Acha kuwadanganya waislam kwa akili za kikamas hizo. Yan mtu mmoja azae watoto 10 halafu anamiliki genge la kuuza alkhasusu hao watoto atawapatiaje elimu bora sasa?!!Mohamed saidi mmoja tu amewatoa kamasi
Hawalali hawainuki kwa kutaka kupinga ukweli
Ukweli ni ukweli tu na ndio maana
Tutawahesabu mutake musitake
Na hizo nafasi zote nyeti tunaenda kuzikalia
Kwa kuwa sisi ni wengi kuliko nyie
Kwa kweli mzee ametuzindua sana
Na hii kampeni tutaieneza tz nzima
Huyu mzee anajaribu kutukumbusha siku za nyuma mara nyingi wakiona rais ni mwenzao wanaongeza bidii ya malalamiko kama ilivyokua siku za kikweteHuyu mtu si wakuchekewa huyu. Kipindi cha jpm mbona alikuwa kimya? Au sababu kaona Samaleko mwenzie ikulu? jpm katunyoosha wote bila itikadi za dini wala nini alafu huyu chizi mdini anaanza chokochoko.
Hao vijana ni wa hovyo kivip mkuu jaribu kufafanua huenda wakaelewaNchi ina vijana wa hovyo sana
The Phy,Bahati mbaya Mohamed amekimbia hapa lakini nilitamani anitajie madai makuu ya waisilam yaani yako mangapi na wanapendekeza yatatuliwe vipi ili kupitia hapa jukwaani tutoe ushauri wa namna gani yatekelezwe.
Pole sana kwa kuudhiwa kwa kutukanwa ingawa binafsi nilikuchukulia kama mtu aliyekomaa katika mijadala ya wazi kama hii ambayo kila mtu anaongea kinachomjia kwenye akili yake kutokana na uzoefu wako wa kuushiriki kwa njia mbalimbali.The Phy,
Mimi sijapatapo kuuikimbia mjadala.
Nimejitoa kwenye mjadala na nimeeleza kuwa najitoa kwa kuwa nimetukaniwa baba zangu matusi machafu kabisa.
Matusi yamesomwa na nyote mlikaa kimya hakutokea mtu kukemea.
Tafsiri ya ukimya ni kuwa ni sawa mimi kutukanwa.
Nilitegemea angalau mtu mmoja atakuwa na insafu ya kusema kuwa hapa ni mahala pa mijadala si mahali pa kutukana.
Kwa kuwa muungwana harejeshi matusi akitukanwa ndipo nikakaa pembeni.
Hayo malalamiko yakitekelezwa hayana athari kwa imani zingine!?Pole sana kwa kuudhiwa kwa kutukanwa ingawa binafsi nilikuchukulia kama mtu aliyekomaa katika mijadala ya wazi kama hii ambayo kila mtu anaongea kinachomjia kwenye akili yake kutokana na uzoefu wako wa kuushiriki kwa njia mbalimbali.
Maana sio wewe tu lakini ni wachangiaji wengi tu humu wametukanwa hata hivyo waliendelea na mjadala, tofauti na hapo kiu yangu ya kutaka kujua yapi madai ya waisilam iko pale pale, nataka kujua, madai ya waisilam yako mangapi, ni yapi, yako kwenye mamlaka ya nani, wanapendekeza yatatuliwe vipi!? Je malalamiko hayo Yana athari zozote!?
Yaani tena ni Juha mkubwa.Siku zote mimi naamini Mohamed Said ni mwandishi mjinga na hata yeye anajua.
Eh kawazindua na niniMohamed saidi mmoja tu amewatoa kamasi
Hawalali hawainuki kwa kutaka kupinga ukweli
Ukweli ni ukweli tu na ndio maana
Tutawahesabu mutake musitake
Na hizo nafasi zote nyeti tunaenda kuzikalia
Kwa kuwa sisi ni wengi kuliko nyie
Kwa kweli mzee ametuzindua sana
Na hii kampeni tutaieneza tz nzima
The Phy...Pole sana kwa kuudhiwa kwa kutukanwa ingawa binafsi nilikuchukulia kama mtu aliyekomaa katika mijadala ya wazi kama hii ambayo kila mtu anaongea kinachomjia kwenye akili yake kutokana na uzoefu wako wa kuushiriki kwa njia mbalimbali.
Maana sio wewe tu lakini ni wachangiaji wengi tu humu wametukanwa hata hivyo waliendelea na mjadala, tofauti na hapo kiu yangu ya kutaka kujua yapi madai ya waisilam iko pale pale, nataka kujua, madai ya waisilam yako mangapi, ni yapi, yako kwenye mamlaka ya nani, wanapendekeza yatatuliwe vipi!? Je malalamiko hayo Yana athari zozote!?
Ndugu yangu Gily nimekuelewa sana kwa maoni haya uko sahihi sana sote tunapaswa kuchalenji kistaarabu ila tatizo humu sio kila anaetetea dini fulani anamahusiano yoyote na hiyo dini wengine ni mashabiki tu, maana kiuhalisia hatumtarajii mtu mwenye kumcha Mungu atukane matusi, hapa ndipo tatizo linaanza.Hii dunia imajea sana chuki
Watu wanatumia nguvu nyingi kujiaminisha dini za wengine hazina maana
Ili hali hajui chochote kuhusu dini yake
Nawaasa mtumie nguvu nyingi kumjua Mungu wako, ambaye bado humjui? Unamtetea wakati bado humjui
Mungu anaweza kujitetea mwenyewe sio kazi yako kumtetea, alikutuma???
Usitumie nguvu nyingi kutaka kuonyesha dini ya mwenzako sio dini
Haina haja ya matusi wala kashfa, hiyo ni matokeo ya roho chafu
Basi kama inabidi tumia nguvu zako kumwonyesha mwenzako kwa nini dini yako ni ya Mungu wa kweli
Wala sio kwa nini dini ya mwenzako ina mapungufu, kwani hamjui vitabu vyote vimeonyesha mapungufu kwa dunia ya leo?????
I am very disappointed. .
Utamsikia yatatuliwe kwa mahakama ya kiilsmau kulipwa na serikali.. mara ofisi za umma kama nssf tujenge misikiti ili mchana wakaswali n.kBahati mbaya Mohamed amekimbia hapa lakini nilitamani anitajie madai makuu ya waisilam yaani yako mangapi na wanapendekeza yatatuliwe vipi ili kupitia hapa jukwaani tutoe ushauri wa namna gani yatekelezwe.
Angalau basi wangesema hata hayo lakini naona wako kimya au haya ni madai ya Mohamed said binafsi alafu anapakazia waisilam!? Maana ingekua ni madai ya kila muisilam si wangetiririka nayo hapa sana!?Utamsikia yatatuliwe kwa mahakama ya kiilsmau kulipwa na serikali.. mara ofisi za umma kama nssf tujenge misikiti ili mchana wakaswali n.k
Kataeni msikiti wake basi.
Mimi ni Muislam, shida kubwa ya Waislamu hatujui mafundisho sahihi ya dini yetu, ndio utaona wale walio mbele wanaodai kuutetea uislam ni wanaharakati wa ikhwaan (Muslim brotherhood), Hizbu tahriir, suruuriyun na mfano wao.Angalau basi wangesema hata hayo lakini naona wako kimya au haya ni madai ya Mohamed said binafsi alafu anapakazia waisilam!? Maana ingekua ni madai ya kila muisilam si wangetiririka nayo hapa sana!?
Au ndo ni ukweli kwamba kwa siku hizi madai yao yameshapitwa na wakati isipokuwa kwa watu wanaoishi nyuma ya wakati.
Maana baada ya Mohamed kususia mjadala nilitegemea atokeze muisilamu mwingine ambaye hajasusa aeleze kinagaubaga nini hasa shida ya waisilam tanzania inayowagusa wao specifically na sio shida ya watanzania wengine!
Tuwekee hayo madai mzee m.saidThe Phy...
Umefanya kosa kunifananisha mimi na watu wengine.
Mtu anaefanyiwa ubaya na asikasirike huyo ni mfano wa punda.
Mtu hakomazwi kwa kutukanwa.
Ukimtukana mtu umevunja utu na murua wake wote.
Nimefanya mijadala ya wazi mingi na nimepambana na watu wajuzi wa hoja na somo lililo mezani.
Siwezi kujiruhusu kushiriki katika mjadala wa matusi.
Wengi hapa mnaniita mzee na napokea heshima hii kwa mikono miwili kwani hakika mimi ni mzee si kijana tena.
Labda iwe mnaniita mzee kwa kunidhalilisha na kunidhihaki na ndiyo huwa inatanguliwa na "we mzee," na "huyu mzee."
Rudi nyuma jisome na jiulize kwa nini unanitambulisha hivyo?
Dharau, kibri na chuki.
Nauthamini uzee wangu na ndiyo sababu hapa mimi situkani mtu wala sikejeli mtu.
Uzee uendane na tabia njema.
Basi hata ushahidi wa hayo maneno yako umeshindwa kutuwekeaMimi ni Muislam, shida kubwa ya Waislamu hatujui mafundisho sahihi ya dini yetu, ndio utaona wale walio mbele wanaodai kuutetea uislam ni wanaharakati wa ikhwaan (Muslim brotherhood), Hizbu tahriir, suruuriyun na mfano wao.
Wengi wa hao Kama sio wote wameacha mbali mafunzo sahihi ya uislamu, wao wanaona kwamba waislamu watapata nguvu na kuheshimiwa kwa kupata kazi serikalini, kuteuliwa ktk nafasi mbalimbali serikalini na mfano wa hivyo.
Lakini kiukweli hasa ili waislamu wapate hivyo wanavyovitamani ni lazima wamjue Mola wao pia kumkusudia yeye peke yake na wasimshirikishe na yeyote awaye. Sasa hebu angalia Hali ya waislamu hao wanaotaka kuheshimiwa, wako mbali mno na mafunzo sahihi ya Dini yao.
Mola wetu alishatuahidi na ahadi hii ni ya haki, kuwa tukiwa wachaji Mungu basi atatutawalisha na kutustarehesha ktk ardhi, vinginevyo ni kinyume chake.
Kwahiyo haya tunayopata leo Kama jamii ya kiislamu ni matunda ya mikono yetu, sisi wenyewe ndio tuna suluhu ya matatizo yetu, tusiwabebeshe wengine.
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app