abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Upapa na mimi mbali mbali kabisa siwezi kutembea nimebeba rozali na kusujudu kila napo kutana na kijisanamu cha anae itwa bikira maria. Mimi nacho zungumza ni uhalisia. Sasa kama wanapakana vinyesi pale basilica hiyo hainihusu
Ndiyo nikakuambia labda kwa kanisa lako Na biblia yako ,hayo mambo ya upotoshaji ni topic kubwa kwani hata hizi bibia tulizozizowea zina matatizo tena mengi sana ukizilinganisha Na biblia Za miaka ya nyuma , ukitaka ushahidi nitakuwekeaHiyo queen James ndio naisikia leo na nadhani iliandikwa mahususi kuleta huu upotoshaji
Kweli, kweli tupuI don't know how old are you,bt you seem to be very dull and stupid,
Said Arabia Kuna vita gan?na huko ulikomention sijui Iraq, Syria,somalia let's go even Libya,,who started the war to those places kama siyo hawa fellow christians for their goddamed economic ambitions?? unasema often uislam unaanzisha vita,you know nothing about Islam,so shut the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala up,who started world war one and two? Muslims?who bombed Hiroshima and Nagasaki Japan? Muslims?Who attacked Iraq for false allegations of weapons of mass destruction,Muslims?Who scrambled and partioned Africa and turned our fore father's into slavery? Muslims??Hitler,Benito Mussolini,and other aggressors,they were Muslims right??...
Islam or Muslims we are not existing to attack or kill anyone,one among the pillar of our religion is peace,to live a peaceful life,to observe the law,to respect everyone,to be intelligent but if comes some stupids like you and dare to extend your stupidity to us,it's very fair to us to just send you to the cemetery...
Muwekee tu huwenda akazindukaNdiyo nikakuambia labda kwa kanisa lako Na biblia yako ,hayo mambo ya upotoshaji ni topic kubwa kwani hata hizi bibia tulizozizowea zina matatizo tena mengi sana ukizilinganisha Na biblia Za miaka ya nyuma , ukitaka ushahidi nitakuwekea
HakikaTujibu hoja , dhihaka sio nzuri, mohamed said ni mtu anayesema ukweli. Siku zote ukweli ni mchungu.
Kitu halisi kina sifa gani ?Nani anaweza kuthibitisha kwamba uislam ni kitu halisi?
Umejuaje hili na wakati hajazaliwa huko Syria ? Kwani wanao jitoa muhanga ni wazawa tu wa sehemu fulani ?Kuna watu Ni vile walizaliwa tu nchi Kama Tz,Ila wangezaliwa huko Syria wangekua watu wakujulipua mabomu kwa jinsi walivyo radical.
Kwani katiba yenu inasemajw juu ya hilo ?Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.
Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Ni ujinga kumfananisha JPM na wakoloni.na wakaloni pia walijenga hospital mabarabara kwahivyo walikuwa sio wabaguzi
Nani amekwambia Mmanyema hawezi kuwa Muarabu ? Unajua maana ya Uarabu ? Mimi mtu wa kaskazini ila naweza kuwa Muarabu pia.Wamanyema kujifanya waarabu
Hona ni je wanachokidai ni kweli au la ?!kundi kubwa la wanaopenda kusema waislamu wanabaguliwa !:
* maeneo ya magomeni kwenye vijiwe vingi na mitaani.
*kariakoo sehemu za misikiti baadhi na vijiwe vya kahawa.
*zanzibar huko hakuna pakujuza.
*ndugu zao waliopigania uhuru.
*wasio taka kusomesha watoto wao kwa kuwa elimu ilikuwa inaonekana ya ukristo.
*elimu finyu zilizojaa pandikizi kama wale waliokula mikongoto mwembechai na kule nairobi.
*pandikizi wanao toka nchi za kiarabu kujifanya wanakuja kusaidia waislamu "kuna kipindi mwalimu aliwafulumusha kama mbwa baada ya kuona nchi inapoelekea ina gawa"
mangine mtamaliza wenyewe maana na jua kwa nini wanasema wametengwa.
Ni Nani unamuongelea?Umejuaje hili na wakati hajazaliwa huko Syria ? Kwani wanao jitoa muhanga ni wazawa tu wa sehemu fulani ?
Si mkehesabiane misikitini!? Kwa nini mnailazimisha serikali isiyo na dini ihesabu watu kidini!?Sasa suala Hilo usiniulize Mimi,Mimi ndiyo nikuulize wewe ulipokawa mnasema wakristo mpo wengi nchi hii mlitumia kigezo gan??
Na kama kitu PEKEE Cha kuthibitisha ni sensa ya watu na makaz kwann mnasugua miguu chini??
Mmesema mpo wengi, sawa twendeni basi tuhesabiwe officially hamtak,are you crazy?
Madai yao hayana maana yoyote hayana mantiki na hayatekelezeki!!Hona ni je wanachokidai ni kweli au la ?!
Kwa hivyo Tanzania hakuna Amani?Mahala popote penye UISLAM basi ujue hakuna Amani
Tena hawawezi kuishi na kuwavumilia watu wa dini zingine, wanawaza vita muda wote
Tazama historia ya Syria, Somalia, Sudan, Iran, Iraq, S.Arabia n.k
Historia ya Tanzania je? Wewe huenda hata shule ya Msingi hukumalizaMahala popote penye UISLAM basi ujue hakuna Amani
Tena hawawezi kuishi na kuwavumilia watu wa dini zingine, wanawaza vita muda wote
Tazama historia ya Syria, Somalia, Sudan, Iran, Iraq, S.Arabia n.k
Amani ipo kwa sababu waisilam sio wengiKwa hivyo Tanzania hakuna Amani?
Kwa mwandiko wako huo huna haja ya kushambulia elimu ya mtuHistoria ya Tanzania je? Wewe huenda hata shule ya Msingi hukumaliza