Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Vitabu vyako jumlisha na vya manguli wengine nimevisoma hapa nachohitaji ni jambo dogo tu maana hoja yangu ni kwamba mazingira na mambo mengi yamebadilika haifanani na wakati vilipoandikwa.

Kwa maoni yangu hoja nyingi zimepitwa na wakati.
Kitu ninachotaka kujua Kutoka kwako unapo kokotoa hii Hesabu ya 20:80 unatumia formula gani!?

Unadhihirisha kuwa vitabu hujavisoma
 
Tumia vizur akili uliyopewa,alichokifanya huyo unaejaribu kumtetea ww utakuwa kubwa jinga.
Hv unadhn jambo la kumfelisha mwanafunzi ni jambo dogo kwa akili yako ya chuki????
Una kichwa cha nguruwe. Hakuna kitu utaelewa
 
Vitabu vyako jumlisha na vya manguli wengine nimevisoma hapa nachohitaji ni jambo dogo tu maana hoja yangu ni kwamba mazingira na mambo mengi yamebadilika haifanani na wakati vilipoandikwa.

Kwa maoni yangu hoja nyingi zimepitwa na wakati.
Kitu ninachotaka kujua Kutoka kwako unapo kokotoa hii Hesabu ya 20:80 unatumia formula gani!?
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Utetezi wao kuwa Rais haingiliwi ktk maamuzi yake,ila akifanya muislamu wanajitoa ufahamu

Kwahiyo ukiwa Rais nchi hii unatakiwa ku-balance:

- Makabila

- Dini

- Mikoa

- Kanda

- Pande mbili za Muungano.

- Walemavu

- Jinsia

- Vyama vya siasa, wanasiasa waliokusaidia n.k.

Na wakati huo huo unatakiwa upate WACHAPAKAZI wenye uwezo wa kufanya KAZI kikamilifu.

Hivi wewe ukiambiwa UTEUE watu ili KILA mtu aridhike UTAWEZA ?????
 
Screenshot_20211223-162714_Phoenix.jpg

Screenshot_20211223-162704_Phoenix.jpg

3/35x100= 8.57%

Hiyo ndio hali ilivyo ya Waislam baada ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.

Screenshot_20211223-162651_Phoenix.jpg

3/35x100= 8.57%

Hiyo ndio hali ilivyo ya Waislam baada ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
 
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

View attachment 2054716

View attachment 2054717
3/35x100= 8.57%

Hiyo ndio hali ilivyo ya Waislam baada ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.

View attachment 2054718

3/35x100= 8.57%

Hiyo ndio hali ilivyo ya Waislam baada ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Hivi katika hao wote kuna yeyote ambaye hana sifa ila kawekwa pale kwa kuwa tu sio muisilam?

Una uhakika gani kwamba hao sio waisilam au ni waisilam?

Kila nafasi katika hizo ina namna/utaratibu inavyotatikana. umetumia kigezo gani kupima kwamba katika kushindania hizo nafasi walioshindwa walishindwa kihalali na walishinda walishinda kihalali?

Kazi za serikali sio kazi za ibada ni kazi zinazohusu competence ndio maana mtu yeyote aliye serious huchagua watu anaoona watamfaa kwenye kazi yake. Sina hakika kama kuna mtu competent anaachwa tu sababu ya dini yake.
 
The Phy...
Mimi sipo hapa kufanya ubishi niko hapa kusomesha.

Umeniuliza swali la 20:80 nimekupa jibu lake na hiyo nyongeza ambayo hukuniomba lakini niliamini itakusaidia kupanua fikra zako.

Umeridhika na jibu langu kuhusu 20:80?

Umeniuliza kwa kuwa ulikuwa hujui na sasa nimekusomesha umejua na umeongeza maarifa yako.

Nilichotegemea kutoka kwako ni shukurani si kuendeleza ubishi.

Wengi niliowatumia taarifa hiyo ndani na nje ya mipaka yetu wamenipa majibu tofauti sana na yako.

Wote wamenishukuru kwa taarifa hiyo na kusema wamenufaika sana kwa kujua hali hii yetu inayokabili jamii moja katika nchi yetu.

Hata hapa barzani naona kumeingia ukimya ambao si wa kawaida.

Wewe ndiyo wa kwanza kuzungumza toka jana.

Nasubiri kuwasikia wengine hapa jamvini.

Nakushukuru sana kwa kunifunza kuhusu, "competence."

Nimecheka sana.

"It takes all sorts of people to make the world go round."

Huu ni msemo marehemu Mzee Kitwana Kondo akipenda kuusema.
 
Tupe Darsa Sheikh.
Imhotep...
Hakuna kitu kama elimu.

Hakuna kitu kiovu kama ujinga.

Elimu ni mwanga unaomulika kwenye kiza kinene totoro pakawa peupe.

Unapokuja ukweli uongo ni wenye kutoweka.

Uwanja umekuwa tuli.
 
Imhotep...
Hakuna kitu kama elimu.

Hakuna kitu kiovu kama ujinga.

Elimu ni mwanga unaomulika kwenye kiza kinene totoro pakawa peupe.

Unapokuja ukweli uongo ni wenye kutoweka.

Uwanja umekuwa tuli.
Asante kwa ushauri nasaha.
 
Asante kwa ushauri nasaha.
Imhotep,
Huyu ndugu yetu anahitaji kujifunza kufikiri vinginevyo anajigeuza kuwa kichekesho.

Kuna maswali anauliza mimi naona huruma.

Kuna kitu kinaitwa, "the standard of the reasonable man."

Huyu ndugu yangu hana hii.

Anaangalia orodha niliyomletea ya viongozi wa vyuo vikuu kisha haamini anachokiona hadhir na shahir ananiuliza maswali ya kuchekesha.

Rudi nyuma na soma maswali yake.

Mimi nimejitolea kumpa ndugu yangu huyu elimu bila khiyana lakini sijui nini kimefunga akili yake.
 
Watu wengine huwa hawapendi ukweli, lakini usijali, sisi wasomaji tulio wengi tunapata Elimu adimu kwenye huu uzi.
 
Watu wengine huwa hawapendi ukweli, lakini usijali, sisi wasomaji tulio wengi tunapata Elimu adimu kwenye huu uzi.
Imhotep,
Mimi nafahamu kuwa kuna kundi kubwa la wasomaji wakiniona tu nimeingia basi watakuja kunisikiliza.

Wengi wao ni wasomaji tu.
Hawachangii chochote.
 
Imhotep,
Mimi nafahamu kuwa kuna kundi kubwa la wasomaji wakiniona tu nimeingia basi watakuja kunisikiliza.

Wengi wao ni wasomaji tu.
Hawachangii chochote.
Kuna maelfu na maelfu wanakusoma na kukuelewa, kwa hiyo usikate tamaa Sheikh.

Tunaomba uendeleze Darsa ili tupate madini adimu, ili nasi tujifunze.
 
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Unaweza kutupa ratio ya Wakristu kwa Waislamu kwenye population ya Tanzania?

Wakristu wamejitahidi sana kuwekeza kwenye elimu kuanzia level ya chini na kuendelea tofauti na Waislamu ambao wameweka msisitizo kwenye elimu ya dini
 
Utetezi wao kuwa Rais haingiliwi ktk maamuzi yake,ila akifanya muislamu wanajitoa ufahamu
Leo umefanya raundi zako za kutembeza kibakuli kwenye ma pub kuomba michango ya kujenga madrassa? Watu mnakaa mnakunywa pombe na kula kitimoto mara paap, anatokea jamaa na kanzu, miguu vumbi tupu kavaa magobasi yaliyochakaa na kikaratasi cha michango. Asilimia 100/100 haambulii sentano, lakini kesho utamwona tena.
 
Unashangaa hlo huku ukijisahaulisha wale wanaodai kumuimbia Yesu mpaka stend.
Na wle wafufua watu na ninyi wenzawazimu mkiamn upo we nguchiro????

Back
Top Bottom