Mohamed Said ana siasa za kulialia

Phylo...
Lugha yenye staha ni muhimu sana katika mjadala.

Umetumia neno kuwa, "nimesusa."
Kuniambia nimesusa unanikejeli.

Ukimtukana mtu na yeye akakujibu kuwa basi hataendelea na mjadala ili kuepusha shari huku si kususa.

Kususa kunakwenda pamoja na ghadhabu.
Umeona popote katika kalamu yangu nikiandika nimeghadhibika?

Neno, "kupakazia," hii yote si misamiati ya mijadala yenye maana.
Angalau ungeandika, "kusingizia."

Misamiati mfano wa hiyo ina mahali pake na watu wake makhsusi.

Ndipo nilipokueleza kuwa kichwa cha uzi kuwa na neno "kulialia," ilitosha kunipa haiba yako kamili.

Naamini unajua ni watu gani ambao wamenihoji na kutoka vyombo gani vya habari.

Naamini unajua pia ni hadhira gani na ngapi ndani na nje ya mipaka yetu nimepata kuzungumza masuala haya haya tunayojadili hapa.

Hivi yote haya hayajakuzindua?
 
Mkuu,

Majibu unayoyataka hutakuja kuyapata, kwasababu ukiwasikiliza sana hawa watu utakuja kugundua ili waridhike inabidi wakristo wote wasiwepo kabisa nchi hii.

Nakupa mfano:

Wakati wa utawala wa JK kuna masheikh walikaa ,sijui mashetani yalipanda wakaanza kusema Oooh NECTA ya Ndalichako wana mpango mkakati wa kufelisha Waislam na ndio maana shule za kiislam hazifanyi vizuri huku wakizipendelea shule za kikristo ( kwamba seminari zinafanya vizuri ).

Na hivyo masheikh na Kanzu zao wakajikusanya wakaandama mpaka NECTA. Kikwete ili kuwapoza akampa Ndaluchako likizo ya lazima.

Alivyoondoka Ndaluchako hapo NECTA naibu wake alikuwa Charles Msonde. Walivyotaka wao, akiondoka Ndalichako awekwe Muislam.

Kwahiyo alivyopewa naibu, Charles Msonde wakakaa kimya maana kwa aibu ila wakaanza kujisemea.pembeni pembeni eti ameondoka Ndalichako aliyewekwa naye ni wale wale yaani Mkristo.

Alivyokuja Magu akamteua Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu wakawa wanaugulia maumivu tu, maana Magu alikuwa mbabe utalalamikia na kumpangia labda hujipendi.

Yaani sijui wanataka akae Muislam pale aanze kuwapendlea waislam.

Na huyu mzee siku zote ni propanganist na mchochezi wa kimya kimya ndio maana huwezi kumkuta kapata misukosuko. Anawachochea kina Ponda halafu yeye humuoni kwenye maandamano.
 

Mbona unaleta dhana mbaya au hayo ndiyo mafundisho uliyopata kanisani?
 
Huyu mzee anajaribu kutukumbusha siku za nyuma mara nyingi wakiona rais ni mwenzao wanaongeza bidii ya malalamiko kama ilivyokua siku za kikwete
Naona mnajikanganya wenyewe mara Mohammed Said anatuletea malalamiko mara mnamwomba awaletee hayo malalamiko, hivi mumechanganyikiwa?
 

 
Sasa hiki ulichoshare hapa kina tofauti gani na nilichokisema?

Umesoma? Weka ushahidi kutokana Na hata hicho nilichokuwekea

Hujajibu, unaenda misikitini kufanya kitu gani?
 
Kifupi ni kwamba si Mohamed tu hata ww kama una hayo malalamiko ya waisilam yalete kwa mtiririko unaoeleweka ili tuyajadili kwa sababu kinachofanyika ni Kutoa kauli za jumla jumla kwamba waisilam wananyanyaswa akiambiwa taja wananyanyaswa kivip anasema kasome historia ya kupigania uhuru!

Mimi nataka mfunguke je kuna mtu kafukuzwa shule,kazi,Kijiji, ofisi ya umma, chuo, au kanyanyaswa kivyovyoye kwa kuwa tu ni muisilam na manyanyaso ya aina hiyo hajanyanyaswa wa imani nyingine!?
Naona mnajikanganya wenyewe mara Mohammed Said anatuletea malalamiko mara mnamwomba awaletee hayo malalamiko, hivi mumechanganyikiwa?
 
Hivi hujaisoma hii

 
Kwakweli ndio maana Mjerumani akamuua Ali songea mbano na kule pwana mreno Akasimika Fort jesus baada ya kuilipua kilwa
 

 

Mbona unatuletea mashoga???

I didn't feel the need to say 'I am gay'': Christian 'Prince' Wilkins, 23, reveals he never came out to his famous father Richard ... and says he struggled with self-confidence for year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…