Ndivyo makafiri walivyo
Ndivyo makafiri walivyo
Mkuu,wewe ni Muislamu Poa?Mimi nahurudhia sana msikitini, ndio maana nimesema wanayosema.
Huwa sipindishi maneno.
Kama anapenda sana uilsamu akajenge nyumba makka pale alkabMohamed Said anaona uislam sio utanzania sio wa kumlaumu.
Kama anapenda sana uilsamu akajenge nyumba makka pale alkab
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Dini za wageni xitawasaidia nini nyinyi waafrika mpaka ntamvuane kwa idadi ya imani..2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Dini za wageni xitawasaidia nini nyinyi waafrika mpaka ntamvuane kwa idadi ya imani..
dini zenyewe za utapeli
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Kipi ni muhimu mzee wangu tanzania au uislamu. Je wewe unawapima watanzania kwa dini zao au kwa utanzania waoThe Imp,
Nisome ninayoandika naeleza dhulma.
Ndiyo mnaleta malalamiko yenu hayo ?Kipi ni muhimu mzee wangu tanzania au uislamu. Je wewe unawapima watanzania kwa dini zao au kwa utanzania wao
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Kipi ni muhimu mzee wangu tanzania au uislamu. Je wewe unawapima watanzania kwa dini zao au kwa utanzania wao
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
The Phy...Kifupi ni kwamba si Mohamed tu hata ww kama una hayo malalamiko ya waisilam yalete kwa mtiririko unaoeleweka ili tuyajadili kwa sababu kinachofanyika ni Kutoa kauli za jumla jumla kwamba waisilam wananyanyaswa akiambiwa taja wananyanyaswa kivip anasema kasome historia ya kupigania uhuru!
Mimi nataka mfunguke je kuna mtu kafukuzwa shule,kazi,Kijiji, ofisi ya umma, chuo, au kanyanyaswa kivyovyoye kwa kuwa tu ni muisilam na manyanyaso ya aina hiyo hajanyanyaswa wa imani nyingine!?
Huna tabia nzuri ndo maana wanakuita "WE MZEE"The Phy...
Umefanya kosa kunifananisha mimi na watu wengine.
Mtu anaefanyiwa ubaya na asikasirike huyo ni mfano wa punda.
Mtu hakomazwi kwa kutukanwa.
Ukimtukana mtu umevunja utu na murua wake wote.
Nimefanya mijadala ya wazi mingi na nimepambana na watu wajuzi wa hoja na somo lililo mezani.
Siwezi kujiruhusu kushiriki katika mjadala wa matusi.
Wengi hapa mnaniita mzee na napokea heshima hii kwa mikono miwili kwani hakika mimi ni mzee si kijana tena.
Labda iwe mnaniita mzee kwa kunidhalilisha na kunidhihaki na ndiyo huwa inatanguliwa na "we mzee," na "huyu mzee."
Rudi nyuma jisome na jiulize kwa nini unanitambulisha hivyo?
Dharau, kibri na chuki.
Nauthamini uzee wangu na ndiyo sababu hapa mimi situkani mtu wala sikejeli mtu.
Uzee uendane na tabia njema.
Kasema ukweliMbona unaleta dhana mbaya au hayo ndiyo mafundisho uliyopata kanisani?
Kuna mambo ndani ya utetezi wako yanaibua ukakasi ndio maana utetezi wako unazalisha hoja ndogondogo ambazo mimi natamani uzifafanue.The Phy...
Kila ninapokusoma ndipo ninapozidi kuelewa ujuzi na uwezo wako.
Haipendezi kumwambia mwenzako kuwa wewe ni kadha wa kadha mathalan kumwambia huna elimu ya kutosha nk. nk.
Katika mjadala kama huu ''exclamation marks,'' yaani alama ya kushangaa haitumiki.
Vitu kama hivi vinatumika kwengine.
Sasa chukua tabu ya kusoma au kuuliza kwa wenye kujua watakufahamisha.
Hili la kwanza.
Pili unapoambiwa soma kitu fulani ni umepewa rejea ili usome upate maarifa kwa kile ambacho hukijui.
Rejea ni kitu muhimu sana tena sana.
Sasa mjuzi yeyote akikusoma wewe unapinga kusoma historia ya uhuru wa Tanganyika kisha baada ya sentensi hiyo unaweka alama ya kushangaa utamfanaya yeye akushangae wewe kwa mawili.
Kwanza kwa kuona hakuna maana kusoma somo usilolijua na kwa wewe kuweka alama ya kushangaa katika sentensi wakati unafanya mjadala.
Huu sasa ni mwaka wa 30 katika vyuo vikuu vingi duniani wanaposomesha, ''Nationalist Politics and African Development,'' mfano wanamsoma Julius Nyerere na historia ya Tanzania.
Wataanza na Nyerere.
Mwalimu atatoa rejea kadhaa za wasomi waliobobea katika historia ya Tanzania.
Watamwekea mwanafunzi, John Iliffe, James Brennan, Cranford Pratt kwa kuwataja wachache kisha watamwekea na Mohamed Said, Hamza Njozi nk.
Hawa wawili wa mwisho wanakuja kupindua historia yote ya Nyerere na yale ambayo watu wakiamini ndiyo ''legacy,'' yake.
Nini ''legacy,'' ya Mwalimu?
''Legacy,'' yake ni yeye ''kuunda'' chama cha TANU na kuleta umoja.
Mwanafunzi sasa anapokuwa kawasoma hao wote hapo juu linapokuja sasa swali la ''legacy,'' ya Mwalimu katika mtihani atahoji kweli Nyerere kaunda TANU na kajenga umoja kiasi hii ndiyo iwe ''legacy,'' yake?
Hapa ataonyesha kuna walakini.
Ndipo atakapomwonyesha mwalimu wake kuwa kasoma na anamjua Nyerere vizuri kutoka rejea alizopewa kusoma.
Ataeleza kuwa Nyerere kaikuta TANU ''in the making,'' yaani imeanza kuundwa kutoka 1929 kupitia African Association, TAA hadi kufika TANU 1954.
Hapa mwanafunzi atapita kwa Kleist Sykes, Hamza Mwapachu, Dr. Vedasto Kyaruzi, Abdul Sykes, na viongozi wengine hadi kufika kwa Nyerere.
Hapa mwanafunzi tayari kamsoma Kleist Sykes ndani ya Dictionary of African Biography, Iliffe (Ed), ''Modern Tanzaaians,'' na kwenye rejea nyingine.
Hapa tayari mwanafunzi kaweka alama kubwa ya kuuliza.
Mbona historia ya TANU kama alivyoandika Mohamed Said inapinga hili?
Mwanafunzi sasa hapo atamwekea rejea mwalimu wake - Said (1998).
Mwanafunzi anaendelea kujibu swali anagusa, ''Umoja."
Ataweka tena rejea Said (1998) na Njozi (2002).
Hapa ndiyo inaingia, '' Mwembecha Kiliings..."
Penye umoja mwanafunzi atahitimisha hayawezi kutokea yote aliyoeleza Njozi.
Mwanafunzi ataeleza upogo uliopo wa 20:80 na ataeleza kuwa hii sababu ya matatizo mengi katika nchi za Kiafrika kutokana na ukabila au udini.
Sasa wewe unapopuuza kusoma haya utajuaje matatizo yaliyopo nchini?
Na haya ninayokueleza ni masomo ya mwaka wa kwanza chuo kikuu anayofunzwa mwanafunzi.
Ikiwa haya ulikuwa hujui waulize wenye kujua watakufahamisha.
Sikutaka kurejea hapa lakini nimeona kuna mambo nikufahamishe ili ujenge maarifa na maarifa haya yawe na manufaa kwako na kwa wengine.
Kumbuka historia rasmi ya TANU na uhuru wa Tanganyika imefuta nusu karne ya historia ya kweli.
Kasema ukweli
Ndiyo lugha uliyofundishwa hiyo kanisaniHuna tabia nzuri ndo maana wanakuita "WE MZEE"
ungalikua na Busara usingekua mtu wa hoja za kidini.
Ni mtu mjinga ndiye anayeweza kujadili udini nyakati hizi
The Phy...Kuna mambo ndani ya utetezi wako yanaibua ukakasi ndio maana utetezi wako unazalisha hoja ndogondogo ambazo mimi natamani uzifafanue.
Je huo mchanganuo wa 20:80 unaupata kwa kutumia mechanism gani?
Kwa namna unavyotetea hoja zako ni kama hizi unazoita dhuluma kwa waisilam wa tanzania hazipo tena maana mambo mengi yamebadilika tofauti kabisa na wakati zilipofanyika hizo tafiti, na ndiyo maana wapo waisilam wengi tu hawakubaliani na ww kwani nao ni wanufaika wakubwa wa fursa na keki za nchi hii!!
Vitabu vyako jumlisha na vya manguli wengine nimevisoma hapa nachohitaji ni jambo dogo tu maana hoja yangu ni kwamba mazingira na mambo mengi yamebadilika haifanani na wakati vilipoandikwa.The Phy...
Inaelekea somo hili umelipenda sana nami unanifurahisha kwa hili.
Tatizo ni kuwa huna ujuzi wa somo lenyewe.
Sijafanya utetezi wa chochote mimi hapa nasomesha historia ya wazee wangu ambayo ilifutwa na kwa miaka mingi ikawa haifahamikai.
Muhimu kwako ni usiwe na haraka ya kufanya mjadala na mimi.
Mimi nimefanya utafiti na nimeandika kuhusu somo hili kwa takriban nusu ya umri wangu na katika kipindi hicho nimefanya mazungumzo na mabingwa wa historia ya Afrika na baadhi ya kazi zangu zimechapwa kwenye magazeti majarida na vitabu.
Nimeshirikishwa katika miradi mikubwa miwili wa Oxford University Press na Harvard na kazi zangu wamezimechapa zinasomwa.
Sikuelezi haya kujisifu au kukutisha nataka ujue kuwa wewe unapita ambako mimi nimewapitisha wengi.
Wewe huzungumzi na mtu mjinga.
Unafahamu maana ya kuandika kitabu kikachapwa na baada ya kitabu kuchapwa kikafanyiwa, ''review,'' katika Cambridge Journal of African History tena si na bingwa mmoja wa African History bali watatu mmoja kutoka Uingereza na wawili Marekani?
Unajua maana ya kitabu kuwa rejea katika kusomesha katika chuo chochote duniani?
Unajua kuwa Northwestern University, Evanston Chicago, ndiyo wanaoongoza ulimwenguni katika African History?
Mimi walinialika na nimezungumza kwenye hicho chuo.
Unajua kuwa Maktaba yangu ni katika Maktaba tatu zilizosifiwa na waandishi wa Biography of Julius Nyerere?
Maktaba hizo ni ya Dr. Salim Ahmed Salim Brig. General Hashim Mbita na yangu?
Unajua jopo la kuandika kitabu cha Nyerere wamesema kuwa katika watu waliowahoji kuhusu Mwalimu mimi nimewashinda wote kwa jinsi ninavyomjua?
Na unajua kuwa mimi sikupata kukutana na Nyerere hata siku moja?
Sasa nimemjuaje kuwashinda wale ambao alifanyakazi nao?
Hebu achana na kukimbilia kuja hapa kupambana na mimi.
Soma kwanza historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoiandika kuanzia kuasisiwa kwa African Association 1929 hadi historia hii ilipoandikw ana Chuo Cha CCM Kivukoni 1981.
Soma ujue historia ya akina Kleist Sykes, Mzee bin Sudi, Cecil Matola ujue kwa nini baada ya muda mfupi wa kuundwa kwa AA ikaonekana iundwe Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933.
Ukishikilia kuwa kuandika historia hii ni ''udini,'' utakuwa daima hujui na utakuwa huna wa kumlaumu ila wewe mwenyewe.
Soma ujue kwa nini Kanisa lilijiweka mbali na harakati hizi?
Soma ushangae pale utakapokuta historia yote hii imefutwa.
Hapa ndiyo jiulize.
Vipi na kwa nini?
Soma, soma, soma ndugu yangu uongeze maarifa yako.
Ubishi na ukaidi hauongezi elimu.
Kitabu niichoandika kimependwa sana na kishachapwa mara nne kuanzia 1998.
View attachment 2054493
Mkuu,
Majibu unayoyataka hutakuja kuyapata, kwasababu ukiwasikiliza sana hawa watu utakuja kugundua ili waridhike inabidi wakristo wote wasiwepo kabisa nchi hii.
Nakupa mfano:
Wakati wa utawala wa JK kuna masheikh walikaa ,sijui mashetani yalipanda wakaanza kusema Oooh NECTA ya Ndalichako wana mpango mkakati wa kufelisha Waislam na ndio maana shule za kiislam hazifanyi vizuri huku wakizipendelea shule za kikristo ( kwamba seminari zinafanya vizuri ).
Na hivyo masheikh na Kanzu zao wakajikusanya wakaandama mpaka NECTA. Kikwete ili kuwapoza akampa Ndaluchako likizo ya lazima.
Alivyoondoka Ndaluchako hapo NECTA naibu wake alikuwa Charles Msonde. Walivyotaka wao, akiondoka Ndalichako awekwe Muislam.
Kwahiyo alivyopewa naibu, Charles Msonde wakakaa kimya maana kwa aibu ila wakaanza kujisemea.pembeni pembeni eti ameondoka Ndalichako aliyewekwa naye ni wale wale yaani Mkristo.
Alivyokuja Magu akamteua Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu wakawa wanaugulia maumivu tu, maana Magu alikuwa mbabe utalalamikia na kumpangia labda hujipendi.
Yaani sijui wanataka akae Muislam pale aanze kuwapendlea waislam.
Na huyu mzee siku zote ni propanganist na mchochezi wa kimya kimya ndio maana huwezi kumkuta kapata misukosuko. Anawachochea kina Ponda halafu yeye humuoni kwenye maandamano.
Kwani mliposema analalamika hamkuyajua? [emoji13][emoji13]