Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Angalau basi wangesema hata hayo lakini naona wako kimya au haya ni madai ya Mohamed said binafsi alafu anapakazia waisilam!? Maana ingekua ni madai ya kila muisilam si wangetiririka nayo hapa sana!?

Au ndo ni ukweli kwamba kwa siku hizi madai yao yameshapitwa na wakati isipokuwa kwa watu wanaoishi nyuma ya wakati.

Maana baada ya Mohamed kususia mjadala nilitegemea atokeze muisilamu mwingine ambaye hajasusa aeleze kinagaubaga nini hasa shida ya waisilam tanzania inayowagusa wao specifically na sio shida ya watanzania wengine!
Phylo...
Lugha yenye staha ni muhimu sana katika mjadala.

Umetumia neno kuwa, "nimesusa."
Kuniambia nimesusa unanikejeli.

Ukimtukana mtu na yeye akakujibu kuwa basi hataendelea na mjadala ili kuepusha shari huku si kususa.

Kususa kunakwenda pamoja na ghadhabu.
Umeona popote katika kalamu yangu nikiandika nimeghadhibika?

Neno, "kupakazia," hii yote si misamiati ya mijadala yenye maana.
Angalau ungeandika, "kusingizia."

Misamiati mfano wa hiyo ina mahali pake na watu wake makhsusi.

Ndipo nilipokueleza kuwa kichwa cha uzi kuwa na neno "kulialia," ilitosha kunipa haiba yako kamili.

Naamini unajua ni watu gani ambao wamenihoji na kutoka vyombo gani vya habari.

Naamini unajua pia ni hadhira gani na ngapi ndani na nje ya mipaka yetu nimepata kuzungumza masuala haya haya tunayojadili hapa.

Hivi yote haya hayajakuzindua?
 
Pole sana kwa kuudhiwa kwa kutukanwa ingawa binafsi nilikuchukulia kama mtu aliyekomaa katika mijadala ya wazi kama hii ambayo kila mtu anaongea kinachomjia kwenye akili yake kutokana na uzoefu wako wa kuushiriki kwa njia mbalimbali.

Maana sio wewe tu lakini ni wachangiaji wengi tu humu wametukanwa hata hivyo waliendelea na mjadala, tofauti na hapo kiu yangu ya kutaka kujua yapi madai ya waisilam iko pale pale, nataka kujua, madai ya waisilam yako mangapi, ni yapi, yako kwenye mamlaka ya nani, wanapendekeza yatatuliwe vipi!? Je malalamiko hayo Yana athari zozote!?
Mkuu,

Majibu unayoyataka hutakuja kuyapata, kwasababu ukiwasikiliza sana hawa watu utakuja kugundua ili waridhike inabidi wakristo wote wasiwepo kabisa nchi hii.

Nakupa mfano:

Wakati wa utawala wa JK kuna masheikh walikaa ,sijui mashetani yalipanda wakaanza kusema Oooh NECTA ya Ndalichako wana mpango mkakati wa kufelisha Waislam na ndio maana shule za kiislam hazifanyi vizuri huku wakizipendelea shule za kikristo ( kwamba seminari zinafanya vizuri ).

Na hivyo masheikh na Kanzu zao wakajikusanya wakaandama mpaka NECTA. Kikwete ili kuwapoza akampa Ndaluchako likizo ya lazima.

Alivyoondoka Ndaluchako hapo NECTA naibu wake alikuwa Charles Msonde. Walivyotaka wao, akiondoka Ndalichako awekwe Muislam.

Kwahiyo alivyopewa naibu, Charles Msonde wakakaa kimya maana kwa aibu ila wakaanza kujisemea.pembeni pembeni eti ameondoka Ndalichako aliyewekwa naye ni wale wale yaani Mkristo.

Alivyokuja Magu akamteua Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu wakawa wanaugulia maumivu tu, maana Magu alikuwa mbabe utalalamikia na kumpangia labda hujipendi.

Yaani sijui wanataka akae Muislam pale aanze kuwapendlea waislam.

Na huyu mzee siku zote ni propanganist na mchochezi wa kimya kimya ndio maana huwezi kumkuta kapata misukosuko. Anawachochea kina Ponda halafu yeye humuoni kwenye maandamano.
 
Mbona unaleta dhana mbaya au hayo ndiyo mafundisho uliyopata kanisani?
 
Huyu mzee anajaribu kutukumbusha siku za nyuma mara nyingi wakiona rais ni mwenzao wanaongeza bidii ya malalamiko kama ilivyokua siku za kikwete
Naona mnajikanganya wenyewe mara Mohammed Said anatuletea malalamiko mara mnamwomba awaletee hayo malalamiko, hivi mumechanganyikiwa?
 
Angalau basi wangesema hata hayo lakini naona wako kimya au haya ni madai ya Mohamed said binafsi alafu anapakazia waisilam!? Maana ingekua ni madai ya kila muisilam si wangetiririka nayo hapa sana!?

Au ndo ni ukweli kwamba kwa siku hizi madai yao yameshapitwa na wakati isipokuwa kwa watu wanaoishi nyuma ya wakati.

Maana baada ya Mohamed kususia mjadala nilitegemea atokeze muisilamu mwingine ambaye hajasusa aeleze kinagaubaga nini hasa shida ya waisilam tanzania inayowagusa wao specifically na sio shida ya watanzania wengine!

Kifupi ni kwamba si Mohamed tu hata ww kama una hayo malalamiko ya waisilam yalete kwa mtiririko unaoeleweka ili tuyajadili kwa sababu kinachofanyika ni Kutoa kauli za jumla jumla kwamba waisilam wananyanyaswa akiambiwa taja wananyanyaswa kivip anasema kasome historia ya kupigania uhuru!

Mimi nataka mfunguke je kuna mtu kafukuzwa shule,kazi,Kijiji, ofisi ya umma, chuo, au kanyanyaswa kivyovyoye kwa kuwa tu ni muisilam na manyanyaso ya aina hiyo hajanyanyaswa wa imani nyingine!?
Naona mnajikanganya wenyewe mara Mohammed Said anatuletea malalamiko mara mnamwomba awaletee hayo malalamiko, hivi mumechanganyikiwa?
 
Kifupi ni kwamba si Mohamed tu hata ww kama una hayo malalamiko ya waisilam yalete kwa mtiririko unaoeleweka ili tuyajadili kwa sababu kinachofanyika ni Kutoa kauli za jumla jumla kwamba waisilam wananyanyaswa akiambiwa taja wananyanyaswa kivip anasema kasome historia ya kupigania uhuru!

Mimi nataka mfunguke je kuna mtu kafukuzwa shule,kazi,Kijiji, ofisi ya umma, chuo, au kanyanyaswa kivyovyoye kwa kuwa tu ni muisilam na manyanyaso ya aina hiyo hajanyanyaswa wa imani nyingine!?
Hivi hujaisoma hii

Mimi ni Muislam, shida kubwa ya Waislamu hatujui mafundisho sahihi ya dini yetu, ndio utaona wale walio mbele wanaodai kuutetea uislam ni wanaharakati wa ikhwaan (Muslim brotherhood), Hizbu tahriir, suruuriyun na mfano wao.

Wengi wa hao Kama sio wote wameacha mbali mafunzo sahihi ya uislamu, wao wanaona kwamba waislamu watapata nguvu na kuheshimiwa kwa kupata kazi serikalini, kuteuliwa ktk nafasi mbalimbali serikalini na mfano wa hivyo.

Lakini kiukweli hasa ili waislamu wapate hivyo wanavyovitamani ni lazima wamjue Mola wao pia kumkusudia yeye peke yake na wasimshirikishe na yeyote awaye. Sasa hebu angalia Hali ya waislamu hao wanaotaka kuheshimiwa, wako mbali mno na mafunzo sahihi ya Dini yao.

Mola wetu alishatuahidi na ahadi hii ni ya haki, kuwa tukiwa wachaji Mungu basi atatutawalisha na kutustarehesha ktk ardhi, vinginevyo ni kinyume chake.

Kwahiyo haya tunayopata leo Kama jamii ya kiislamu ni matunda ya mikono yetu, sisi wenyewe ndio tuna suluhu ya matatizo yetu, tusiwabebeshe wengine.

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Kwakweli ndio maana Mjerumani akamuua Ali songea mbano na kule pwana mreno Akasimika Fort jesus baada ya kuilipua kilwa
 
Unajua nikiri nimekuwa mmoja wa watu wanaofuatilia mijadala iliyokuwa ikirushwa na iman media hasa kupitia kipindi chao mwangaza wa jamii badae wakaja na makongamano yaliyoitwa kupinga na kupambana na mfumo kristo katika nchi yetu, nadhani ilikuwa miaka ya 2005 kuja hadi 2015.

Baada ya hapo sikuisikia hii mijadala ikifanyika kwa nguvu sana, ingawa hata wakati ilipokuwa ikifanyika ilikuwa ikiniletea maswali mengi sana kuliko majibu kuhusiana na malalamiko ya waisilam wa tanzania.
Ila kwa kuwa mingi walikuwa wanairusha live sikuwa na jinsi ya kuuliza maswali yangu na kwa niaba ya wasikilizaji wengine ambao nao yaliwatatiza.
Kwa bahati nzuri nilipomsikiliza huyu mzee dw nikaona ameubua upya hisia zangu ambazo kwa muda zilitulia kwa kupungua mijadala husika!!

Screenshot_20211214-191725_WhatsAppBusiness.jpg
 
Mbona unatuletea mashoga???

I didn't feel the need to say 'I am gay'': Christian 'Prince' Wilkins, 23, reveals he never came out to his famous father Richard ... and says he struggled with self-confidence for year
 
Back
Top Bottom