajua fika hata Juzuu Moja ya Qurain Tukufu hawaijui!
 
Na hapa ndipo mashaka yangu yalipo, maana mm nawafahamu watu wengi waliolazimika kubadili majina ili wapate fursa ya kusoma kwenye taasisi za kikatoliki, tunao wengi sana wameajiriwa na wameendelea kuwa waisilam japo wanaitwa majina ya kikristo lakini pia kwenye jamii nyingi za kipagani watu hutoa majina kwa watoto kwa kulisikia tu mahali bila kuzingatia dini.
 
Naomba nitoe rai kwa huyu mzee Mohamed said aachane na kufanya mijadala iliyopitwa na wakati, maana naona mambo anayoyashadadia ni ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia.

Na kwa sababu anakazania sana kwamba kaandika vitabu na machapisho mengi, nashauri avihifadhi maktaba awe anavipitiapitia akitoka kuswali.

Ila kwa sasa changamoto wanazopitia watanzania zinafanana kwa dini zote, hivyo hayo madai yake hayaeleweki.

Changamoto pekee iliyopo ni taasisi za kiisilam kumiliki taasisi chache za Kutoa elimu jambo linalolowakosesha watoto wengi wa kiisilam kunufaika. Maana nakumbuka rais mstaafu kikwete aliwahi kuwashauri wakati wakilalamikia mou baina ya serikali na kanisa, alisema nanukuu,

" Badala ya kulalamika kwa nini wenzenu wapewe nawashauri na ninyi muombe"

Hata hivyo serikali ya tanzania kwa sehemu kubwa sana imejitahidi KUONDOA vikwazo vya elimu vinavyoweza kupelekea kukawa na matabaka ya kielimu kwa misingi ya dini!
 
Halafu wanaong'anga'ania kuhesabiwa kwa mtazamo wa kidini ni waislam sijui faida baada ya hapo ni nini? Kama sehemu ulipo hakuna kanisa hata moja yumkini upo mikoa ya pwani ambako hao unao wahusudu walichukua babu zenu utumwani. Kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini.

Turudi kwenye hoja upo tayari kupokea taarifa ya waziri mwenye dhamana kuhusu misikiti na makanisa yaliyosajiliwa hapa nchini?
Dawa ni kuhesabiana tu,
Namba haziongopi
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.

Ninapata shida kumwelewa kwa sababu kwa taifa letu lilipofikia ningeweza kusema kama ni ubaguzi unaopaswa kupambana nao ni ule unaopendelea chama tawala.

Ubaguzi anaosema waisilam wanabaguliwa ni wa kufikirika sana. Sijui kama huyu ndugu amefanya utafiti kujua wakristo na waisilam wanaosota na kubaguliwa kwa sababu wao sio CCM!!.

Akiwa anasema hayo wapo viongozi wa kiisilam wengi tu wanaoshiriki uharamia wa kuwabagua ndugu zao ilimradi tu sio CCM.

Nashauri aache mambo ya kukaririshwa kwamba waisilam wanaonewa hizo hoja zilishapitwa na wakati. Isitosha zinafanya waisilam waonekane wanyonge na watu wa kuhurumiwahurumiwa tu.
Hata Waislamu wakiwa 98% katika nchi bado watalalamika kuonewa au kubaguliwa.Iko kwenye damu
 
"Elimu izalishayo mafisadi si elimu sahihi"
Hakikisha hukosi nakala yako, kitabu kipo hatua za mwisho kwenye uchapaji
 
Huku ukijisahaulisha kuwa makafiri ndyo chanzo cha vita karibun vyote dunia nzima
Mahala popote penye UISLAM basi ujue hakuna Amani

Tena hawawezi kuishi na kuwavumilia watu wa dini zingine, wanawaza vita muda wote

Tazama historia ya Syria, Somalia, Sudan, Iran, Iraq, S.Arabia n.k
 
Back
Top Bottom